tour

 1. Jabali la Siasa

  Tazama filamu ya The Royal Tour

  Check filamu kali ya Tanzania Royal Tour inayotarajiwa kuzinduliwa tarehe 22|04|2022 nchini Marekani, Starling wa filamu hii kali ni Mhe Rais Samia Suluhu Hassan. Filamu hii inatarajia kutuletea watalii wasiopungua mil 5 na mapato yatokanayo na Utalii yanatarajiwa kufikia $5BL kwa mwaka hapo...
 2. K

  Ni kweli kwamba ubora wa Royal Tour utaikosesha waangaliaji?

  Watu wamedis ubora wa film ya Royal tour hasa kwa namna picha zinazoonekana kwenye nyasi zilivyomweka mbali na upeo wa sura yake halisi. Wengine wanadis driving na matendo haviendani au havionyeshi reality, mixing ya issue it's like aliyefanya Hana uzoefu ni kipi kinapatikana Tz. Utalii na...
 3. MBWARI

  Waziri Ndumbaro: Royal Tour ya Rais Samia yaanza kuzaa matunda kwa kuleta wawekezaji

  SHUGHULI za Royal Tour zilizokuwa zikifanywa kwa mara ya kwanza nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan za kutangaza vivutio vya Utalii, Biashara na Uwekezaji nchini zimeanza kuzaa matunda kwa wawekezaji kuanza kujitokeza kuwekeza hoteli za kisasa ndani ya hifadhi...
 4. Lord denning

  Mafanikio ya Royal Tour yaanza kuonekana kwa kasi ya kutisha, Hongera Rais Samia

  Leo gazeti za Citizen limeripoti mawakala wa Utalii kutoka Nchini Marekani wameingia Tanzania kujionea vivutio vya Utalii vilivyopo hapa nchini Kwa ajiri ya kuwaleta Wamarekani. Hii ni wiki chache tu tangu Rais Samia Suluhu Hassan afanye kipindi maarufu duniani kinachohusiana na utalii na fursa...
 5. B

  Gerson Msigwa ndani ya DW akieleza sababu za Rais Samia kurekodi makala ya Royal Tour

  Katika kipindi cha Kinagaubaga cha Idhaa ya Kiswahili ya DW cha nchini Ujerumani, Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa ameeleza kiundani sababu za Rais Samia kurekodi Makala Maalum itakayoonyeshwa katika kipindi cha Royal Tour ambayo itatangaza Utalii, fursa za uwekezaji zilizopo nchini...
 6. CM 1774858

  Tanzania ya pili duniani kwa vivutio asilia vya utalii, tulikwama wapi?

  Kila mwaka duniani kuna wastani wa watalii 1.5 bilioni wanatafuta ni wapi waende kutali || Sisi Tanzania ni nchi ya Pili kwa vivutio vingi vya asili duniani lakini tunaambulia watalii chini ya 2m kwa mwaka hapa kunajuhudi zinahitajika Sehemu, " Hakuna kama Samia " Niseme kidogo kuhusu Rais...
 7. Jaji Mfawidhi

  Tetesi: ROYAL TOUR NI WAZO ZURI LAKINI...."watergate mpya" , "EPA"

  ROYAL TOUR NI WAZO ZURI LAKINI. Royal tour Nzuri lakini haikupasa kiongozi wa nchi kupuuza matatizo mengi ya wapinzani kupigwa, kuzuiwa mikutano huku yeye akizunguka na kuaminisha Mabeberu kuwa kuna demokrasia wakati wana mabalozi, wanaona mitandaoni nk. lakini pia, kuna mengi tu, hii ROYAL...
 8. BAK

  The Royal Tour ya Rais Samia ni wazo zuri lakini…

  ROYAL TOUR NI WAZO ZURI LAKINI... Nimetafakari sana kabla sijaandika maneno haya. Nina wazo gumu na mkono wangu hauna uwezo wa kuandika wazo langu kwa usahihi. Huu ni ulemavu wa wengi. Unachokitaka unakijua lakini kukiandika kwa usahihi huwezi. Huku vijijini ukipata mgeni wa kulala...
 9. B

  Royal Tour: Lini Tujifunze Ukiritimba ni Counter Productive?

