Mbivu na mbichi Sasa hadharani, kumbe hawa jamaa kulikuwa na mgao wa fedha waliopewa ili wawe wakimbizi!
Nilishangaa Lemma eti naye mkimbizi, pengine Lissu yeye bado mkataba wake wa kuwa mkimbizi haujaisha mpaka sasa.
Na Lemma alikuwa anagoma kurudi, bado yule Mzee wa maswali magumu
Pole pole ameelezea jinsi mabeberu wanavyojaribu kutudhoofisha lakini ameweka wazi sababu za nchi moja kufunga ubalozi na kusema ni Mambo ya KIUCHUMI kwani baada ya serikali hiyo kubanwa kupata maslai wameamua kuondoka, msikilize hapa akiongelea uzalendo wa Hali ya juu
Ubeberu wa kimataifa umejiundia tangu kale mahusiano ya kiuchumi ambayo wao ni kama bahari. Mito yote kutoka nchi kavu na maziwa lazima yaishie kwao baharini.
Kuna mito huingia kwenye maziwa halafu kuna mito inatoka kwenye maziwa kwenda baharini. Kenya ni kama ziwa kwa uchumi wa tanzania...
Hoja yangu nimeiweka kwenye namna ya swali ili tuweze kupata majibu sahihi, na tuangalie vyema hali yetu ya kiusalama kiuchumi, kijamii na kisiasa pia.
Vita ya kiuchumi imepamba sana Moto, maadui wetu wanatumia mbinu mbalimbali ili watufute kwenye sura ya dunia.
Shirika kubwa la afya la...
Mbona haya makampuni yamekuwa mengi sana? Kampuni nyingine tena imepeleka GOT kwenye arbitration likidai pesa yake. Kampuni hii ilizuiwa kuchimba madini japo ilikuwa imepewa mining licence.
========
Montero secures US$2.32 million for battle with Government of Tanzania
Jan 11, 2021
Montero has...
Taasisi za kibeberu zimekaa mkao wa kula,aliyenacho ataongezewa, jamaa wametikisa uchumi wa dunia na sasa wako tayari kukopesha ili kusaidia hali ya mambo iliyokorogeka.
Kutokana na demand kubwa ya kukopa, riba itakuwa juu, na wakopeshaji watachagua wa kukopesha... Kipaumbele watapewa mataifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.