ofisi za umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Katiba Mpya wale wanaojifanya Miungu watu katika ofisi za Umma watatuheshimu

    Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa ya Chama cha ACT-Wazalendo, Abdul Omary Nondo ameeleza hayo wakati akihutubia katika kongamano la ACT Wazalendo la Maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani lililofanyika katika Ukumbi wa Mrina, Dar es Salaam, Agosti 12, 2026.
  2. Baba mtakatifu91

    JamiiForums Tanzania Nini sababu ya ofisi za umma kuweka kondomu kwenye korido?

    Wadau wa JF sina shida na nyie nina shida na hizi ofisi za umma kuweka condom dispensers kwenye korido. Hii imekaa sawa kweli wadau? Mimi naona haijakaa poa sana sana ni kuhalalisha ufusika maofsini tu. Kwa mtindo huu tutegemee kuongezeka kwa matukio ya rushwa ya ngono pia na kuchapiwa wake...
  3. Kubwa la Maadui

    JamiiForums Tanzania Walokole ndo chanzo cha migogoro Ofisi za Umma na binafsi

    Hawa watu ndo chanzo cha migogoro yote katika kila ofisi Hawa watu anaweza kua anakuchekea lakn anakufanyia majungu hata shetani mwenye anatamani ajifunze somo kwao Hawa watu wapo kama miungu watu hawakosea na sisi wengine ni subhuman Hawa watu kusengenya ndo kipaji chao kikuuu ondoka...
  4. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Ofisi za NIDA zina changamoto maombi yanapotea na kujikuta ukikaa muda mrefu kusubiri majibu

    Ofisi za NIDA ni changamoto kubwa kwa wananchi. Unapeleka maombi yako na yanakaa hata miezi mitatu bila kushughulikiwa. Ukifuatilia, unaambiwa hukukamilisha taarifa fulani, na kibaya zaidi unaweza kukuta nyaraka ulizowasilisha zimepotea na hazionekani kabisa. Hali hii hukulazimu kuanza mchakato...
  5. Miguel Felix Gallardo

    JamiiForums Tanzania Siku ya leo hakuna utulivu kabisa kwenye ofisi za umma, mishahara iongezwe

    Serikali ifanye jambo kwa watumishi wake kwa kuwaongezea mshahara. NB: Mshahara ni addictive kama cocaine 🚨
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Kuna matumizi mabaya ya madaraka katika Ofisi za Umma, Watumishi wanalalamika

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema kuwa licha ya jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali, Utumishi wa Umma bado unakabiliwa na changamoto kadhaa, ikiwemo kutokuzingatiwa kikamilifu kwa sheria, kanuni, taratibu, miiko na...
  7. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Aise nimeumia,hata la OFISI za UMMA kuamia Dodoma? Sawa mama yupo zenji yeye SI ni Rais?

    Mmeyabana ga mengi ya Rais Magufuli na Nyerere hata la kuamia Dodoma nalo pia?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa kizazi hiki kinachosoma kwa kutumia Artificial inteligent lazima mabumunda yajazane kwenye ofisi za umma

    Yaani upuuzi mtupu. Unakuta kijana anapewa swali na mwalimu wake. Anatumia simu kwa akili mnemba ili kupata majibu. Taifa linazalisha mabumunda. Ndio maana uwezo wa kuperfom umepungua sana. Ofisi zimejaza mabumunda tupu.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kero gani umewahi kukutana nayo katika ofisi za umma?🇹🇿

    Watanzania wengi wanategemea huduma mbalimbali kutoka kwenye ofisi za umma—iwe ni kupata vyeti, leseni, mikopo, huduma za afya, elimu, ajira n.k. Lakini bado yapo malalamiko mengi kuhusu namna huduma hizi zinavyotolewa. Tuchambue kwa pamoja: Je, kero zipi umewahi kukutana nazo katika ofisi ya...
  10. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Taratibu baada ya kunoga TTCL inakufa, Mixx by YAS yachukua nafasi ofisi za umma

    Taarifa zisizo rasmi ni kwamba baadhi ya ofisi za umma wameelekezwa kuanza kutumia Yas. Kwahiyo shirika letu la umma ambalo awamu ya 5 ilijitahidi kurirudisha kwenye ushindani sasa mambo ni tofauti. Je, mmiliki wa Yas ni nani? Ukute ndo Hawa madalali
  11. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Bado Mungu anakupenda

    Hakuna DHAMBI tunayoifanya ipelekee kuchukiwa na Mungu wetu. Bado anakupenda sana. Ni hilo tu. Usiku mwema.
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Tanzania ya Wavivu: Ofisi za Umma leo zimefungwa kwa siku ambayo sio Public Holiday

