Waymo ni kampuni tanzu ya Alphabet Inc. (kampuni mama ya Google) inayojihusisha na utengenezaji na uendeshaji wa teknolojia ya magari yanayojiendesha yenyewe (autonomous vehicles / robotaxis).
Mradi huu ulianza mnamo mwaka 2009 ukiwa kama mradi wa siri ndani ya maabara ya Google X (Google X lab)...
Zimbabwean-born technology executive James Manyika has received one of Harvard University’s highest honours, the W.E.B. Du Bois Medal, joining a list of internationally recognised figures who have made significant contributions to Black history, culture and public life.Manyika received the award...
Adobe imekuwa ikilalamikiwa na baadhi ya watumiaji wake kutokana na gharama za usajili na ada za kughairi huduma.
Brandon Thomas ametumia uwezo wa AI kutengeneza programu zinazolenga kuchukua nafasi ya bidhaa mbalimbali za Adobe zitazokuwa bure na wazi, bila kuhitaji kulipia usajili. Watumiaji...
adobe
bomu
bure
duka
gani
googlegoogle pixel
hata
iphone
kiwango
kufungua
kutengeneza
makampuni
makampuni ya simu
mbadala
mmoja
mtu
mtu mmoja
n.k
nuclear
photoshop
pixel
premiere
pro
simu
software
wameshindwa
Mwanachama Manyanza kwenye mtandao wa JamiiForums anaelezewa kama mmoja wa wachangiaji wakongwe, maarufu, na wenye ushawishi mkubwa sana (Platinum Member).
Amejiunga na mtandao huo tangu Novemba 4, 2010, na kwa sasa ana sifa zifuatazo zinazomtofautisha jukwaani:
1. Umaarufu na Mchango Mkubwa...
Wadau wa JamiiForums, hamjambo!
Leo katika kufanya kwangu upembuzi yakinifu wa namna teknolojia ya akili mnemba (AI) na mitambo ya utafutaji (Search Engines) inavyochambua mienendo ya kisiasa na kijamii nchini Tanzania, nimeamua kuifanyia majaribio injini ya Google. Niliiuliza swali rahisi...
Kuna mabadiliko mapya yanayoweza kubadilisha kabisa namna tunavyolipia huduma ndani ya Android apps! 🔥
Google inakuja na Mfumo unaitwa Usage-Based Billing ambapo unaruhusu watumiaji kuweza kulipia huduma kulingana na matumizi yao badala ya kulazimika kulipa subscription ya kila mwezi.
Hii...
Google imeanza mchakato wa kuondoa Mfumo wa kutumia Qr Code kuweza kuunganisha simu na kompyuta kwenye Google Messages for Web .
Zamani ukienda kwenye Messages for Web, ulipata QR Code kwenye kompyuta: Simu → Messages → Device Pairing → Scan QR Code → Scan QR kwenye PC sasa mambo...
Wakuu, nimerequest PIN kwaajili ya Kuverify Adsense Account, nimesharudia mara 3 sasa, ila haiji.
Posta nimeenda sana (uzuri ni box private, na mtu wa Posta tunakutana so aliona jina langu lazima anishtue), ila wapi.
Inamaana barua tatu zote zisifike? Na sijakosea address kwamaana barua...
Google Messages imeanza kusambaza mabadiliko mapya ya namna ya kuangalia muda wa ujumbe uliyotuma au kutumiwa na kujibu ujumbe moja kwa moja kwa njia rahisi.
Kupitia update mpya ya Google messages version ya 20260910_03_RC02
Program ya Google Messages imefanya mabadiliko kadhaa mapya kwa...
Kama una mpango wa kununua simu used Toka kampuni ya Google yani Google Pixel basi kabla ujaamua kutoa pesa yako leo nakuambia jambo Muhimu 👋.
Sio kila Pixel unayoiona dukani ni deal nzuri 😬 Baadhi ya model za zamani zimeanza kusogea mwisho wa masasisho na support, zingine Betri zinazingua...
Google imesema mwaka huu Watu wote wataipenda Google Messages bhana 😃😃
Google inaandaa UI mpya(muonekano mpya)kabisa wa Google Messages 😍📱 — na kwa kweli, muonekano wake unaonekana safi, wa kisasa na rahisi zaidi kutumika!
🔍 Search inahamia chini kwa matumizi rahisi ya mkono mmoja
✨ Gemini...
Google imetoa update mpya upande wa Gmail Ina msaada mkubwa sana kwa watumiaji wa Gmail👋.
Kuanzia sasa Ukipokea verification code kwenye Gmail, huhitaji tena kufungua email na kuanza ku-select namba moja moja. 😮💨
Gmail sasa inaonyesha “Copy code” — bonyeza tu, code ina-copy moja kwa moja 📋⚡...
Mpaka sasa ukitaka kupakua app kwenye Play Store, chaguo kuu lilikuwa Cancel na Ukicancel, download inaanza upya kutoka mwanzo.
Google inaanza kujaribu Pause & Resume kwenye downloads za Play Store! 👀 Sasa utaweza kusimamisha download ya app na kuendelea baadaye pale ilipoishia, badala ya...
Mwanzoni Google Photos ilikuwa inaunda stacks yenyewe yaani picha zinazofanana, kama picha 10 ulizopiga wakati mmoja, zinaweza kuunganishwa na kuonekana kama kundi moja.
Sasa Google Photos kwenye Android imeleta uwezo wa kuweka picha unazochagua mwenyewe kwenye “Photo Stack” moja. Badala ya...
Google imeanza kusambaza Android 17 QPR1 Beta 9 kwa watumiaji wa Pixel, ikiwa imejikita zaidi kwenye kuboresha stability, performance na kurekebisha bugs. 📱⚡
Google iliitoa update hii Toka 17 Agosti 2026, ikiwa na build CP31.260623.012. Je 🚀 Nini kipya kwenye Beta 9 ?
🔄 Fix ya reboot loop...
Naamini wanaJF wengi mtakuwa mnamjua huyu jamaa huko mitandaoni hasa YouTube.
Mwalimu google ni nguli mchambuzi wa maswala ya siasa za kimataifa na siasa na Tanzania,haamini katika mfumo wa democrasia.
Haamini kama ardhi ya watanzania ni mali ya watanzania,katiba zote ni mbovu hii ya sasa na...
Hatimaye Google inaongeza kipengele ambacho watumiaji wengi wa Pixel wamekuwa wakikisubiri kwa muda mrefu! 😍📱
Kupitia Android 17 QPR2 Beta 3, simu za Pixel zinaanza kupata uwezo wa kufunga apps moja kwa moja kwa kutumia Fingerprint, PIN au Pattern.
Sasa unaweza kulinda WhatsApp, Gallery...
Baada ya miaka karibu 10 ya kuwasaidia mamilioni ya watumiaji duniani, Google Assistant anaondoka rasmi kwenye simu za Android.
🤖 Kuanzia sasa, Google anabadilisha kila kitu kwa kumleta Gemini AI kuwa msaidizi mpya wa simu. Hii ina maana kuwa ukisema "Hey Google", badala ya Google Assistant...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.