My Take
Nakubaliana na Prof.Kitila Mkumbo na kwamba nimewahi andika hapa jukwaani kuwa Mzungu yeyote hata asupotoa hata jero haiwezi yumbisha Tanzania Kwa sababu Bajeti yetu ya Zaidi ya Trilioni 62 inapata Msaada wa Mabeberu Kwa chini ya Trilioni Moja Kwa mwaka. Pia soma Ongezeko la bajeti ya...
Hamjambo!
Wote tunajua kuna ukoloni mamboleo. Zaidi tunafahamu nchi nyingi za kiafrika zilipata uhuru wa bendera.
Tunafahamu pia Katiba inayotumika ni ile ya 1977 ambayo kimsingi inatumia mfumo uleule wa Kikoloni licha ya baadhi ya amendments kadhaa kufanyika.
Kupitia madhaifu hayo. Tumeona...
Sina zaidi la kueleza maana mada za Nchimbi jukwaani ni nyingi.
Je, kibano cha mabeberu kinafanya kazi yake na watu wanfikiri sawasawa sasa?
At any rate , hata Mwalimu mwaka 1977 aliwahi kusema TUJUSAHIHISHE, kama msimamo wa TANU/CCM.
Shida iko wapi kujisalimisha na kukubali kuwa kibaraka wa Marekani kama nchi za Gulf za Saudi Arabia, Kuwait, Oman, UAE, Bahrain na Qatar pamoja na nyingine kama za Japan, Korea Kusini na Israel ili tusichochewe kupigana wenyewe kwa wenyewe na kuharibu nchi zetu?
Kwa nini CCM haioni umuhimu wa...
Ndugu zangu kwa masikitiko makubwa jana mabeberu wamewalipa watu wote walioingia kwenye hafla ya miaka 30 ya bongo fleva ili wamzomee, kumbagaza na kumbananga mwana FA.
Inauma sana. Mimi kama abduli aka Ponjoro wa Kinondoni nimesikitika sana. Na bado.
Habari za Jumapili.
Kwa uelewa wangu huu ninaamini kabisa Wazungu, mabeberu kamwe hawataruhusu nchi walizozitawala ikiwemo Tanzania ifanye Jambo ambalo litaiinua nchi, kuiendeleza, ikiwezekana kuwapita wap.
Mtibeli naamini, Ukiona Mzungu hakuzuii kufanya Jambo Fulani linalokufanya uendelee...
Hili ni kosa kubwa sana wala sio la kulipwa pesa na kuchochea vijana waingie mitaani kufanya uhaini.
Sasa inakuwaje tunaambiwa kuwa watu wamewekewa pesa ili kulipa vijana waandamane?
Ushahidi wa waliolipwa upo na namna pesa zilivyowafikia upo. Kwa nini hawakamatwi?
My Take
Naunga mkono Kauli ya Marais wetu kuhusu hao Mabeberu ambao wameweka mapandikizi Yao huku Africa Kwa jina la Wapinzani na Wanaharakati.
Hao Beberu wanaua raia wasio na hatia kwenye Nchi zingine wanazoanzisha vita bila kujali Haki za binadamu.Kwani hao hawastahili Haki? Haki za binadamu...
Historia ya Afrika imejaa simulizi za utajiri wa rasilimali, lakini pia simulizi za kuporwa kwa rasilimali hizo. Mara nyingi lawama zote hupelekwa kwa mabeberu wakoloni na makampuni ya kimataifa kwa sababu ya kuhodhi thamani ya dhahabu, almasi, mafuta na madini mengine. Lakini tukirudi nyuma...
Chadema haikuanzishwa ili kupingapa na dhamira ya waasisi wa Taifa letu ya ku-mantain national sovereignty. Nashangaa kuona Leo hii chadema wanafanya siasa kwa mgongo wa mabeberu hii ni aibu na ni ujinga mkubwa.
Chadema haikuanzishwa ili kuirudisha nchi kwenye utawala wa mabeberu, chadema...
amani
amani ya nchi
bila
chadema
chama
from
health
hii
kimbilio
kuanza
kuhujumu
mabeberu
maisha
mental
mental health
mmoja
mtu
mtu mmoja
nchi
sovereignty
taifa
taifa letu
waasisi
wamefanya
wao
where
Kama viongozi wa chadema kutwa wanakesha wanapitisha kapu la donation kuwatapeli watu nchini, Je! Wanauwezo wa kulipia land huko kwa mabeberu? Je wanauwezo wa kusomesha watoto huko kwa mabeberu? Je! familia zao zinaishije huko kwa mabeberu? Wanatudhalilisha waafrica tunaonekana hatuwezi kutunza...
Ni either mimi hesabu za Kihasibu sijui au Hawa jamaa waheshimiwe!
Makala inaniambia kampuni la Marekani Apple, wenye iPhone, Mac, na iPads zao, wana net-worthy ya zaidi ya US$4.5 trillion tunavyoongea.
Hapo hapo budget yetu kwa mwaka ni US$24 billion.
Kwahiyo ukigawa hapo si kwamba Apple...
Watu watatu wamefariki baada kushukiwa kuambukizwa virusi vya hantavirus katika meli moja ya kubeba abiria iliyokuwa ikisafiri katika bahari ya Atlantiki, hii ni kulingana na taarifa iliyotolewa na shirika la afya duniani WHO.
Kisa kimoja cha hantavirus kimethibitishwa, huku visa vingine vitano...
Kila mara tunaambiwa kuwa umaskini wetu unasabanishwa na kutawaliwa na wakoloni na kuendelea kugandamizwa na mabeberu.
Sasa kama ni hivyo mbona viongozi wetu wao siyo maskini, au wao hawajathiriwa na ukoloni na ubeberu?
Hali ya mambo siyo shwari ila CCM wakiambiwa ukweli wanachachamaa na kusema wanaowakosoa wamelipwa na mabeberu.
Picha hiyo hapo chini inaonesha wananchi wa eneo la Ngongowele Wilayani Liwale Mkoani Lindi wakiwa na mabango yanaoonesha wanataka mabadiliko kwenye eneo lao.
CCM wanadhani tatizo ni...
Inachosha kusikia kila siku "Mabeberu ndio wanatuvuruga," "Mabeberu ndio chanzo cha vita Afrika na Asia." Hivi hamchoki na huu upuuzi? Hamuoni aibu?
Hebu tumia akili yako kidogo (kama unayo):
1️⃣ KWANINI MABEBERU WANALINDA NCHI ZAO? 🛡️
Kama mabeberu ni wabaya sana, mbona kwao hakuna vita...
Samia akilindwa na kina Mafwele,Wambula na Mkunda alidhani hakuna mtu yeyote KWENYE Dunia hii anaweza mkoromea.
The same to Traore akiwa na kabunduki kiunoni basi anajiona yupo na nuclear weapons.
Jifunze kilichomkuta Madulo, alikuwa na mdomo, mikwara, na kuwatesa wapinzani, baada ya kuungwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.