Rafiki yangu amefanya ukatili wa the West, amempiga Sanctions mchepuko wake Kama Putin, anahaha

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
843
1,363
Vita vya Urusi na Ukraine vimemsaidia sana rafiki yangu kuhandle mchepuko wake uliokuwa unakidomo Domo unaotaka kuharibu ndoa yake.

Alifanyiwa kila kitu na rafiki yangu huyu mchepuko mpaka kanyumba na kagari akapewa, Ila ameleta shida katika ndoa ya jamaa Sasa amepigwa vikwazo vikali (Sunctions) mbalimbali ikiwemo za kiuchumi , kijamii, Kama ambavyo amepigwa Putin, halaf tuone.

Rafiki yangu kahaso kwa ajili yake na mtoto aliezaa nae halaf analeta shida,.

Kaenda haribu kwa wife wa jamaa Shem wangu ,lakini rafiki yangu ameshaongea na wife wake mpaka akaenda kwao kuomba msamaha maana aliondoka , na amesamehewa kwa masharti magumu na Sasa yeye na mke wake wameshauriana na Sasa ameanza kumpiga Sunctions Kali mchepuko.

Na hizi ni moja ya Sunctions ambazo amepigwa Shem mchepuko.

1. Kapokonywa mtoto wa miaka 5 Sasa ataenda kuishi kwake.

2. Amepokonywa Gari, atatembelea daladala.

3. Amefukuzwa kwenye nyumba ya mshikaji, akatafute pa kuishi .

4. Ameondolewa katika kuchukua Kodi za fremu za maduka kwenye moja ya nyumba ya rafiki yangu , alikuwa ameambia atakuwa anachukua Kodi ni zaidi ya miaka minne amekuwa akifanya hivyo.

5. Hatotumiwa feza yeyote , hata awe na shida na kwa vile Hana mtoto Hana pa kulilia.

6. Jamaa kamblok kila mahali, simu, wasap, twita, Facebook.

7. Amewekewa vikwazo vya kuwasiliana na ndugu za jamaa, na ndugu yeyote atakayejifanya anaingilia nayeye atapigwa Sunctions, kwakuwa jamaa ana mahela labda ndo maana.

Sasa nilivyoangalia sakata hili nikagundua Ile mbinu wanayotumia watu wa magharibi Kupiga Sunctions kumbe huwa inatumika hata Huku mtaani sema hatuitagi Sunctions.

Ndio maana Diamond asicheze na serikali inaweza ikampiga Sanctions Kali na asionekane kwenye ramani, we fikiria huyo mshikaji wangu ni mtu wa kawaida Ila amefanya dada wa watu anataka kujiua kwa Sanctions alizopewa Sasa serikali je.

Michepuko tulieni Kama mnapata mnachotaka tulieni.

Pamoja na Sunctions , pia jamaaa anapiga sana propaganda za kumuathiri mwanamke huyo, anatembeza propaganda Kali, Mara anaenda kwa waganga, ana nuksi, ni mwenye tamaa.

Lakini hizi zote ni propaganda Ili dada wa watu azidi ingia shimoni
 
Mkuu unavyoshadadia hili suala inaonekana ni furaha kubwa sana kwako.

But kaa ukijua kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi. Hawa wanawake bana, kuwakomoa ni ngumu sana.

Hapo ni suala la muda tu, mchepuko atapata danga lingine tena inawezekana lenye mawe zaidi ya blaza ako, hapo hakuna rangi mtaacha ona.

Na hivi hana obligation yoyote ile, maana hata mtoto mnalea ninyi.

On the other side, inawezekana nyie ndo mnachezewa keusi kekundu, yaweza kuwa jamaa yako bado anaipiga ile nyenye kimyakimya wakati nyie mnakata viuno kuhisi mmeshinda.

Lile tobo tamu jamani
 
Inasikitisha na kuhuzunisha kwa namna vijana wanavyoidhalilisha na kuishusha thamani taasisi ya NDOA.......

Vijana kama bado ni mtumwa wa matakwa yako na umepoteza udhibiti wa matamanio yako kwanini kukimbilia NDOA......

