mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 843
- 1,363
Kiufupi hii timu ya yanga inaendela kuleta madhara, na mfano ulikuwa baada ya simba kufungwa tano walifukuza kocha , na pia walitakwa kumfukuza chama.
Algeria: Kufuatia kipigo kikali cha bao 4-0 kwa timu ya beloizdad kutoka kwa yanga, bodi ya wakurugenzi ya klabu hiyo imetoa adhabu kali kwa wachezaji na staff , na bench la ufundi kwa ujumla ikiwa watakatwa asilimia 80% Ya mshahara wao baada ya kipigo cha aibu, kwani bodi imesema imefanya mambo yote muhimu ikiwemo kuwakodia private jate iwapeleke moja kwa moja dar lakini bado walifungwa vibaya.
Licha ya kutofukuza kocha na kutafuta mchawi kama wanavyofanyaga simba, kocha huyo wa beloizad ameambiwa aandike report ya kina na kueleza kwanini wamefungwa kwa aibu na yanga.
Link
Licha ya taarifa hiyo pia Shabiki maarufu wa Simba Ajulikanae kwa jina la Mchome Mapovu amesema Siku ya Inonga Day imempa wakati mgumu kwani hawezi kuiga staili ya Inonga ya Kupaka mkorogo kwakuwa ukipaka mkorogo hapa nchini jamii itakuchukulia vibaya

Players and staff of CR Belouizdad each deducted 80% of their salaries after the 4-0 defeat in Tanzania
The Board of CR Belouizdad have agreed to deduct each of the playing squad and the Technical team 80% of their monthly salaries after the 4-0 thrashing by Yanga on Friday
sportsworldghana.com