mkali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    Kupitia Sheikh Mwaipopo na Kikundi chake , US na EU kuitambua Serikali ya CCM kua yenye kufadhili Makundi ya Kigaidi na uisilam misimamo Mkali !!

    Mimi kwakweli sielewi , Ni akili za Mwigulu, ni za Katambi ñi za Abdul??. Hivi hamuoni hatari mnayoileta kwenye Usalama wa NCHI??. Mwigulu huna akili hata kidogo kweli?? Hamjui mnachokitengeneza sasa ni Kuhalalisha Adui wa Samia waliopo ndani ya CCM kuandaa Vijana ili mradi tu Mauaji...
  2. Yoda

    Vatican yawatenga na kuwaondoa kundini Wakatoliki wa SSPX wenye msimamo mkali.

    Papa Leo XIV amewandoa kundini na kuwanyang'anya Sacramenti zote Wakatoliki wa SSPX wenye makao makuu Switzerland baada ya kuwasimika Maaskofu wanne wapya wa order yao kinyume na katazo la papa Leo. SSPX ni Wakatoliki wanaoshikilia msimamo mkali na WA kale zaidi wa dini wakiendesha misa zao...
  3. E

    Kutana na Eazy Credible: Mkali wa Melodic Rap kutoka Arusha anayetesa na Album ya 'ALL TIME PRAISE' (Sikiliza Hapa)

    Wadau wa burudani na wapenzi wa Hip-Hop/Melodic Rap ya ukweli hapa nchini, mambo vipi!Leo naomba kuwasogezea kazi zangu mpya kutoka kwa msanii anayechipukia kwa kasi kutoka pande za Arusha, Eazy Credible. Amekuja na ladha ya tofauti kabisa yenye ujumbe wa kusisimua na midundo ya kisasa...
  4. MALCOM LUMUMBA

    Legacy kuu za Mwalimu Nyerere: Mwiba mkali kooni mwa Watanganyika

    Mwenye macho haambiwi tazama. Haya ndiyo mambo makuu ambayo Mzee Nyerere aliiachia Tanzania na yamedumu hata baada ya yeye kuondoka, na kuna hatihati kwamba yataendelea kuwepo kwa muda zaidi hapa nchini. Ukweli mchungu ambao wafuasi wa Mzee Nyerere hawapendi kuukubali ni kwamba mambo haya yana...
  5. sonofobia

    Je, uhakika ya Ibrah ndio ni wimbo bora wa 2026 AU unabebwa na upepo tu?

    Nimekuwa nikisikia watu wengi wakisema Uhakika ya Ibrah ndiyo wimbo bora wa mwaka 2026. Sawa, nakubali unafanya vizuri sana. Wimbo unachezwa kila mahali: bodaboda, kwenye mabajaji, mitandaoni, kwenye sherehe na hata WhatsApp status. Hilo halina ubishi. Lakini nina swali moja: Je, umaarufu wa...
  6. M

    Kuna ukweli biashara ya kubeba mizigo kwa kirikuu imeyumbishwa na maguta ya Kichina

    Hapo zamani biashara hasa za hardware walikuwa wanatumia sana kirikuu kubeba cement, mabati, nono, n.k. lakini sikuhizi tunazidi kuona kasi ya maguta yakichukua nafasi hii wafanyabiashara wanaoenda kununua vitu kama maduka makubwa nao hawachezi mbali wameanza kuyaelewa maguta Pia kirikuu...
  7. M

    Tazama jinsi Misri ilivyojenga ukuta wa tabaka saba kuwazuia Wapalestina kuvuka, Walinzi wamewekwa kumpiga risasi yeyote ataevuka.

    Tazama jinsi Misri walivyojenga kuta zenye matabaka saba na kuweka walinzi wenye bunduki ili kuwazuia wasiiingie
  8. Yoda

    Ujiji Kigoma kukoje? Kwa nini Bar imepingwa vikali? Wakazi wake ni Waislamu wa msimamo mkali?

    Kuna tayari nimeiona ya wiki kadhaa zilizopita kuhusu ufunguzi wa Bar/Pub Kigoma Ujiji ulioleta mtafuruku mkubwa sana mpaka ikabidi aliyefungua Bar aende kukaa na vizee vya hapo kupata ridhaa zao! Wahojiwa wengi wa hapo wakizungumzia jambo hili la Bar kufunguliwa Ujiji ni kama vile wale raia wa...
  9. Arsenal Gunner

    Hivi Kuna msanii mkali wa singeli kuzidi kaje double killer huyu 45 anatisha sana

    Ngoma zake hazijapoa huyu jamaa ndio msanii wangu Bora wa singeli mda wote sababu ngoma zake Zina ujumbe sana na ni Kali jamaa kabalikiwa kipaji kikubwa sana na ametokea kukubalika sana na raia ukisikiloza ngoma zake maisha unayaona simple sana 45 namba chafu
  10. A

    KERO Ajira Mpya TAMISEMI Sumbawanga tunalia njaa, tusaidiwe fedha zitoke, tukihoji HR anakuwa mkali

    Ninaomba mtusaidie kupaza sauti kuhusu suala la kupata pesa za kujikimu sisi ajira mpya upande wa TAMISEMI Sumbawanga Municipal Council. Nimepata ajira yangu huku lakini ninayoyasikia na kuyaona yanaumiza sana. Kinachumiza zaidi ni kwamba HR wa Manispaa ni mkali kama pilipili alituambia siku...
  11. Stuxnet