Kama huwezi kutulia na huyo ambaye umekula kiapo mbele za Mungu kuwa yeye ndio wapekee kwanini uliamua kuoa....??

Ni Bora uchelewe kuoa kuliko kuwahi kuoa alafu bado unatangatanga nje ya ndoa.......
 
Kwani brotha wako anategemea asilimia ngapi ya ges na oil hasa wakati wa baridi kwa huo mchepuko?

Yasije yakatokea yale ya urusi na nato watu wakaanza kwenda kutafuta gas na oil mbali kwa gharama za juu na wao ndo waloweka vikwazo.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Vita vya Urusi na Ukraine vimemsaidia sana rafiki yangu kuhandle mchepuko wake uliokuwa unakidomo Domo unaotaka kuharibu ndoa yake.

Alifanyiwa kila kitu na rafiki yangu huyu mchepuko mpaka kanyumba na kagari akapewa, Ila ameleta shida katika ndoa ya jamaa Sasa amepigwa u, wasap, twita, Facebook.
Hawa omba omba wa Dar iko siku akili zitawarudi tu.
 
Vita vya Urusi na Ukraine vimemsaidia sana rafiki yangu kuhandle mchepuko wake uliokuwa unakidomo Domo unaotaka kuharibu ndoa yake.

Alifanyiwa kila kitu na rafiki yangu huyu mchepuko mpaka kanyumba na kagari akapewa, Ila ameleta shida katika ndoa ya jamaa Sasa amepigwa vikwazo vikali (Sunctions) mbalimbali ikiwemo za kiuchumi , kijamii, Kama ambavyo amepigwa Putin, halaf tuone.

Rafiki yangu kahaso kwa ajili yake na mtoto aliezaa nae halaf analeta shida,.

Kaenda haribu kwa wife wa jamaa Shem wangu ,lakini rafiki yangu ameshaongea na wife wake mpaka akaenda kwao kuomba msamaha maana aliondoka , na amesamehewa kwa masharti magumu na Sasa yeye na mke wake wameshauriana na Sasa ameanza kumpiga Sunctions Kali mchepuko.

Na hizi ni moja ya Sunctions ambazo amepigwa Shem mchepuko.

1. Kapokonywa mtoto wa miaka 5 Sasa ataenda kuishi kwake.

2. Amepokonywa Gari, atatembelea daladala.

3. Amefukuzwa kwenye nyumba ya mshikaji, akatafute pa kuishi .

4. Ameondolewa katika kuchukua Kodi za fremu za maduka kwenye moja ya nyumba ya rafiki yangu , alikuwa ameambia atakuwa anachukua Kodi ni zaidi ya miaka minne amekuwa akifanya hivyo.

5. Hatotumiwa feza yeyote , hata awe na shida na kwa vile Hana mtoto Hana pa kulilia.

6. Jamaa kamblok kila mahali, simu, wasap, twita, Facebook.

7. Amewekewa vikwazo vya kuwasiliana na ndugu za jamaa, na ndugu yeyote atakayejifanya anaingilia nayeye atapigwa Sunctions, kwakuwa jamaa ana mahela labda ndo maana.

Sasa nilivyoangalia sakata hili nikagundua Ile mbinu wanayotumia watu wa magharibi Kupiga Sunctions kumbe huwa inatumika hata Huku mtaani sema hatuitagi Sunctions.

Ndio maana Diamond asicheze na serikali inaweza ikampiga Sanctions Kali na asionekane kwenye ramani, we fikiria huyo mshikaji wangu ni mtu wa kawaida Ila amefanya dada wa watu anataka kujiua kwa Sanctions alizopewa Sasa serikali je.

Michepuko tulieni Kama mnapata mnachotaka tulieni.

Pamoja na Sunctions , pia jamaaa anapiga sana propaganda za kumuathiri mwanamke huyo, anatembeza propaganda Kali, Mara anaenda kwa waganga, ana nuksi, ni mwenye tamaa.

Lakini hizi zote ni propaganda Ili dada wa watu azidi ingia shimoni
Wakisharogwa ndo watajua.
 
Nimeamini umbea ni umbea tu,, hata uwekewe misemo ya kizungu na mbwembwe zingine..

acha U M B E A
 
Back
Top Bottom