Wazanzibari wakati muafaka wa kuwa na mamlaka yenu kamili ni Sasa, Hakuna wakati mwingine

Mkwawe

JF-Expert Member
Jun 10, 2016
2,345
4,168
Katika miaka kadhaa nyuma wazanzibari walikuwa wakilalamika sana kuhusu kinachoitwa "unyonyaji" na "kukaliwa kimabavu" na watu wa "Bara" ( silipendi hili jina bara) ambayo ndiyo Tanganyika yetu. Kuna wakati sisi raia mmoja mmoja kutoka upande huu wa Tanganyika tulikuwa tukiwabembeleza sana hawa ndugu zetu kuwa shutuma mnazozotutolea si za kweli maana mtanganyika mmoja mmoja hafaidiki na chochote juu ya huu Muungano wa kipumbavu ambao tunao ila pengine mzanzibari ndiye mwenye ahueni nao

"Ndugu" zetu hawa miaka nenda miaka rudi wakawa wanasema hatutaki "mkoloni" mweusi kwenye ardhi yetu ambayo ni Zanzibar ilhali uhalisia unajulikana wazi kabisa nani ni mnyonyaji wa mwenzie

Umefika wakati mahususi kabisa kwa wazanzibari kupata kile ambacho mmekuwa mkikililia kwa miongo kadhaa sasa ila naona mmenogewa na kuibomoa Tanganyika kwa kushirikiana wasaliti wa Tanganyika yetu na mnaona kila kinachofanywa kwa majira haya ni sawa kabisa kwa kuwa tu hakiwaathiri nyie.

Huu ndiyo muda ambao sisi "wabara" (au machogo Kama mnavyotuita) pamoja na nyie wazanzibari tuunganishe nguvu zetu ili kila mmoja abaki stahiki yake, ilibidi majira haya nyie wazanzibari kuungana nasi watanganyika kuwaambia watawala kuwa huu uhusiano unatosha na inabidi uvunjwe ila kila ajiendeshe anavyojua yeye.

Lakini GHAFLA wazanzibari mmebadili upepo, eti sasa hivi na nyie mnaongelea utaifa! Daah aisee sijategemea kwa kweli lakini mnapaswa kujua kuwa haya mambo sisi ndiyo kwa nyakati hushika mpini hivyo kwa mustakabali wa visiwa vyenu huu ndiyo muda sahihi wa kujichukulia mamlaka yenu HAKUTAKUWA NA WAKATI MWINGINE maana watanganyika wengi tumeshajua tunaishi na watu wanafiki kiasi gani
 
Umenena vyema mkuu lakini hawa wavaa kubanzi sijui kama watakuelewa kwa sasa!hawa jamaa wamechukua nafasi za ajira za watanganyika,This time hatukubali WE WANT OUR TANGANYIKA BACK.
Sijui wazanzibari wanatuonaje sisi
 
watu tuwalishe sisi
na bado watuibie sisi
Aisee
Muungano HAPANA kwa kweli
Nyerere na Karume huenda walikuwa na nia nzuri tena ya dhati
Ila sio hawa tulionao sasa hivi wanaojali matumbo yao
wabinafsi na wanafiki!
Muungano umebaki Jina tu
watu hawana cha kupoteza
 
Alisisika Tanzania ni moja haigawanyiki

Haigawanyiki unauza Tanganyika kwa waarabu?
Wanaongea kama sio wao vile walikuwa wanatutolea kashfa zisizo na mwisho hawa watu ni wanafiki Sana, na hii yote kwa sababu eti wanaamini wao Wana nasaba na waarabu
 
Katika miaka kadhaa nyuma wazanzibari walikuwa wakilalamika sana kuhusu kinachoitwa "unyonyaji" na "kukaliwa kimabavu" na watu wa "Bara" ( silipendi hili jina bara) ambayo ndiyo Tanganyika yetu. Kuna wakati sisi raia mmoja mmoja kutoka upande huu wa Tanganyika tulikuwa tukiwabembeleza sana hawa ndugu zetu kuwa shutuma mnazozotutolea si za kweli maana mtanganyika mmoja mmoja hafaidiki na chochote juu ya huu Muungano wa kipumbavu ambao tunao ila pengine mzanzibari ndiye mwenye ahueni nao

"Ndugu" zetu hawa miaka nenda miaka rudi wakawa wanasema hatutaki "mkoloni" mweusi kwenye ardhi yetu ambayo ni Zanzibar ilhali uhalisia unajulikana wazi kabisa nani ni mnyonyaji wa mwenzie

Umefika wakati mahususi kabisa kwa wazanzibari kupata kile ambacho mmekuwa mkikililia kwa miongo kadhaa sasa ila naona mmenogewa na kuibomoa Tanganyika kwa kushirikiana wasaliti wa Tanganyika yetu na mnaona kila kinachofanywa kwa majira haya ni sawa kabisa kwa kuwa tu hakiwaathiri nyie.

Huu ndiyo muda ambao sisi "wabara" (au machogo Kama mnavyotuita) pamoja na nyie wazanzibari tuunganishe nguvu zetu ili kila mmoja abaki stahiki yake, ilibidi majira haya nyie wazanzibari kuungana nasi watanganyika kuwaambia watawala kuwa huu uhusiano unatosha na inabidi uvunjwe ila kila ajiendeshe anavyojua yeye.

Lakini GHAFLA wazanzibari mmebadili upepo, eti sasa hivi na nyie mnaongelea utaifa! Daah aisee sijategemea kwa kweli lakini mnapaswa kujua kuwa haya mambo sisi ndiyo kwa nyakati hushika mpini hivyo kwa mustakabali wa visiwa vyenu huu ndiyo muda sahihi wa kujichukulia mamlaka yenu HAKUTAKUWA NA WAKATI MWINGINE maana watanganyika wengi tumeshajua tunaishi na watu wanafiki kiasi gani
Bro, Wazanzibari wanapenda muungano, wanajua ukivunjika , biashara hawana hapa Tanganyika, hawatakopeshwa elimu ya juu Kwa fedha za watanganyika, hawatamiliki ardhi ya Tanganyika.
Kwakweli Tanganyika irudi.
 
Zanzibara na Zanzibar, tanzabara na tanzibar.
String nation unite weak nation separate
Mdogo wangu acha kusombwa na mashairi ya wanasiasa, sisi watanganyika tumeimarishana vya kutosha... Tunaishi watu wa kila matabaka, waislamu, wakristu, makabila mbalimbali bila kutoana dosari ila hawa wazanzibari ni watu ambao ubaguzi na ubinafsi upo kwenye tamaduni zao... ukirndana nao jambo moja watakutafutia kasoro jambo lingine. Ukiwa muislamu mwenzao watakutafutia kasoro ya ubara, ukiwa mkaazi wa huko kwao watakutafutia kasoro ya udini ukiwa navyo vyote utatafutia kasoro ya kipato hawa ni washenzi
 
Bro, Wazanzibari wanapenda muungano, wanajua ukivunjika , biashara hawana hapa Tanganyika, hawatakopeshwa elimu ya juu Kwa fedha za watanganyika, hawatamiliki ardhi ya Tanganyika.
Kwakweli Tanganyika irudi.
Mbona miaka nenda miaka rudi wanatupigia kelele kuwa wanataka uvunjwe
 
Back
Top Bottom