wakurugenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DCI Yawafikisha Wakurugenzi Watano Mahakamani kwa Udanganyifu wa KSh41 Milioni wa SHA

    Kurugenzi ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) imewafikisha mahakamani wakurugenzi watano wa vituo viwili vya afya kwa madai ya kuhusika katika mpango wa udanganyifu uliolenga Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA). Washukiwa hao, ambao ni wakurugenzi wa Nissi Medical Centre na Dawa Front Healthcare...
  2. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania CCM kwa sasa imetengeneza kundi la kiutawala. Wakuu wa mikoa na wilaya pamoja na wakurugenzi wamekuwa maofisa wakazi wa kudumu

    Ikichunguza kwa makini utagundua miaka ya hivi karibuni kumekuwa hakuna mabadiliko makubwa ya kiutawala kama miaka ya nyuma kabla ya hizi tawala mbili za hapa mwisho. Hili jambo limefanya kuwe na shida na utemi kwa hawa watawala. Je ni kwamba CCM kwa sasa inachukua mlengo wa kikoloni zaidi ya...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Juma Mkomi: Kuzuia barua za uhamisho wa Mtumishi ni uhalifu, Hilo si jukumu la Wakurugenzi na Wakuu wa Taasisi

    Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi, amewataka Wakuu wa Taasisi na Wakurugenzi kuacha kuzuia barua za uhamisho wa watumishi wa umma, akieleza kuwa kufanya hivyo ni kosa linalokiuka taratibu za utumishi wa umma, amesungumza hayo Mei 26, 2026...
  4. data

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi lipeni Stahiki za Walimu. Rais Kaagiza

    Hakuna nyongeza, hakuna madaraja hakuna promotions wala increment... Lipeni stahiki za walimu.. Acheni uhuni na uwizi. Acheni kukaa na hela sio zenu. Mimi ni muhanga ..familia yangu ina wahanga wengi... Lipeni posho zote alizotaja Rais ikiwemo uhamisho na mengine. Waziri mkuu asimamie...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Reuben Kwagilwa: Wakurugenzi tatueni changamoto msisubiri ziara za viongozi

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI Reuben Kwagilwa, amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuendelea kuwasimamia watendaji walio chini yao ili watatue changamoto za wananchi kwa wakati, badala ya kusubiri ziara za viongozi wakuu ndipo hatua zichukuliwe. Maelekezo hayo...
  6. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Kihongosi imeingia doa, wakurugenzi wa halmashauri na wafanyabiashara wapaza sauti

    Wakuu, Ziko taarifa kuwa ziara ya Kihongosi inayoendelea inaacha maumivu makubwa kwa wananchi na wafanyabishara ambapo kwa upande wa Wakurugenzi wanalazimishwa kutoa fedha nyingi kwa ajili ya Kihongosi ambapo fedha hizo zilishapangwa kwenye bajeti za halmashauri kujenga zahanati, matundu ya...
  7. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania WIZI huu Nina uhakika wakurugenzi wa HALIMASHAURI wanausika kikubwa mno maana ni nchi nzima.

    SHUGHULI zangu zinanifanya nisafiri kila uchwao na njia kuu ninazotumia ni BARABARA, na kupitia kwenye stand zetu zilizojengwa kwenye HALIMASHAURI mbalimbali. Nikianza na stend kuu ya Magufuli, Kuna habaria wengi wanatumia stend Ile na WANALIPA viingilio lakini hawapewi risit wao wanalipishwa...
  8. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Kama kauli hizi ni za kweli, usalama wa taifa,uhamiaji na Jeshi wakurugenzi watumbuliwe aachwe IGP, walitaka kumwalibia KAZI

    KAULI ya Rais yakuwa Kuna vijana wa Kenya waliingia Tanzania na kuandamana tarehe 29 ni inshara tosha yakuwa Jeshi la uhamiaji na Jeshi la wananchi lilimuujumu kikubwa IGP Ili atumbuliwe. Je NGO zilizowalipa vijana Ili waandamane zilisajiliwa na nani? Nisemw ukweli Rais Samia anahujumiwa...
  9. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Bodi ya wakurugenzi kwenye mashirika ya umma wawepo hata foreigner ili kuongeza ufanisi

    Kwa mda mrefu sana bodi za wakurugenzi kwenye mashirika ya umma zimekuwa ni sehemu za watu kumalizia uzee nikimaanisha zimekua ni sehemu za wale walio-staafu serikalini wanachaguliwa kwenye hizi board Sio sawa Bodi za wakurugenzi wa mashirika ya umma iwe sehemu ya kumalizia uzee Sina nia mbaya...
  10. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Majukumu ya wakurugenzi wapewe wabunge

    Ukiangalia asilimia kubwa ya wabunge wetu ni tourist nikimaanisha wako kwenye comfort zone kubwa sana na fedha wanazozipigania bungeni zikija jimboni mamlaka nazo sio sawa hata kidogo Kama nchi kuna haja gani ya kuwa na wakurugenzi mda huo huo kuna wabunge hii inapelekea wabunge wengi kutumia...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi wa H/Shauri zote nchini wawe Wanajeshi!!!

