President Yoweri Museveni on Friday held talks with businessman Rostam Aziz, the incoming majority shareholder of Nation Media Group (NMG), in the clearest sign yet that Uganda's highest political leadership is directly involved in efforts to resolve the closure of Nation Media - Daily Monitor ...
Afisa wa zamani wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda (UPDF) Michael Katungi Mpeirwe amekamatwa nchini Uganda na anatarajiwa kupelekwa Marekani kwa madai kwamba alishiriki katika njama ya ulanguzi wa silaha wa kimataifa wa mamilioni ya dola unaohusishwa na Cartel de Jalisco Nueva Generación...
Taarifa kuwa Rostam Aziz kapewa tuzo ya juu na waziri mkuu Lameck, ni matusi kwa taifa.
Eti kapewa tuzo kwa kuchangia kukuza uchumi! Anachangiaje kwa kutuibia? Je, kuna wakubwa nyuma yake hasa bi mkubwa mwenyewe au ni kuzidiwa akili kwa watawala wetu tokana na ukosefu wa ubunifu, udhu, na...
Mdogo wa Rostam Aziz, Akram Aziz akishirikiana na Mwenyekiti wa Hamsahauri ya Longido, Thomas Ngobei, na yule wa Monduli, Kisioki Moitiko wanadaiwa kumwaga mamilioni ya fedha za rushwa ili kuteka maelfu ya ekari za ardhi ya Wilaya za Longido na Monduli mkoani Arusha.
Akram ambaye pia...
Rostam na wafanyabiashara wengine kaeni mbali na CCM ! mtafilisiwa. Msifikirie kuficha pesa uarabuni inasaidia wale ni vibaraka wa USA karibu wote. Mkihusishwa na CCM na majanga ya mauaji hakuna atakae taka kufanya biashara na ninyi
Kumekuwa na 'wave' ya mtu anayejiita mfanyabiashara Rostam Aziz kujitokeza kwa uwekezaji mkubwa ktk nchi. Ghafla uwezo wa Rostam umekuwa kwa kasi sana!
Rostam Aziz ni jina la kibubu cha wanasiasa marafiki ktk serikali ya JK na hii ya lita 8,000. Wakubwa hawa wanachota pesa ya serikali na...
Mfanyabiashara, Rostam Azizi kupitia kampuni yake ya Taifa Gas Tanzania Limited, kwa kushirikiana na Amber Energy Investment L.L.C-FZ, wameingia makubaliano ya kununua biashara ya gesi ya kampuni ya Orca Energy Group nchini Tanzania inayomiliki mradi wa Songo Songo.
Kwa mujibu wa taarifa...
Nimemsikia na kumuona mfanyabiashara wa Tanzania, Rostam Aziz akitangaza kuinunua Kampuni ya Media ya Nation (NMG) ya Kenya. Amenunua hisa za familia ya Aghakhan zinazozidi asilimia 50. Kutokana na taratibu za biashara, Rostam saa ndiye mmiliki wa vyombo vyote vya habari vya NMG ambavyo viko...
Mfanyabiashara Rostam Azizi ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Machi 11, 2026 jijini Nairobi, Kenya wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu uwekezaji wake katika Kampuni ya Nation Media Group (NMG).
https://www.youtube.com/watch?v=k6BN7BQ7LQc
==============================
Pia soma ~...
Mfanyabiashara na mwekezaji wa Tanzania, Rostam Aziz amesema uwekezaji wake katika Kampuni ya Nation Media Group (NMG) unalenga kupanua shughuli za kampuni hiyo na si kupunguza wafanyakazi. Rostam ametoa kauli hiyo leo Jumatano, Machi 11, 2026 jijini Nairobi, Kenya wakati akizungumza na...
Mfuko wa Maendeleo ya Kiuchumi wa Aga Khan S.A. (Aga Khan Fund for Economic Development – AKFED) umeingia makubaliano ya kuuza asilimia 100 ya hisa zake katika Nation Media Group (NMG) kwa Taarifa Ltd, kampuni inayomilikiwa na mfanyabiashara wa Tanzania Rostam Azizi.
Azizi ana uwekezaji mkubwa...
Vinara wa rushwa ndiyo viongozi fake: Samia, Mwigulu, Kikwete na Rostam. Ndiyo maana Polepole hatunaye leo na Lissu kafugwa leo bila hata kuhukumiwa!!!
Bila kuwaondoa hawa Tanzania tutabaki kwenye shimo.
Rostam kunyamaza sio bahati mbaya!Anaona mbali. Anajua mambo sio mazuri na asipokuwa makini naye anaweza kuhusishwa na kesi ya Mama ya mauaji huko EU. Lakini anaogopa kampuni zake zisiwekewe vikwazo akashidwa kuchukuwa mikopo au yeye binafsi bank account zake zinaweza kutaifishwa za huko nje...
CCM mlisema Rostam Aziz ni mtanzania, mfanyabiashara mashuhuri, ni mwenzenu.
Sisi wana Igunga hatumuoni mbunge wetu wa zamani. Haonekani kufuatia hotuba ya Kapteni Tesha.
Taarifa za chini zinasema katimkia Zambia. Tunamuomba mzalendo huyu toka Iran, aje kupiga kura.
Tunachezewa sana! Eti...
Mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania Rostam Aziz akiwa na Rais wa Jamhuri ya Zambia Hakainde Hichilema wakati walipokutana katika Ikulu ya Lusaka baada ya mazungumzo ya kikazi ikiwa ni takriban miaka miwili impita tangu wawili hao wakutane mara ya kwanza.
Bilionea Rostam aliyeanza kuwekeza...
Mwamba wa demokrasia Afrika amelala, Mwamba aliyefungwa jela kwa uhaini akitetea watu wake amelala, Mwamba aliyepinga matokeo ya uraisi mahakamani na mahakama ikabatili ushindi wa Raisi Uhuru Kenyatta amelala, mwamba ambae huwezi kumwelezea kwa maneno peke yake ikatosha amelala, Mwamba...
Mabwana,
Najua mna furaha adui yenu aliyefichua mambo yenu amenaswa. Japo hakuna jipya kwa sababu tunaujua uchafu wenu, nawaomba chonde chonde.
Jitokezeni lau mkanusha hata kinafiki vinginevyo mjue. Your cover has been blown out. Kwa wanaume kweli, hili si jambo la kuacha upepo utulie...
Nipo YouTube naangalia mahojiano ya Absalom Kibanda na Mwalimu wa Rostam Aziz nadhani wabongo wengi hujenga hoja au kumkosoa mtu kwa kufuata upepo bila kutafuta facts.
Mahojiano haya yana facts za kutosha tu. Ila nilichobaini watanzania wengi hasa wakata ufuta ni wabaguzi sana na wana chuki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.