Serikali ya CCM Kila siku inatumbua wakurugenzi wa Halmashauri, ambapo naona ni uonevu kwa kiasi Fulani.
Serikali aigusi wakurugenzi wa taasisi za serikali, ambao ni wakurugenzi wa vitengo mbalimbali, ambao wengi hawana utendaji mzuri hata kidogo, na Wana mishahara mikubwa, mara nne ya...
Siweki uzi mrefu, Kuna kitu kina nitatiza, nataka kujua marumaru ipi ni Bora kati ya 69*60, 50*50, 49*40, 30*30
Kinachonichanganya zaidi ni box moja la 60*60 linajenga square MITA 1.44 ndo ghali zaidi.
50*50 box boja inajenga skwea MITA 1.75 bei raisi kuliko 60*60
Za 40*40 hizi box moja...
Toka nimeajiriwa miaka mingin iliyopita. , nimegundua boss wangu ananichukia sana, na anaonekana anapenda na kupendelea watu wengi bila sababu, hata wale ambao si watendaji wazuri.
Sio kwamba Mimi ni mchapa kazi, Wala sio kwamba Mimi ni mvivu, ni kawaida tu, bosi wangu amekuwa akieneza uzushi...
Kiufupi hii timu ya yanga inaendela kuleta madhara, na mfano ulikuwa baada ya simba kufungwa tano walifukuza kocha , na pia walitakwa kumfukuza chama.
Algeria: Kufuatia kipigo kikali cha bao 4-0 kwa timu ya beloizdad kutoka kwa yanga, bodi ya wakurugenzi ya klabu hiyo imetoa adhabu kali kwa...
Tangu kuanza kujazwa maji katika bwawa la nyerere ni takribani mwaka mmoja umepita, na maendeleo ya ujenzi wa bwawa la nyerere limefikia asilimia takribani 90. Sasa toka maji yameanza kujazwa disemba 2022 maji yameingia mengi mno, na ujazo umefikia mita takribani 160+, hawa google kwanini...
Nimetembea sehemu mbalimbali Tanzania, hasa katika Nchii hii ambayo ni huru, Maeneo Mengi nchi hii mtandao bado ni shida.
Ila Cha ajabu Kuna route moja imenishangangaza katika njia zetu kuu zote za Barabara , nimeshangaa napata network Barabara nzima Kwa umbali mkubwa sana jambo ambalo si...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapaswa Sasa kuchukua hatua Kali sana dhidi ya Makundi ya watu mbalimbali ambayo hivi Karibuni yamekuwa yakisambaza sumu ya chuki, ubaguzi na mgawanyiko juu Kwa Watanzania.
Kumekuwa na kauli za kumsema Rais wetu mpendwa kuwa ameuza Bandari za...
Wachaambuzi mbalimbali wa kutoka club house na diaspora kibao wamedai kuwa hizi propaganda zinazopigwa kuhusu royal tour ni za kuijaribu tu kuipamba serikali na mama kiujumla lakini ukweli ni kuwa.
1. Royal tour ni Mali ya huyo Peter aliyetengeneza na haki miliki ya Tanzania royal tour...
Kuna Kampuni inadai wao wanajishughulisha na biashara mbalimbali, ikiwemo kuuza na kununua Mafuta oil diesel duniani, kuuza bizaa mbalimbali, kununua Madini, usafirishaji wa meli.
Wao wanadai wanesajiliwa TRA, Brella, staili yao ni Moja tu, ukiwekeza kuanzia laki moja Hadi milioni 50 ndani ya...
Hivi Tanzania hatuwezi kulima ngano, maana tunanunua ngano nyingi sana nje, hizo feza zingebakia hapa.
Ardhi ipo ya kutosha ni. Serikali tu kuweka mipango na kuwawezesha watu. Hizi pesa anazotumia bakharesa kununua ngano Urusi zingerudi kwa watanzania na nchi ingepiga hatua, nimeona watanzania...
Watanzania wengi hawana utamaduni wa kutunza pesa, Wazungu wanaita saving, imefika wakati Yani mtu akisimama kazi ndani ya wiki mbili anaanza kuomba msaada wakati amefanya kazi kwa muda mrefu sana.
Ni vema kila unapopata mshahara basi angalau asilimia 30 kafiche mahali, watumishi wa umma Wana...
Hivi ina maana thamani ya Voda ni mara 20 ya thamani ya tiGO, haya manunuzi kafanya bilionea Rostam.
Mimi sijaelewa kabisa Bei ya manunuzi haya, wataalamu mtufungue. Au ndo Hawa wamefake thamani ya Voda kuwa ni trilioni 2 watu wamenunua hisa 25% kwa bilioni 480, halafu Hisa zenyewe haziuziki...
Vita vya Urusi na Ukraine vimemsaidia sana rafiki yangu kuhandle mchepuko wake uliokuwa unakidomo Domo unaotaka kuharibu ndoa yake.
Alifanyiwa kila kitu na rafiki yangu huyu mchepuko mpaka kanyumba na kagari akapewa, Ila ameleta shida katika ndoa ya jamaa Sasa amepigwa vikwazo vikali...
Tanzania na Watanzania wenzangu mmeshuhudia kwa macho yenu kwamba vitu vimepanda Bei Mara dufu hasa vinavyotoka China na ulaya, hali ya maisha imekuwa mbaya Sana, uchumi wa dunia umetetereka.
Tanzania tutegemee maisha kuwa makali zaidi, nchini China kuna shida kubwa ya umeme iliyosabishwa na...
Mdogo wangu Rayvanny , najua hujawahi kusoma chuo kikuu na huelewi mazingira ya chuo, hata Kama ndo hivyo jua mchumba hasomeshwi, p funk mwenyewe hawezi kumsomesha Paula nje kwasababu amemdharau, hizo pesa utakazokuwa unamtumia watafaidi younger boys than you atawapa yeye.
Kwanini umtolee ada...
Mkufunzi wa shule ya uongozi Eng. Humprey Polepole amevishutumu vyombo vya kibeberu IMF na World Bank kwa kusababisha umasikini mkubwa na utegemezi wa milele kwa kutoa mikopo kandamizi kwa nchi masikini Kama Tanzania na ameionya Serikali iliyopo madarakani kuwa makini na mikopo hiyo.
Wananchi...
Hii ni roho mbaya au, huyu mtu amefikisha umeme karibu vijiji vyote Tanzania, akasababisha CCM kushinda uchaguzi, alikuwa mchapakazi, nimekuwa namuona yeye amepiga kazi, Tanesco sawa kulikuwa na shida gani, amefanya kazi na kufikia malengo yake, sijui ni kabila gani Ila nasikia ni msukuma, je...
Sijaona kipengele kuwa katika makusanyo ya Kodi ya jengo kupitia luku watatoa commission kwa tanesco kwa ajili ya kufidia yafuatayo
1. Kusaidia kulipia leseni ya kuendesha mifumo ya LUKU ambayo ni mabilioni ya shilingi
2. Kufanya operation na maintance ya mita za luku kila Mwezi mi mamilioni...
Pole pole ameelezea jinsi mabeberu wanavyojaribu kutudhoofisha lakini ameweka wazi sababu za nchi moja kufunga ubalozi na kusema ni Mambo ya KIUCHUMI kwani baada ya serikali hiyo kubanwa kupata maslai wameamua kuondoka, msikilize hapa akiongelea uzalendo wa Hali ya juu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.