    Kwa mujibu wa Sheria ya Nchi leo tarehe Julai 7 sio siku ya mapumziko, ni siku ya kazi kama siku zingine. Lakini ajabu ni kwamba ofisi zoooote za umma zimetiwa kufuli na watu wamepumzika kuanzia jumamosi. Yaani maafisa wamejipa tu mapumziko, kuanzia mtendaji wa kijiji mpaka Mwanasheria Mkuu na...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania RC Makonda aagiza Wazee na Viongozi wa Dini kutopanga foleni kwenye ofisi za Umma

    Wakuu kumekucha salama? Huko Arusha Mkuu wa Mkoa huo Paul Makonda ameagiza kupewa kipaumbele kwa Viongozi wa dini na Wazee wote wa Mkoa wa Arusha pale watakapokuwa kwenye Ofisi zote za Umma Mkoani humo kwa ajili ya kutafuta huduma. Mbele ya waumini wa Msikiti Mkuu wa Bondeni Jijini Arusha...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ofisi za umma zisizo na eneo la wageni kukaa wakisubiri huduma ina maana gani?

    Ni jambo la hovyo sana unafika ofisi za umma kuhudumiwa unakuta hakuna mahali pa raia/wateja kukaa kusubiria zamu yao kuhudumiwa, watu wamezagaa tu kwenye koridor kama nzi. Ni kero zaidi ukizingatia watumishi wengi utoaji huduma wao ni wa taratibu sana(slow people) na bado huwa wana muda mwingi...
  15. Bufa

    JamiiForums Tanzania KERO Mawasiliano ofisi za umma ni changamoto sijui kama Rais analijua hili?

    Mawasiliano ofisi za umma ni changamoto sijui kama Rais analijua hili. Simu zao hazipatikani kabisa na kama zinapatikana hazipokelewi wala hawajibu emails. Hili ni gonjwa sugu ofisi za umma karibu zote bongo. Jana niliingia website ya STAMICO kutafuta contact info zao cha ajabu namba waliyoweka...
  16. MR KUO

    JamiiForums Tanzania Uzembe na uswahili kwenye ofisi za umma ngazi ya elimu umerudi. Inasikitisha sana

    Kipindi cha awamu ya chuma,jiwe tulishuhudia huduma bomba sana kwa watumishi wa umma ngazi zote, kuanzia chini hadi juu, ila baada ya kuondoka inaonekana kaondoka na vyote mapanya buku yametawala baada ya paka kusepa. Majuzi hapa nilienda shule x kuomba nafasi ya uhamisho kwa kijana wangu wa...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali iunde Taasisi ya Usimamizi na Ukaguzi kwa Watumishi wa Umma. Hii PEPMIS tunawekeana 90% maisha yanakwenda, hakuna mabadiliko ofisi za umma

    Hello! Nikiwa kwenye corridor za umma takribani miaka 10 sasa nimejionea uzembe wa kiwango kikubwa sana. Watumishi wengi wa umma maadamu mshahara wao ni lazima wapate kila mwezi na posho zipo palepale basi watumishi hawataki usumbufu kabisa. Hata ubunifu hakuna. Unakuta ofisi leo inaomba...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kuanzia Julai 2024 watumishi watakuwa busy kujaza PEPMIS. Mnaotaka huduma ofisi za umma kazi mnayo

    Nimepata habari isiyo na shaka kuwa fomu za PEPMIS zitapaswa kujazwa na watumishi wa umma kila wiki Kama sasa hivi tu watumishi wanajaza kila mwezi wanakuwa busy je, ikiwa watumishi watajaza kila wiki itakuwaje? Wananchi mjipange. Jambo jingine. Serikali igawe laptops kwa watumishi wote maana...
  19. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya watoa huduma hasa wanawake customer service zao sio nzuri

    Hivi ni mimi tu sipendi kuhudumiwa na wanawake ofisi za umma au na wenzangu mpo kama mimi? Binafsi nikikutana na mwanamke ofisi ya umma au hata baadhi ya ofisi binafsi hasa wanaotoa customer service huwa huwa navunjika moyo sana. Watoa huduma wengi hasa wakike Tanzania wana customer service...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Watendaji wanadai hongo ili kupitisha barua za ajira zinazoelekezwa kwao kabla hazijafika kwa Mkurugenzi

    Kumekuwa na changamoto za watendaji kudai hongo kwenye post za ajira zinazoelekeza barua kupitia kwa watendaji ili barua yako ifike kwa mkurugenzi. Pia fursa zikija mtaani bila kutangazaa ajira portal hawatangazi kwa wanakijiji wanatembeza kimagendo ili wajiptie fedha.
Back
Top Bottom