humphrey polepole

Humphrey Polepole is a Young Tanzanian politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Ideology and Publicity Secretary. Before being appointed Humphrey Polepole was a District Commissioner for Ubungo district

View More On Wikipedia.org
 1. badison

  Ndani ya Serikali ya Tanzania kuna wasaliti ambao hawana utii sio tu kwa mamlaka, bali hata kwa kiongozi mkuu wa nchi

  Kwa sasa Serikali ya Tanzania hasa Bara kuna wasaliti flani ambao ni wahaini hawana utii sio tu kwa mamlaka bali hata kwa kiongozi mkuu wa nchi. Ni wazi kuwa ile dhana inayoogopwa ya government inside the government inajionyesha sura yake katika uongozi wa serikali wa awamu ya sita. Dhana ya...
 2. chinembe

  Swali la SUGU kwa Humphrey Polepole, swali zito sana kuhusu maadili yake na iwapo ana hadhi ya kuita wenzake wahuni, ana KY chumbani!

  Soma ujiSWALI-nani analiwa kupitia haya mafuta?
 3. chinembe

  Humphrey Polepole ana hadhi ya CHASAKA ndani ya CCM, haijulikani alitokea wapi, na kadi ya CCM alipewa na nani!

  Chasaka ni mtu ambaye hana asili ya mahala fulani,sio wa pale. Polepole naye hana asili ya CCM, aliokotwa tu huko mababarani na kujikuta CCM akiwa na cheo. Asijifanye anaijua CCM saaana kuliko wenye mizizi ndani ya CCM. Polepole ni Chasaka grade number one+++
 4. K

  Humphrey Polepole for future presidency

  Kwa wanasiasa wote Polepole ndio aina ya watu ambao wametengenezwa kutuongoza kesho yetu vijana. Polepole for future presidency #kataawahuni Mungu tulindie Polepole dhidi ya wahuni Vijana tupo tayari kwa uongozi wa Polepole kwa nafasi yoyote
 5. BestOfMyKind

  Kuna watu bila siasa watakufa njaa

  Kuna aina ya watu waliopigania kuingia kwenye siasa mpaka hawawezi kuwa na maisha nje ya siasa. Baadhi yao mfano ni hawa: 1. Nape Nnauye - Huyu bila siasa hana maisha 2. Yusuph Makamba - Mzee huyu bila siasa kinywa hakipokei mkono. 3. Humphrey Polepole - Huyu jamaa bila porojo za siasa hana...
 6. Nyankurungu2020

  Humphrey Polepole: Wahuni hawatashinda, CCM ni taasisi kubwa inayoweza kupambana na wahuni.

  Kitu kimoja nina hakika ni kwamba wahuni hawatashinda lakini kitu kimoja nina imani kubwa sana ni kwamba ni Chama Cha Mapinduzi (CCM) pekee ndio kina uwezo wa kitaasisi na kidhamira wa kukabiliana na wahuni. Kazi ni kwetu wana CCM. #ujamaaniimani #kaziinaendelea #kataawahuni...
 7. I am Groot

  TCRA: Polepole Tv ina mapungufu ya kutokuwa na wafanyakazi wenye taaluma ya uandishi na utangazaji habari

  "Humphrey Polepole Online Television ina mapungufu ya kutokuwa na wafanyakazi wenye taaluma ya uandishi na utangazaji wa habari, jambo linalowapelekea kukiuka sheria, kanuni, misingi na maadili ya uandishi na utangazaji wa habari katika kazi zao." Kamati ya Maudhui ya TCRA imesema kipindi cha...
 8. Prof Koboko

  Kwa haya aliyoyafanya, Polepole hapaswi kuitwa Mzalendo

  Katika taifa hili mtu ukifikiria sana unaweza weka kuona ni unafki mtupu umetamalaki kila mahali, yaani ni umbeya tu na Majungu ndiyo maisha yetu ya sasa. Yaani Polepole huyu aliyekua anawasiliana wenzake hadharani akiwa mwenezi wa ccm? Huyu huyu Pole pole ambaye alikua ambaye juzi juzi tu...
 9. W

  Nyerere, Magufuli na Polepole: Mashujaa pekee wa CCM katika enzi za siasa za vyama vingi

  Ni wazi CCM wanaamini kukosoana wenyewe ni kosa la jinai na hasa kumkosoa mwenyekiti ni dhambi isiyovumika!! Vyama upinzani wanayo hii pia, Ila kwakuwa mada inawaangazia hao mashujaa watatu, ndipo nimeitaja CCM! Ndani ya CCM usikosoe serikali hadharani Watakushughulikia kungali kweupe! Hii...
 10. ROBERT HERIEL

  Humphrey Polepole upepo wa kisasi unakuandama. Chunga sana, Mungu ndio anakulipa hivyo

  HUMPHREY POLEPOLE UPEPO WA KISASI UNAKUANDAMA. CHUNGA SANA. MUNGU ANAKULIPA. Kwa Mkono wa Robert Heriel Kisasi kisasi! Ni Jambo la hatari ambalo linaweza kuzuilika lakini ni ngumu kuzuilika. Miaka kadhaa iliyopita wakati wengine wakifungwa midomo wasiikosoe serikali Ndugu yangu POLEPOLE...
 11. M