  Kama nchi yaweza kuwa kukwama kwetu ni matokeo ya kuendekeza ukiritimba. Ukiritimba kila mahali. Si kwenye siasa, haki za kukusanyika, haki za kuzungumza, haki za kujumuika, kushirikishwa, kuona nk. Ni ukiritimba kwa kwenda mbele. Beberu yuko huku: Sisi hata ya royal tour...
 10. Komeo Lachuma

  Si vyema kumuita Rais wetu Tour Guide. Na hii picha kweli huyu Mzungu anaonesha dharau kubwa kwetu

  Sijui...kama nmekosea mtanikosoa. But tusifikie hatua hii ya mtu kuandika kuwa yupo na tour guide rais wa tanzania samia suluhu. Tena bila hata kuweka H.E kama vile anaongelea tu kitu cha kawaida.
 11. Nyankurungu2020

  PICHA: Rais Samia na Peter S Greenberg wakiandaa Royal tour lakini hakuna 'social distancing'

  Walinzi wa rais wanachemka sana, ikumbukwe kuchanja Jonhson and Jonhson sio uhakika wa kutopata maambukizi ya Uviko -19
 12. Stephano Mgendanyi

  President Samia's Royal Tour: A new gear for the country's tourism, trade & investment development

  WEDNESDAY SEPTEMBER 08, 2021 President Samia Suluhu Hassan is now spending over a week's time in preparation of the most awaited documentary that explores the finest attractions of the country's sites. Equally hit by the Covid-19 pandemic since late 2019, that has seen world's traveling and...
 13. C

  Kama ilivyokuwa kwa Living With Michael Jackson Royal Tour ya Rais Samia yaweza kuwa na lengo baya kwa Tanzania

  Kwa mliofuatilia uandaaji na hatimaye kuoneshwa kwa makala maarufu ya Living With Michael Jackson mtakubaliana nami namna mwandishi mashuhuri Martin Bashiri alivyomrubuni, Mfalme wa Pop Duniani, Hayati Michael Jackson, kushiriki kwenye uandaaji wa makala kwa kumhakikishia kuwa makala hiyo...
 14. S

  Royal Tour inaweza kugeuka kashifa kwa Rais Samia itayotumiwa na wapinzani kwenye kampeni za 2025 panapo Tume Huru ya Uchunguzi

  Nia na dhamira inaweza ya kufanya hii tour inaweza kuwa ni nzuri, ila sidhani kama wamefanya utafiti wa kutosha kuhusu namna sahihi ya kuitengeneza/kuifanya ili kupata matokeo mazuri. Aina ya washiriki ndio wanaoweza kuifanya hii tour ilete matokeo chanya, na wanaoshiriki akiwemo Rais Samia...
 15. Komeo Lachuma

  Rais anatumia kodi zetu vibaya, Royal Tour yake haina faida ni Ufujaji wa pesa za Maskini

  Rais alipaswa afikirie mambo makubwa ya msingi na kuachana na uigizaji anaoufanya kwa kutumia pesa zetu vibaya. Toka ameteuliwa kuwa Rais anazunguka tu. Hatulii kufanya kazi. Nchi hii watu wanaiba ye hana hata habari ana talii tu. Haya mambo ni ufujaji wa pesa za umma. Badala yake ndo...
 16. Stephano Mgendanyi

  The royal tour kupaisha utalii na uchumi wetu wa Tanzania

  THE ROYAL TOUR KUPAISHA UTALII NA UCHUMI WETU WA TANZANIA Heko kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kuongoza na kurekodi kipindi Maalum cha The Royal Tour kuonyesha vivutio vyetu vya utalii,utamaduni wetu pamoja na vivutio vya Uchumi katika Taifa letu...
 17. OKW BOBAN SUNZU

  Royal Tour: Serikali itoe mchanganuo wa gharama

  Nimefuatilia kwa mamlaka zote wanipe mchanganuo wa wa gharama za Royal Tour sijafanikiwa? Naambiwa uko ngazi za juu. Nafikiri hili jambo lifanyike kwa uwazi na uwajibikaji isije kuwa kichaka cha kupiga kodi za wananchi. Rais asituambie tu anafanya tour, atuambie bajeti ya tour ni pesa ngapi...
 18. Lord denning

  Rais Samia, The Royal Tour isiache maeneo haya...

  Amani iwe nawe Mama yangu! Kwanza napenda kukupongeza kwa hii creativity kubwa uliyokuja nayo ya kushiriki na kuiweka Tanzania kwenye ramani ya dunia kupitia program maarufu ya “The Royal Tour” Program hii kwa ufahamu wangu imezinyanyua nchi nyingi sana katika sekta ya Utalii na Uwekezaji Mf...
 19. comte

  Royal Tour ft Mama Samia: Wanaopinga wasome makala hii

  Rwanda: The Royal Tour: Selling Rwanda as a success story Netanyahu: SPOTTED! Netanyahu reading 'The Jerusalem Post' during filming of 'Israel: The Royal Tour'
Top Bottom