mawe

The Mawé, also known as the Sateré or Sateré-Mawé, are an indigenous people of Brazil living in the state of Amazonas. They have an estimated population of about 13,350. The Sateré-Mawé were the first to domesticate and cultivate guarana, a popular stimulant.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Umeme wa jua wazidi umeme wa makaa ya mawe nchini China

    Takwimu zilizotolewa hivi karibuni na Mamlaka ya Nishati ya Kitaifa ya China zinaonesha kuwa, uwezo wa kuzalisha umeme kwa nishati ya jua nchini China umefikia kilowati bilioni 1.286, ukizidi uwezo wa kuzalisha umeme kwa makaa ya mawe kwa mara ya kwanza, na kuwa chanzo kikubwa zaidi cha umeme...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada dawa ya mawe kwenye nyongo

    Habari za maisha ndugu zanguni. Naomba Kwa mtu au mtaalamu yeyoye anaeweza kinisaidia matibabu au dawa ya mawe kwenye nyongo bila upasuaji. Nina mgonjwa wangu,ameenda hospitali amepewa dawa lkn Dakatari Kwa uzoefu wake amesema dawa zinaweza zisifanye kazi,hivyo njia nyingine ni kufanyiwa...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Futuhi ya vyakula China! Wanapika mpaka mawe

    Chakula cha mawe" nchini China ni chakula cha kitamaduni kinachoitwa Suodiu (嗦丢), ambapo mawe madogo ya mtoni yanakaangwa na viungo kisha unanyonya ladha yake na kuyatema bila kuyameza. Chakula hiki kimepewa jina la utani kama "chakula kigumu zaidi duniani" kwa maana halisi ya neno kuliko...
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Milima ya mawe hutokana na nini?

    Wanajiografia na wasomi wengine. Hii milima ya mawe sehemu kama Mwanza, Dodoma na Iringa hutokana na nini?
  5. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Hii imenisikitisha sana hivyo sitalikalia wazi nitaliongea wa kujifunza ajifunze wa kunirushia mawe arushe

    Kuna kitu nimekishuhudia weekend hii ngoja nisimulie hapa labda mtajifunza hasa wazazi. Ijumaa nilikua chimbo moja nimekaa peke yangu natafakari ugumu wa maisha na harakati zake huku nasubiri mdada ambae tulikua na miadi nae, ni aina ya wale mabinti dishi limeyumba ila wazuri balaa, dkk 1...
  6. Jamii User

    JamiiForums Tanzania Msipoimba hata mawe yataimba: Msiposema hata Punda atasema

  7. figganigga

    JamiiForums Tanzania Polisi: Changamoto hazitatuliwi kwa kurushiana Mawe, kufanya Vurugu bali kwa kukaaa pamoja, kuongea na kusahihisha kama Watanzania

    Msemaji wa Jeshi la Polisi DCP David Alphonce Misime akieleza hali ya Ulinzi na Usalama katika maonyesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba), amezumgumzia Amani ila hakuzungumzia haki. Kasema Baraka ambazo ametuwezesha Mwenyezi Mungu Pumzi inatuwezesha kufanya shughuli mbalimbali za...
  8. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Nawashangaa sana wale wanaosheherekea vikwazo! Si watu wema kwa taifa letu ni wa kupigwa mawe!

    Ukiona mtu anafurahia nchi kuwekwa vikwazo ana changamoto ya afya ya akili. Niliwahi kufika Zimbabwe 🇿🇼. Wamewekewa vikwazo zaidi ya miaka 20 sasa. Familia za viongozi wa Serikali, upinzani na Zanu Pf wanatibiwa Singapore 🇸🇬. Vituo vya mafuta vya ZUVA nchi nzima ni Mali ya Rais Mnangagwa...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo: Raia akimrushia jiwe Polisi, general order yake inamwambia 'Attack first'

    Wakuu Jana bungeni Waziri wa diplomasia na mambo ya nje Kombo raia wa Zanzibar anayefanya kazi Tanganyika amesema katiba yetu inataka polisi akirushiwa jiwe ampige risasi haraka raia anayerusha na kilochotokea Oct 29 ni cha kikatiba Yale mauaji yalfanyika kwa sababu polisi walirushiwa mawe...
  10. Life2

    JamiiForums Tanzania Tusiposema sisi kuhusu Damu za Watanganyika wenzetu hata Mawe yatasema tu

    Ni maajabu karne hii ya uwazi, karne ya ChatGPt, AI, Copilot..nk unataka kudanganya umma wa watu milioni 70 na ulimwengu mzima kwa Propaganda fake. Lengo la yote hayo ni kuwasafisha makatili wachache wenye mikono inayovuja #DAMU za watanganyika waliouliwa kikatili sana na wengine kuishia...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nchimbi: Hakuna Siku mawazo ya Watanzania yatafanana. Hili ni taifa la watu wanaofikiri, si Taifa la Mawe

