Msanii wa muziki wa Bongo Flava, Rayvanny, amezungumzia umuhimu wa wasanii wa Tanzania kushiriki katika majukwaa makubwa ya kimataifa, akieleza kuwa hatua hiyo inachangia kukuza tasnia ya muziki nchini pamoja na kufungua milango ya fursa kwa wasanii wengine.
Rayvanny amesema mafanikio ya...
Msanii wa muziki, Rayvanny ametangaza kuwa atakuwa miongoni mwa wasanii watakaoshiriki katika tamasha la FIFA Countdown Concert kuelekea mashindano ya 2026 FIFA World Cup, Huko Toronto, Nchini Canada Siku ya Kesho Jumatano Juni 10
Msamaha ninaoomba ni kwa sababu nafahamu kuna mahali wadogo zangu hawa walipitiliza na sio kwa sababu walifanya kampeni (ile ni haki yao na uamuzi wao). Najua kuna maneno yalikukera, sio katika level ya siasa, bali katika level ya utu. NAOMBA MSAMAHA.
Soma: Diamond Platnumz: Fanyeni kazi...
Nyota ya mtu inaweza kufifia lakini bado kuna watu wataendelea kuithamini na kuiona ni nyota bora kuliko zote.
Amonaizy Wamataizy ni jina maarufu sana mkoa wa Kigoma hususani wilaya ya Kasulu.
Binafsi nimemfahamu 2009 kipindi nafanya kazi kambi ya shirika la GTZ, ngoma yake ya kwanza inaitwa Ua...
Rayvanny ameshare furaha yake kubwa baada ya wimbo wake wa Tetema kushika namba moja trending dunia nzima, Chui ameshare hayo katika ukurasa wake wa Instagram.
Soma pia: RAYVANNY KASHUKA NA KUISHIWA MBINU KIMUZIKI
Kwasasa ngoma hiyo ipo nafasi ya nne kwenye trending videos duniani ikiwa...
Diamond Platnumz, msanii namba moja wa muziki Afrika Mashariki na mwanzilishi wa lebo ya WCB Wasafi, amethibitisha mara nyingi kuwa ana "jicho la kipekee" linapokuja kwenye kugundua na kukuza vipaji vipya. Si tu kwamba ana uwezo wa kutengeneza muziki bora, bali pia ana kipawa cha ajabu cha...
Rais Samia amegawa bahasa za fedha kwa wasanii mbalimbali wa muziki nchini, akiwemo Rayvanny, Harmonize na Saida Karoli, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Daraja la Magufuli (Kigongo–Busisi) lililofanyika leo Juni 19, 2025 mkoani Mwanza.
Wasanii hao walipewa bahasha za fedha baada ya kumaliza...
https://www.instagram.com/reel/DDik26boAQ2/?igsh=aTVva3FldHozbmRw
Najua wengine mnashangaa Rayvanny na Mwamposa wapi na wapi.
Rayvanny ametoa album na kuna wimbo yupo na Mwamposa.
Usiku alikuwa kwenye ibada ya Mwamposa na akapanda jukwaani akapewa na maiki aimbe.
Watu wanasema anapromoti...
Huyu kijana mpambanaji alikua kapotea Sasa naona karudi kwenye ubora wake wa zamani kijana katoa ngoma zote Kali kwenye album huyu na harmonize ndio wasanii wangu Bora tanzania milele
Moja kwa moja kwenye mada.
Kumekuwa na mijadala mitandaoni kua Rayvany anaimba nyimbo zake kwa mfumo/mtindo uleule kitu ambacho kinasababisha watu kutomuelewa msanii huyo
Mfano hio post ya X
Mfano.
Nyimbo kama Teamo, Number one ft zuchu, I miss U ft zuchu. Mfumo wa uimbaji na Beat ni...
Huyu jamaa mbona anatoa nyimbo mbaya sana siku hizi yaani kama msanii chipukizi hii nyimbo yake aliyoiita peponi ni Moja kati ya nyimbo mbaya sana aisee huyu jamaa kashaishiwa anaimba kama anaongea na mtu hapa hamna msanii aisee
Licha ya mafanikio yao makubwa katika muziki, wasanii wa Bongo wamekuwa wakipiga hela kupitia biashara na miradi tofauti nje ya muziki:
1. Diamond Platnumz – Mbali na muziki, Diamond amejikita kwenye sekta ya habari akiwa na Wasafi TV na Wasafi FM. Pia, alianzisha lebo ya muziki WCB Wasafi...
alikiba
bongo
diamond platnumz
harmonize
hela
mastaa
muziki
nandy na bilinass
nje
ommy dimpoz
rayvanny
sugu mbeya
wasafi bet
wasafi fm
wasafi tv
wcb wasafi
Msanii wa muziki Tanzania Rayvanny kupitia ukurasa wake wa instagram ameomba kutolewa kabisa katika tuzo za Tanzania music awards (TMA) amesema kua anaheshimu sana wizara ya sanaa lakini hakubaliani na fitna za watu wachache , hivyo kwa unyenyekevu ameomba kutolewa katika tuzo hizo.
Yaani Hawa jamaa ndio WASANII ninaowasikiliza Tanzania Leo wameachia Ngoma Kali sana ya Harmonize inaitwa sherehena ya Rayvanny inaitwa namtaka.
Aisee hii weekend ni kuvibe nazo tu ni Ngoma Kali sana nafikiri mmeona wadau au nyie mmezionaje Hawa jamaa wako vizuri sana nasema ndio WASANII WANGU...
Pita pita mtaani yaani watu wamechoka sana hakuna cha maana maisha yao yamekuwa magumu. Nuru za watu zimepotea na kama watu wamejikatia tamaa.
Kweli ni nyimbo nzuri ila imekosea kuingia 2024
Habarini wakuu,
Kuna ule wimbo wa Rayvanny "Unaibiwa" yaani huu wimbo unarelate sana mambo ya mahusiano na kudate kwa sasa.
"Unadhani niwapeke ako
Kumbe wengine wameshaweka kambi
Kakupendea macho
Wapo wengine kawapendea rangi
'Ye ni gari la dampo
Hachagui taka dereva mpe ganji
Wakubadili...
Huu mwaka eee ndo mwaka wa kuforce yaani mtake mcitake huu mwaka mtaniita boss
Rayvanny
Huu mwaka eee ndo mwaka wa kuforce yaani mtake mcitake mtaniita boss
Huu mwaka ee wa faida sio loss tushalala njaa huu mwaka mwendo wa misosi
Sisi Mungu anatulinda japo maadui wengi wanatuwinda
Vita...
Mashabiki wa kiwanda cha BongoFleva wameshuhudia upendo uliotamalaki kati ya msanii Harmonize na Rayvanny, ambao wanatarajia kutoa wimbo wao mpya (Walioshirikiana) baada ya kuwa na ugomvi kwa muda mrefu.
Harmonize ameweka video kwenye mtandao wake wa IG akiwa na msanii mwenzie Rayvanny...
Mwimbaji Kayumba amewaanika msanii Rayvanny na mwongozaji wa video, Erick Mzava kwa kutorejesha pesa zake TZS Milioni 7 ambazo alitoa kama malipo ya kufanya video ya wimbo wake SHAKE kutoka kwenye albamu yake iitwayo FINE TAPE.
Kayumba amedai kuwa ameamua kuweka wazi haya yote kwasabubu ya...
Mezani kuna 'Playlist' ya Nyota hawa wa Bongo Flava
1. Harmonize, Jux & Marioo
2. Diamond, Barnaba & Jay Melody
3. Alikiba, Rayvanny & Mbosso
Utasikiliza kundi namba ngapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.