Madereva wa mabasi na malori ngoma bado mbichi; wanaweza wakawa wamemaliza suala la kukatwa point za leseni lakini suala la ku-renew leseni ya Cass C bado.
Dereva huwezi ukawa una uzoefu wa kuendesha gari miaka 30 leo unaambiwa ukasomee. Sheria hii ilipaswa kutumika kwa maderava wapya...
Wana-Jamii Forums salamu,
Kama mnavyofahamu, nchi imeshuhudia taharuki na usumbufu mkubwa kufuatia mgomo wa ghafla wa madereva wa mabasi ya mikoani na malori unaopinga utekelezaji wa mfumo mpya wa Jeshi la Polisi wa kukata pointi kwenye leseni za udereva kila wanapofanya makosa.
Binafsi...
Madereva tunajuana, lazima tutoke ndio tupate ugali na ada za wanetu.
Kama wamegoma kipumbavu futa leseni zao kabisa na kama waligoma kwa katazo la wamiliki wa mabasi futa kabisa leseni zao za kusafirisha. Hakuna kucheka na wasiofuata utaratibu...
ABIRIA WANAOPANDA BODABODA WASIO NA LESENI NAO WATOZWE FAINI. KABLA HUJAPANDA BODABODA, ULIZA LESENI KWANZA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Leseni ni kama kadi tuu.
Inaweza kuwa softcopy kwa wenye simu kubwa, au hardcopy kwa wasio na simu. Sio mzigo mkubwa.
Haya mambo mtu anajifunza...
Ndugu zangu wa JamiiForums,
Ajali za barabarani zimeendelea kupoteza maisha ya ndugu zetu, kusababisha ulemavu, na kurudisha nyuma uchumi wetu kupitia uharibifu wa mali. Mara nyingi tumekuwa tukilaumu ubovu wa miundombinu au magari, lakini ukweli ni kwamba chanzo kikuu cha ajali ni kiburi...
Tunaomba kuwasilisha malalamiko kuhusu changamoto ya kushindwa kupata huduma kupitia mfumo wa Madini Portal, hali ambayo imekuwa ikisababisha usumbufu na hasara kwa waombaji na wadau wa sekta ya madini.
Madini Portal ni mfumo muhimu unaotumika kutoa na kufuatilia huduma mbalimbali zinazohusiana...
Anonymous
Thread
huduma
kero
kuhusu
kupatikana
kupitia
leseni
madini
malalamiko
mfumo
portal
Kati ya mwaka 2025 na 2026, Serikali imeendelea kuwawezesha wachimbaji wadogo kupitia mafunzo na upatikanaji wa maeneo rasmi ya uchimbaji. Jumla ya vijana 1,239 wamepatiwa mafunzo ya uchimbaji salama, utunzaji wa mazingira na uchenjuaji, huku maeneo 99 ya vitalu yakitengwa rasmi kwa ajili ya...
Chuo cha Meru Driving, Arusha, kinanirudisha kila ninapofuatilia suala hili.
Wanasema mimi ndiye mwenye makosa, wakati nilitakiwa kutumia cheti hicho muda wowote. Ninalazimishwa kutoa pesa kwa askari ili niweze kupewa leseni.
Naomba kuuliza, nilisoma, nikafanya mtihani na nikapewa cheti; kwa...
Anonymous
Thread
changamoto
chuo
driving
habari
kuhusu
leseni
meru
mfumo
mpya
police
sakata
usajili
wide
Naomba kuuliza wadau, je, endapo gari liliibiwa mwezi wa Novemba 2025, halafu katika mfumo wa madeni ikaonekana kuwa kuna mtu aliendesha gari hilo mwezi Desemba 2025 bila leseni na akatozwa faini, taarifa hiyo inaweza kusaidia katika kumtambua au kumkamata mwizi wa gari hilo?
Kwa kuwa tukio la...
Anonymous
Thread
baada
bila
gari
katika
kuibiwa
leseni
madeni
magari
mfumo
mjini
mtu
naomba
wadau
wizi
wizi wa magari
Dereva wa gari kubwa amelalamikia vikali hatua ya askari wa usalama barabarani kuwakata pointi kwenye leseni zao kutokana na ubovu wa magari ambayo ni ya kampuni. Amesema kuwa adhabu hiyo inawanyima fursa ya kuendelea kufanya kazi na kuhudumia familia zao pale pointi hizo zinapomalizika, huku...
Habari za wakati huu wadau,
Mimi ni dereva binafsi sipingani na mpango wa suala la ukataji wa pointi katika leseni za udereva, lakini suala hili limekuwa na lengo la kukandamiza upande mmoja tu.
Suala la dereva kupewa piont 15 kwa muda wa miaka 5 sio sawa, labda ingewekwa kila mwaka dereva...
Kero yangu ni Kitengo cha Leseni za Biashara/Viwanda Vidogo (SME), Wilaya ya Ilala. Kimekuwa kikichukua muda mrefu sana kushughulikia maombi ya leseni.
Unaweza kukuta umeomba leseni kupitia mfumo wa TAUSI, halafu inapita hata miezi minne bila kupata leseni. Ukienda kufuatilia, watumishi wao...
Hello wakuu natafuta mtu yoyote amba ana ujuzi wa leseni za Tanzania Gaming Board Jinsi zinavyofanya kazi, nimeshatuma propasal ya suala langu TGB nimeambiwa inaweza kuchukua wiki tatu hadi mwezi so wakati inafanyiwa kazi nataka nikutane na mtu mwenye uzoefu anipe elimu zaidi, nitashukuru sana...
Madereva wa Dar es salaam kufungiwa leseni . Hizi sheria ziop lakini huwa hawafuati.
1. Dereva wa Hizi Eicheza za Gongo la Mboto- Masaki, Kawe- Tegeta na Gerezani, wao muda wote wanapiga honi kali bila msingi wowote.
2. Maderva wa bajaji , mbezi -gerezani wao wanaendesha pole pole na wanakaa...
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dodoma, imemsimamisha kazi ya uwakili kwa miezi sita Wakili Johnson Johannes Kachenje, baada ya kubainika kuipotosha Mahakama kwa kuwasilisha hukumu za uongo zilizotengenezwa na mfumo wa Akili Mbandikiza (Artificial Intelligence - AI).
Hukumu hiyo imetolewa...
RMO Chunya na Songwe, tunawaomba mchukue hatua za haraka na za kisheria dhidi ya leseni za utafiti wa madini ambazo zimepitwa na muda au hazifanyiwi kazi, badala ya kuendelea kuacha maeneo makubwa ya madini yakiwa yamefungwa kwa miaka mingi.
Kuna taarifa zinazoonyesha kuwepo kwa leseni...
Binafsi ninafahamu ili upate leseni daraja E lazima uwe umesoma course ya HGV
Sasa inakuwaje N.I.T ili usome HGV wanataka uwe na leseni class D
Naona kama ni funny inakuwaje mtu uwe leseni husika alafu uende tena chuo ukasome wakati una cheti na leseni Class D?
Naomba muongozo!!
Sisi ni wahitimu wa mafunzo ya udereva kutoka Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Ikwiriri, kilichopo Wilaya ya Rufiji, Mkoa wa Pwani.
Tunahitimu mafunzo mwezi Aprili 2026 na kufaulu vizuri. Tayari tumepatiwa vyeti vya kuhitimu, lakini tunapokwenda TRA kwa ajili ya kupata leseni za udereva...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.