    Kwenye Usiku wa Mtanzania uliofanyika Ukumbi wa JNICC, Dar es Salaam, Aprili 26, 2026, Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi alisema kuwa Msisitizo wa Rais kwa siku ya leo ni mshikamano wa nchi yetu, anasema kwenye umoja, kwenye amani tunakwenda vizuri isipokuwa tunachangamoto kwenye mshikamano...
  12. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Gentamycine ni mti wenye matunda lazima upigwe mawe

    GENTAMYCINE ni mti wenye matunda lazima upigwe mawe tu na wenye chuki ambao wanachukia kumuona GENTAMYCINE akisifiwa na aking'ara humu kusema ukweli katika watu walionifanya niipende jamiiforum ni huyu mkuu jamiiforum aisee jamaa ana hoja na analeta mada kuntu Sana Namkubali sana GENTAMYCINE...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Rotina Mavhunga, mwanamke ambaye karibu aifanye Zimbabwe iwe kama Dubai kupitia mafuta kwa kutumia mawe.

    Ameandika The Instigator, @Am_Blujay Kutana na Rotina Mavhunga, mwanamke ambaye karibu aifanye Zimbabwe iwe kama Dubai kwa kutumia mawe 😂 Mnamo mwaka 2007, aliwashawishi mawaziri wakuu wa serikali kwamba angeweza kuzalisha dizeli safi kutoka kwenye mawe huko Chinhoyi. Ndiyo, dizeli. Kutoka...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Trump: Tutashambulia Iran vikali zaidi kwa wiki 2 hadi 3 na kuwarudisha zama za mawe wanakostahili kuwa

    Akitoa hutoba yake kuhusu mwenendo wa vita vya Marekani-Israel dhidi ya Iran, Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa nchi yake inakaribia kufanikisha malengo yake makuu ya kimkakati, akionya juu ya uwezekano wa kuongezeka zaidi kwa mzozo. "Tutaishambulia Iran kwa nguvu kubwa sana kwa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uchafuzi wa mazingira kwa kuchimba moramu na kulipua mawe kutumia baruti eneo la Kijiji cha Nyangomango kitongoji Nyaruhama kata Usagara

    Eneo hili Kuna uharibifu mkubwa wa mazingira kwa uchimbaji molamu na kulipua mawe kwa kutumia baruti ambazo zinatoa mlipuko kama bomu.Wakazi wa maeneo haya mwaka jana 2025 walilalamika kwenye ofisibza NEMC mkoa wa Mwanza na wakazuia mhusika kuendelea kuchimba badala yake afukie hili shimo...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Cuba inavyozidi kurudi kwenye zama za mawe

    Cuba ilitumbukia gizani kwa mara ya pili katika muda wa chini ya wiki moja Jumamosi, Machi 21, baada ya mtandao wake wa kitaifa wa nishati kushindwa tena, ukiwa umeathiriwa na miundomsingi iliyozeeka na kizuizi cha mafuta kilichowekwa na Marekani. Usiku ulipoingia, mitaa ya Havana mara nyingi...
  17. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Serikali inaweza kutengeneza ajira nyingi kwa kujenga barabara za mawe na zege kwenye mitaa ya miji na majiji

    Moja ya sekta kubwa inayochangia GDP na kutoa ajira nyingi ni ujenzi. Nchi yetu, miji na majiji mengi yana barabara mbaya za mitaa. Tunaweza kuboresha barabara hizo kwa kutumia mafundi wa ndani, materials zote za ndani, bila kugusa forex yetu kwa kulipa wakandarasi wa nje na kununua vitu kama...
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tabora kuna raia wa nchi jirani wanauzia watu Makaa ya mawe feki

    Huku Tabora kuna watu wanajitambulisha kuwa ni Warwanda na wanapaspoti za Rwanda wanauza hayo madongo kwenye picha wakidanganya watu kuwa ni makaa ya mawe. Wanauza hayo madongo Matano kwa Tsh 5,000, mamlaka ziwafuatilie kwa haraka.
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wananchi wafunga barabara kwa mawe, Askari Polisi walazimika kuyabeba kuyatoa barabarani

    https://www.youtube.com/watch?v=ng1UQIcbLpQ
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kijana uliye juu ya mawe jaribu mbinu hii. Ukikosa ajira najitoa JF milele

    Leo nitatoa mbinu moja ya kupata kazi nyepesi kwenye miradi ya Wachina. Kesho au baadaye nitatoa mbinu ya kupata kazi au kuokota kazi ya serikali kirahisi. Hata kama kuna tatizo la unemployment kiasi gani lakini tambua kila siku watu wanaajiriwa na kulipwa pesa nyingi sana. 1. Nenda play store...
Back
Top Bottom