Serikali kutumia bure mifumo ya LUKU inayolipiwa leseni mabilioni ya tsh ni kuididimiza TANESCO kwani pesa yao unaingia Nzima inatoka nzima

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
843
1,363
Sijaona kipengele kuwa katika makusanyo ya Kodi ya jengo kupitia luku watatoa commission kwa tanesco kwa ajili ya kufidia yafuatayo

1. Kusaidia kulipia leseni ya kuendesha mifumo ya LUKU ambayo ni mabilioni ya shilingi

2. Kufanya operation na maintance ya mita za luku kila Mwezi mi mamilioni ya shilingi

I log out
 
Back
Top Bottom