Rostam kanunua tiGO kwa Tzs Bil 230, wakati thamani ya 25% ya kampuni ya Voda ni TZS Bil 470, so thamani ya Voda ni mara 20 ya tiGO?

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Oct 30, 2010
837
1,358
Hivi ina maana thamani ya Voda ni mara 20 ya thamani ya tiGO, haya manunuzi kafanya bilionea Rostam.

Mimi sijaelewa kabisa Bei ya manunuzi haya, wataalamu mtufungue. Au ndo Hawa wamefake thamani ya Voda kuwa ni trilioni 2 watu wamenunua hisa 25% kwa bilioni 480, halafu Hisa zenyewe haziuziki. 1/4 ya Pesa hizo za asilimia 25 zimeenda kununua tiGO na machenchi kibao.
 
Hivi ina maana thamani ya Voda ni mara 20 ya thamani ya tiGO, haya manunuzi kafanya bilionea Rostam.

Mimi sijaelewa kabisa Bei ya manunuzi haya , wataalamu mtufungue. Au ndo Hawa wamefake thamani ya Voda kuwa ni trilioni 2 watu wamenunua Giza 25% kwa bilioni 480 , halafu Hisa zenyewe haziuziki. 1/4 ya Pesa hizo za asilimia 25 zimeenda kununua tiGO na machenchi kibao
Mbona kama ni cheap sana? Aliuza hisa zake za voda now kanunua tigo. Kwani nani alikuwa mmiliki wa tigo wa awali? Maana mmiliki wa wa awali millcom iliuza kampuni zake zote ikajiondoa Afrika
 
Sikilizia, thamani ya Voda ni TZS 2000Bilioni, Rostam kanunua Tigo kwa TZS 200 Bilioni Sasa gawanya 2000/200= 10
Ni mara 10 c 20
Sasa mkuu kama 25% ya kampuni ni 470B, inakuwaje thamani ya kampuni nzima iwe 2000B?, thamani ya kampuni nzima inatakiwa iwe 1880B. Na kwa mantiki hiyo thamani ya Vodacom itakuwa mara 8 ya thamani ya tIGO, na siyo mara 10 wala mara 20. Lasivyo urekebishe data zako Mkuu.
 
Watu wa mahesabu hao
 
Mda mwingine halipi cash zote , anachofanya ni kuwaapa share tigo za vodacom kwa kubadilishana na hela kidogo

Lakini atakuwa kanunua asilimia 30 ya tigo sio yote now hairuhusiwi kumiliko zote kwa kampuni zaa simu
 
Hivi ina maana thamani ya Voda ni mara 20 ya thamani ya tiGO, haya manunuzi kafanya bilionea Rostam.

Mimi sijaelewa kabisa Bei ya manunuzi haya , wataalamu mtufungue. Au ndo Hawa wamefake thamani ya Voda kuwa ni trilioni 2 watu wamenunua Giza 25% kwa bilioni 480 , halafu Hisa zenyewe haziuziki. 1/4 ya Pesa hizo za asilimia 25 zimeenda kununua tiGO na machenchi kibao
Kiuchumi kawaida sana hio kuna parameters zinakubali vizuri tu voda iko juu
 
Back
Top Bottom