Kwanza nitoe angalizo mimi sio mwanachama wa chama chochote na hususan Chama tawala. Kwangu mimi nafahamu fika wanasiasa wengi wa kiafrika ni wachumia matumbo tu.
Tukija kwenye mada , Leo mange kimambi amepost habari kua askari wa kizanzibari wamefanya mauaji ya cold blood. Siungi mkono...
Damu ni nzito kuliko maji.
Msiba wa jirani ni kelele.
Kichaa anachekesha akiwa siyo nduguyo.
Harufu ya kinyesi chako haikusababishii kichefuchefu.
Ndipo sasa ninauliza, walioandamana wangekuwa ni wazanzibari, angeliwaua kiasi hiki??
Jawabu ni kuwa Zanzibar ilishapitia haya toka mwaka 2000 na wananchi wa tanzania bara walikaa kimya kana kwamba hakuna kikubwa kinachoenelea.
Mkapa mwenyewe kwenye kitabu chake "My life, my purpose" amekiri na kujuta juu ya uamuzi wa kutuma majeshi kutoka bara kwenda zanzibar kupiga na kuuwa...
Mwaka 2001 wazazibari wengi walipoteza maisha kwa kufyatuliwa risasi na hata kuwatia vilema kufuatia maandamano ya amani yaliyogeuzwa uwanja wa machinjio.
Kosa lao kubwa lilikuwa kuandamana kupinga matokea ya uchaguzi wa mwaka 2000, kudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi mazombi
Kadhalika...
Ukishasikia muungano inamaanisha lako langu na langu ni la kwako pia.
Miongoni mwa sababu kuu ya muungano ni suala la ulinzi na kiusalama baina ya nchi mbili yani Tanganyika na Zanzibar ndipo akazaliwa mtoto Tanzania.
Ila cha ajabu yanayoendelea hapa Tanganyika hofu kutanda kila mahali...
Kwa wanaojua kilichotokea baada ya Mzee Benjamin Mkapa kumaliza ngwe yake, watakubaliana nami, kuwa, kwa mazoea, mrithi wake alipaswa kutoka Visiwani.
Hata hivyo, haikuwa. Why? Jibu ni rahisi kuwa wanamtandao hawakutaka nafasi yao ichukuliwe na mwingine. Baada ya Kikwete, wanamtandao...
Mgombea wa Kiti cha Urais Zanzibar kupitia chama AAFP, Said Soud alisema hayo tarehe 3/09/2025 wakati anamjibu Mgombea wa Urais Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha ACT wa Wazalendo Othman Masoud Othman anayedaiwa kutoa kauli za kichochezi na kukejeli sheria za uchaguzi...
salaam ndugu wapendwa.
matukio ya hivi karibuni juu ya mjadala wa kujadili rasimu ya mapendekezo ya katiba ya Tanzania yaliibua na kuweka hadharani hisia za wenzetu katika muungano huu wa Tanzania.
wakati wa mjadala uliofanyika katika hotel ya Bwawani mjini Unguja wanzabari walionekana kuwa...
Kikosi kilicho anza leo kimesheheni wanzazibari, pipino , fey, shekhan, Ibrahim baka, na yule straiker alie funga goli likawa offside.
Tulitegemea aya nimashindano ya ya kuonyesha vipaji vya watanganyika. Je ni Zanzibar heroes ndo imefuzu chan kuna wataalum wengi wametemwa kutoka bara mtu kama...
Tangu Muungano uanze, Zanzibar ilitoa Rais mmoja tu, Mzee Mwinyi, upande wa pili umetoa marais wanne, kwa Zanzibar, Samia ni wa pili, ni busara ya kawaida kumpa nafasi na kuipa nafasi Zanzibar.
Hiyo 26 ni ya Mkapa, Kikwete na JPM, sijaweka ya Mzee Nyerere
Juzi nimefika Zanzibar nimeshangaa maendeleo ya kasi uwanja wa Ndege wa kisasa na nasikia terminal 2 na terminal 3 zaja.
Hali kadhalika juzijuzi kumefanyika mkutano wa wawezekaji katika sekta ya Utalii na siku zijazo ndege za kutoka Ulaya na kwingine zitakuwa zikitua Zanzibar zikileta watalii...
https://www.youtube.com/watch?v=_6uZjtRfs40
Kuna video nyingi zinazunguka mtandaaoni ambapo Wazanzibari wanasema hawataki muungano na wanataka nchi yao. Wanahoji zilipo hati za muungano.
Je, kati ya watanganyika na wazanzibari, nani ananufaika na huu muungano unaonza kuwa mgongano?
Je...
WaTanganyika mnatupenda sana ila ALLAH anatupenda zaidi ,tutakieni safari njema katika safari yetu hii ya kuinusuru nchi yetu kipenzi ya Zanzibar ,Hadi sasa asilimia 85 inazungumza juu ya kuinusuru Zanzibar.
Je Raisi Samia atahitaji RADHI za Mwalimu Nyerere au Maalim Juma Duni ?
Baadhi ya...
Habari GT.
WAZANZIBARI SASA WACHAGUE KATI YA;
1: CCM iliyoachwa na Mh. Karume
2: ACT waliyoachiwa na Mh Seif
3: No Reform no Election inayohubiriwa na CHADEMA.
Ama hakika kama kuna jambo ambalo CCM walikuwa wanalitafuta ni utulivu wa uchaguzi Zanzibar hasa hasa Pemba. Kitendo cha ACT wazalendo...
Sina Lengo la kukatisha tamaa ila Namba hazidanganyi
WAOMBAJI - 135,027
Kwa makadirio kuna wazanzibari 3000, waliobaki wabara 132,027
NAFASI - 1,596
20 % kwa Wazanzibar - 319
80 % kwa Bara - 1,277
CHANCE YA KUPATA KAZI
Wazanzibari - 10 kwa kila waombaji 100 ( 319/3000)
Wabara - 1 kwa...
Hapo kabla ufaulu wa mitihani ya form 4 na form 6 ulikuwa mbaya sana Zanzibar, mbaya sana,
Kuanzia miaka ya 2020s ufaulu umekuwa mkubwa sana sio tu Zanzibar ila hata mikoa iliyokuwa ikifanya vibaya bara.
Wazanzibari wengi walishindwa kufika vyuoni kwasababu ya kufeli Necta lakini muda huu...
Chama Cha Mapinduzi kimewaomba wananchi wa Zanzibar kumsikiliza, kumtafakari,kumtazama hatimaye kumpuuza Mwenyekiti wa AAFP Said Soud Said aliyedai zanzibar haina maendeleo yoyote kwa miaka mitano iliopita .
Pia CCM kimeiomba Ofisi ya Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa Zanzibar...
Serikali inapaswa kutafakari ni kwa namna gani wanaweka usawa kwenye hili.
Wahitimu kutoka bara wanalalamika sana. Ajira zinazotangazwa bara wanasailiwa hadi wazanzibar, lakini ajira zinazotangazwa Zanzibar, sifa moja wapo kubwa ya kusailiwa ni kuwa mzanzibar.
Mzanzibar anafaida mara 2...
Tangazo jipya la kuwaondosha zaidi ya familia mia tano katika mtaa wa kikwajuni kwa kuwapa wawekezaji ni kitendo kisicho kubalika kabisa.
Tangu alipoapishwa kuwa raisi, Mwinyi amekuwa ni kitendawili kwa jamii yetu. Fukwe za bahari zote zimepewa wawekezaji kwa kujenga mahoteli ya kitalii. Mitaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.