Michezo miwili itapigwa leo majira ya saa tano usiku kati ya Borussia Monchengladbach dhidi ya Manchester city huku Atalanta akiialika Real Madrid .
Kiwango bora walichonacho Manchester City katika mashindano ya ndani kinakwenda kujaribiwa usiku wa leo wakati watakapomenyana na Borussia...
Michezo ya ligi ya mabingwa barani Ulaya itapigwa hii leo ambapo, Atlètico Madrid ya Hispania atakipiga dhidi ya Chelsea ya England.
Michezo ambayo Atlètico Madrid amekutana na Chelsea katika mashindano ya Ulaya ilikuwa na matokeo sawa kwa timu zote, kila timu imeshinda mara 2 na kutoka sare...
Sevilla atakuwa mwenyeji wa Borussia Dortmund katika Dimba la Ramon Sanchez- Pizjuan .
Mara ya mwisho kukutana kwenye michuano hii timu hizo mbili ilikuwa msimu wa 2010- 11 kwenye Europa ligi hatua ya makundi. Sevilla alishinda 1 -0 wakiwa Dortmund na mchezo wa marudiano ulimalizika kwa sare ya...
Fainali ya Ligi ya Mabingwa ya UEFA ya 2005 ilikuwa mechi ya mwisho ya michuano hiyo ya msimu wa 2004-05 , mashindano ya mpira wa miguu huko Ulaya.
Fainali hiyo ilipigwa kati ya Liverpool ya England na Milan ya Italia kwenye Uwanja wa Olimpiki wa Atatürk huko Istanbul, Uturuki mnamo 25 Mei...
Dada zetu waliopo Ulaya wanaofanya kazi za kuwaangalia wazungu wazee sana na wenye matatizo ya akili hayo ndio yanayo wakuta dada zetu. Kutafuta pesa kazi sana Pole yake dada yangu huyu.
By Anne Soy
BBC Senior Africa correspondent
Nadhani sababu namba tatu na Nne zimetusaidia zaidi: Kun literature ya kutosha kuhusu hizo point mbili na siyo sala za Mungu na kujifukiza
So what are some of the reasons for Africa's relatively low death rate
Coronavirus in Africa: Five reasons why...
Tunajadili kwa jazba na wengine kuchochea na kutaka waletewe chanjo. Hii ni hisia mbaya za kuamini dunia ina matatizo hata kama sisi hali siyo mbaya kiasi hicho. Swali langu kuu ambalo linanipa taabu, ni kwa nini China ambako tunaambiwa ndo chanzo cha Corona hatujaisikia ikikimbilia chanjo kama...
Afrika Kusini inatarajiwa kununua dozi za chanjo ya virusi vya corona ya Oxford-AstraZeneca kwa bei mara mbili na nusu zaidi ya nchi nyingi za Ulaya.
Afrika Kusini ndiyo nchi iliyoathirika zaidi na maambukizi ya COVID-19 barani Afrika, inatarajiwa kupokea dozi milioni 1.5 za virusi vya corona...
Mzuka wanajamvi
Katika sheria ya haki za binadamu zinaruhusu muamiaji katika nchi zingine uwe mkimbizi wa kisiasa ama unafanya kazi ama kuishi kiuhalali katika nchi nyingine kupeleka familia yake ambao uliiiaacha kwenye nchi yako.
Unaruhusiwa kumleta mke na watoto chini ya mia 16 wako wa...
Kama ilivyo kwenye mashamba makubwa ya miwa Tanzania ya viwanda vya sukari kama Mtibwa, Kilombero nk ambako hutoa ajira nyingi mno za msimu kwenye mashamba yao vivyo hivyo Ulaya, Marekani na Kanada
Ona kijiji hiki cha Thailand ambacho ambacho wanakijiji wake kila mwaka msimu wa kuvuna matunda...
Wadau Habari za kazi. Nimetafakari Sana Miradi ya Kimaendeleo iliyoko Dar na hatua iliyofikia, inatia Moyo kiasi kwamba ndani ya mwezi 6 tangu sasa kwa MIUNDOMBINU Dar itakuwa Kama Ulaya.
Check Ubungo interchange, Flyover ya TAZARA, Flyover zinazojengwa Uhasibu na Ile ya makutano ya barabara...
Katika kipindi hiki ambacho Tanzania tumeweza kuidhibiti Corona kwa kiwango cha lami au standard gauge. Sasa nadhani tuna haja ya kutoa misaada kwa nchi nyingine za Ulaya na Marekani katika kudhibiti tatizo hili.
Kuna haja ya kuwafundisha namna ya ku deal na mambo kama haya lakini pia kwa...
Nakumbuka enzi zile ,nikimaliza lasaba natafuta meli ! Baharia ndio moja ya kazi za zama zile za geza ulole ,baada ya hapo ikaingia krosiboda na hata kuingia nchi za wazung baadae ndio ikafikia kujiripuwa ,ni kubakia ulaya na kuanza kujituma tukitumai maisha yatanoga na kweli yamenoga na wengi...
Hatuna uwezo lakini tufanye kitu hata kidogo kama gesture tu kuwa tupo pamoja
Si ndiyo sisi husema kutoa ni moyo!?
Wenzetu majanga yamekuwa makubwa sana, tusikae tu kama watu useless. Kila siku sisi wa kupewa tu!?.
Tukusanye hata kahawa kidogo, majani ya chai au korosho na kuwapelekea hawa...
Jana nilikuwa pale Forodhani Zanzibar nikakutana na wazungu wakihoji taratibu za kutafuta hifadhi nchini kwani kwao kuna Corona hawataki kurudi walikuwa kama kumi hivi wakasema pesa za kuishi wanazo.
Na wameona Tanzania ndio mahali salama kwao na familia zao kuliko makwao.
Serikali ijipange...
Habari wakuu!
Wiki hii imebadilisha mpangilio mzima wa ratiba yangu kwa kuumaliza mwaka huu. Kisa na Mkasa ni kama ninavyoendelea kueleza hapo chini.
Mwaka 2012 nilikutana na Binti mmoja ambaye alijitambulisha kwa Jina la Salome, tulikutana Dar es salaam pale Mlimani City, kwenye ATM ya CRDB...
Umoja wa Ulaya (EU) kupitia Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD), umeipatia Tanzania msaada wa Euro milioni 30 sawa na shilingi za kitanzania bilioni 84 kwa ajili ya kutekeleza mradi wa kujenga miundombinu ya kusafirisha umeme kati ya Tanzania na Zambia.
Sehemu ya fedha hizo, kiasi cha Euro...
EU na WB zimetoa msaada kwa Tanzania kufadhili miradi mbalimbali ikiwemo njia ya umeme wa KV 400 kwenda mpaka wa Tanzania na Zambia. Hili ni pigo kwa viongozi wa upinzani hasa Chadema wakiongozwa na TUNDU kwa upuuzi waliokuwa wakiufanya kuzurura kuisingizia nchi mambo mabaya ili tu kuona nchi...
In the opening ceremony of Africa - Europe foundation which was attended by various personalities from both continents, including the President of the Republic of Rwanda, Paul Kagame.
President Paul Kagame has emphasized that the relationship between Africa and Europe should base on mutual...