  Humphrey Polepole kuwa makini, Samaki yake maji

  Nimeikuta mahali hii Ndugu yangu Polepole nakukumbusha Newton Third Law of Motion. Action and reaction are equal and opposite. Ajifunze awamu ya tano ilivyoshughulika na Membe na Lissu ndivyo wanasiasa wanavyoweza kufanyiana. Siasa sio sawa na kazi za Civil Society. In politics you deal with...
 12. K

  Humphrey Polepole anaugua kihoro

  Ukimsikiliza Humphrey Polepole na ukianza kumjua polepole before JPM hajaingia magogoni na Polepole wakati wa JPM na Polepole huyu wa Sasa utagundua Polepole anaumwa ugonjwa wa kihoro. Polepole hakuwahi kudhani JPM angefariki mapema vile alijua kupewa ubunge ilikua njia ya kutaftiwa nafasi...
 13. kipara kipya

  CCM ni ile ile, ndugu wakigombana shikeni jembe mkalime

  CCM ni ile ile jana juzi na kesho, ndugu wakigombana shikeni jembe mkalime 2025 wakipatana mpate mavuno, tunawaona jinsi watu wanavyodemka kwa kufuata midundo huu ndio utamaduni wa CCM kupata mtikisiko na kuzidi kujititia zaidi ni ngumu kuing'oa. Kama haikuwezekana 2015 CCM walipoamua...
 14. GUSSIE

  Tulishiriki kutunga Sheria za TCRA, Humprey Polepole kwanini Unalia kuitwa na TCRA?

  Humprey Polepole na Mimi wote tulikuwa wapiga tarumbeta, Vinanda na vinubi wakati wa JPM Utofauti wetu ndani ya chama na sisi Yeye Humprey Polepole aliendekeza dharau kwa kuwa ni mtu wa kuja chamani, Sisi wengine na waomba msamaha wote kama Nape tuliogopa usalama wetu na Matumbo yetu JPM...
 15. THE BIG SHOW

  Wanaoitwa wahuni Mungu alishawakataa. Kama nchi hatuwezi kurudia tena makosa yale -- never!

  Friends and Enemies, Let us pray,dear our heavenly father we thank you for this precious gift of life,we thank you that we are very alive and still breathing. Amen.. Katika maisha epuka sana kujiona kuwa upo juu ya wanadam wenzako na kuwadharau hususan unapopata mamlaka juu yao,au ukwasi kuzid...
 16. VUGU-VUGU

  VIDEO: Kiashiria cha mtu muhuni na asiyefaa kuaminiwa na Jamii yoyote iwayo duniani

  Je! inawezekana Mtu anayetutukania mama zetu wa kutuzaa Yeye akawa sio Muhuni ? #HUYU SASA NDIO MUHUNI WA WAHUNI MSIKILIZE KWA MAKINI,
 17. Yericko Nyerere

  CCM na Serikali jibuni hoja za Humphrey Polepole, msimzime kidola

  CCM NA SERIKALI JIBUNI HOJA ZA POLEPOLE, MSIMZIME KIDOLA. Na Yericko Nyerere Kinga uliyonayo ni kwa muda tu, hakuna kinga ya kudumu, Hata Job Ndugai na wenzake kinga walizojiwekea kipindi walipokuwa kwenye dibwi la kuvunja haki za watu na kuvunja Katiba ya Tanzania, ina muda mfupi sana...
 18. N

  Nani wapo nyuma ya Polepole? CCM wanamlinda?

  Wandugu,kwa kauli na maneno ya hovyo anayotamka huyu Polepole inaonesha hayupo pamoja na CCM wala viongozi wa serikali. Anaongea kwa kujiamini sana bila kujali chochote. NI UTASHI WAKE AU KUNA KUNDI KUBWA LA WATU WENYE NGUVU NYUMA YAKE?
 19. Jidu La Mabambasi

  Polepole, huna ubavu wa kisiasa, you are overrating yourself!

  Polepole yupo katika mood ya kuchanganyikiwa kisiasa. He has not been a bright fellow all along. He is not even a Thinker. Opportunist?-YES. Polepole alichomoza wakati wa mjadala ya Katiba Mpya, na hadi leo sijui alikuwa akimuwakilisha nani, maana alikuwa aki blast the Political Status Quo...
 20. At Calvary

  Humphrey Polepole: Sihami CCM labda Wanitupe nje!, Nimeitwa TCRA nijieleze. Hoja haipigwi rungu bali inajibiwa

  Hi guys. Hope mnado poa. Kuna page imeandika kuwa bwana Polepole atajitoa chamani wakishirikina na taasisi 2. Hii ni nyepesi nyepesi. At Calvary. ==== Taarifa kwa Vyombo vya Habari. Jumamosi tarehe 11, Disemba 2021 saa 5:00 Asubuhi nitazungumza na Wanahabari pamoja na Mambo mengine...
Top Bottom