    Mojtaba Khamenei atoa msimamo mkali kuhusu vita kwa njia ya maandishi

    Hotuba yake imesomwa kwenye vyombo vya habari na haya ndiyo yaliyojiri:- Kiongozi Mkuu mpya wa Iran amezungumza sasa hivi, na ni mbaya zaidi kuliko nilivyotarajia. Kauli kuu: 1.“Vituo vyote vya Marekani vinapaswa kufungwa mara moja katika eneo hilo, vituo hivyo vitashambuliwa” 2.“Tutapata...
  12. Kiranja Mkuu

    Mjue Vaya, mwanamuziki chipukizi mkali wa Chapakazi Studios

    Vaya ni mwanamuziki mpya kwenye game, product ya Chapakazi Studios. Ni mwanamuziki wea kike mwenye tungo kali sana zenye ujumbe mzito wa kutia moyo, kukupa nguvu na mwelekeo mpya wa maisha baada ya kuumizwa moyo. Muziki wa Vaya ni muziki wenye kuganga moyo na kukusogeza hatua elfu mbele Hebu...
  13. Mi mi

    Kwa nini vita huanza na msisimko mkali mwanzo halafu baadae hupooza ?

    Ukitazama vita vya Urusi na Ukraine namna vilivyoanza na sasa hali ni tofauti kabisa unaweza hisi labda Ukraine hakuna vita. Ukija vita vya Gaza navyo vilianza kwa msisimko mkali baadae vikapoa hata ukisikia mabomu yamerushwa Gaza hakuna jipya,rockets zimerushwa Israel hakuna jipya. Hivyo...
  14. T

    Kitabu cha Art of Seduction kimenipotezea mtoto mkali

    Me nilijua kwa kutokuwa predictable mfano siku ya Valentine sikumtumia hata text, ku keep distance kisha unarudi na vibe, kum treat kama victim. Basi ningemsogeza karibu zaidi. Lakini nasikitika kuwaambia kuwa kwasasa anani avoid sana , text hajibu yaani ile connection imepotea, ndege...
  15. L

    Hii Ndiyo Picha Ya Siku Ya Rais Samia Katikati ya Ulinzi Mkali wa Kijeshi Na TISS Iliyoteka Hisia Za Watu Duniani Kwote.

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Tanzania Tupo level za juu sana, tupo mbali sana ,tunacheza katika anga letu linapokuja suala la mikakati na mipango. Sisi ni Taifa kubwa ,sisi ni Taifa La Mungu ,Sisi Ni Taifa Barikiwa,Sisi Ni Mpango wa Mungu. Napata raha sana ,napata furaha sana ,nakoshwa...
  16. Bani Israel

    Moto mkali unawaka muda huu maeneo ya keko Furniture/Njiapanda toroli

    Moto mkali mpaka sasa umeunguza nyumba 3 na godown moja ambalo lilikuwa limejaa magodoro. hadi sasa vikosi vya ulinzi vipo hapa fire ilikuja moja ikazidiwa ikabidi badala ya kuzma chanzo wapambane kuzuia moto usendelee kwa sasa zimefika nyingine mbili so zoezi la uokozi linaendelea.
  17. Bawabu wa pili

    Njombe: Mvua na upepo mkali vyabomoa na kuezua nyumba tano Makambako

    Soma pia: Bukoba: Zaidi ya nyumba 300 zazingirwa na maji baada ya mvua kubwa kunyesha Mvua yabomoa, kuezua mabati kwenye nyumba tano huko Makambako mkoani NjombeNyumba tano zilizopo Mtaa wa Idofi, Kata ya Mlowa mjini Makambako mkoani Njombe zimeharibiwa baada ya mvua kubwa iliyoambatana na...
  18. youngkato

    Nina upweke mkali - Ambao tayari tumeshaumizwa na mapenzi kwa mwaka 2026, tukutane hapa

    Nina upweke mkali - Ambao tayari tumeshaumizwa na mapenzi kwa mwaka 2026, tukutane hapa
  19. Titicomb

    Matt Damon (Bourne), Jason Statham (Bishop), Tom Cruise (Hunt), Vin Diesel -Mark Sinclair(Torett): Nani mkali unamkubali zaidi kwenye action movie ?

    Wapenzi wa kuangalia action movies na Blockbuster movies karibuni tuweke maoni yetu. Tuambie nani unamkubali sana uingizaji wake au uhusika wake kwenye movie zilizo fanya vizuri sana. Hapo chini naweka jina lake halisi, la kuigizia na jina la movie husika. Matt Damon (Jason Bourne) :- Jason...
  20. ERTUGRUL BEY

    Waleta Fujo na Wavuruga Amani Wajikuta Kwenye Mtego Mkali

    My people, Hawa watu wasio itakia meme nchi yetu wanajikuta katika mtego ufuatao Kwanza wakiandamana kuna uwezekano wa kuingia mwaka 2026 wakiwa selo au hospitalini wakijiuguza,kwahiyo watakuwa wamejichagulia wenyewe wauanze vipi mwaka Na wasipoandamana basi ndio itakuwa mwisho wa mikakati...
Back
Top Bottom