    Habarini, Kutokana na ubabaishaji wa wakurugenzi wanaoteuliwa na Rais kuwa wababaishaji napendekeza wakurugenzi wa H/Shauri zote nchini wawe wanajeshi. Hii ni kutokana kwamba wanajeshi wameonesha kufanya kazi vizuri katika sehemu nyingi wanazosimamia ikiwemo uRC, uDC,uRAS,nk. Naomba kuwasilisha
  12. D

    JamiiForums Tanzania AIBU KUBWA SANA: Hawa ndio Wakurugenzi wakubwa wa Makampuni ya mitandao ya simu Afrika Ya Mashariki. Hakuna Mtanzania hata mmoja

    Wakurugenzi Wakuu (CEOs) wa Makampuni ya Mitandao ya Simu Tanzania, Kenya na Uganda. Tanzania. 1. Vodacom - Philip Besiimire - Uganda 2. Airtel Tanzania - Charles Kamoto - Malawi 3. Yas - Pierre Canton-Bacara - France 4. Halotel - Nguyen Tien Dung - Vietnam Kenya 1. Safaricom - Peter Ndegwa...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Hussein Mwinyi ateua wakurugenzi wapya 11 wa Manispaa, Mabaraza ya Miji na Halmashauri za Wilaya za Unguja na Pemba leo Mei 20, 2025

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Manispaa, Mabaraza ya Miji na Halmashauri za Wilaya za Unguja na Pemba katika Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ leo Mei 20, 2025. Miongoni...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Wakurugenzi 100 wakutanishwa katika mkutano wa Kwanza wa Mwaka wa Uzoefu kwa Wateja jijini Dar es Salam

    Mkurugenzi Mtendaji wa Real Interactiv Inc. Bi. Caroline Maajabu Mbaga, akizungumza katika mkutano wa Kwanza wa Mwaka wa Uzoefu wa Wateja (Customer Experience Conference) uliofanyika Hoteli ya Hyatt Regency jijini Dar es Salaam. --- Dar es Salaam, Tanzania – Mkutano wa Kwanza wa Mwaka wa Uzoefu...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Maslahi ya Wakurugenzi TANESCO

    1. Mwenye kujua maslahi ya Wakurugenzi TANESCO atujuze. Naweza kulamba uteuzi hapo TANESCO muda wowote, insha'Allah. 2. Nipo Mlingotini ubani kama wote. Safari hii MD lazima nichukue mwenyewe. Nikiingia hapo lazima ninunue apartments Dubai. #Reforms_tupa_kule#. Wabillah Taufiq
  16. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi waliosabibisha hasara kubwa kwenye mashirika ya umma wajiuzulu, Rais futa watu kazi

    Kuna umuhimu gani wa kwa wakurugenzi wote waliorekodi hasara kubwa katika mashirika ya umma wanayoyaongoza kuendelea kuwa kazini? Hakuna uwajibikaji katika utumishi wa umma kabisa na ukichunguza kwa undani hasara nyingi katika mashirika ya umma yanasabibishwa na ufisadi, uzembe, wizi ikiwepo...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Kosa Dogo Ambalo Hupelekea Wakurugenzi Wa NGOs Kutumia Mamilioni Ya Fedha…

    Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGOs) ambayo yamesajiliwa kwa mjibu wa sheria ya mwaka 2002 ya Mashirika yasiyo ya Kiserikali, mashirika hayo yanawajibika kufanya marejesho ya taarifa za shughuli zake pamoja na taarifa zilizo kaguliwa na kuidhinishwa na mkaguzi aliyesajiliwa na Bodi ya Wahasibu...
  18. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchengerwa awaagiza wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi kupanga ratiba ya uzinduzi wa miradi iliyosalia kwa kushirikisha wabunge

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohammed Mchengerwa amewaagiza wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri kupanga ratiba ya uzinduzi wa miradi mbalimbali iliyosalia kwa kushirikisha wabunge. Akizungumzia suala hilo, Mchengerwa...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Wakurugenzi Kama kuna miradi ya kuisimamia kipindi hiki kaisimamieni kwa weledi ili kuwapunguzia viongozi maswali kwa wananchi

    Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa wametakiwa kusimamia kwa weledi miradi ya maendeleo ili kuwapunguzia viongozi maswali kwa wananchi. Maelekezo hayo yametolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa jijini Dodoma kwenye...
  20. MSONGA The Consultant

    JamiiForums Tanzania Ushiriki wa Bodi ya Wakurugenzi kwenye Usimamizi wa Mpango Mkakati kwa Kampuni au Shirika

    Bodi ya Wakurugenzi ni chombo nadi ya kampuni au shirika chenye lengo la kusimamia maslahi ya wanahisa/wanachama kwa kuhakikisha kwamba kampuni au shirika linaendeshwa kwa kufuata misingi na taratibu zilizowekwa, ambapo Bodi ya Wakurugenzi ndio yenye jukumu la kuandaa misingi na taratibu hizo...
Back
Top Bottom