chapati

Chapati (alternatively spelled chapatti, chappati, chapathi, or chappathi), (pronounced as IAST: capātī, capāṭī, cāpāṭi), also known as roti, safati, shabaati, phulka and (in the Maldives) roshi, is an unleavened flatbread originating from the Indian subcontinent and staple in India, Nepal, Bangladesh, Pakistan, Sri Lanka, East Africa and the Caribbean. Chapatis are made of whole-wheat flour known as atta, mixed into dough with water, edible oil and optional salt in a mixing utensil called a parat, and is cooked on a tava (flat skillet).It is a common staple in the Indian subcontinent as well as amongst expatriates from the Indian subcontinent throughout the world. Chapatis were also introduced to other parts of the world by immigrants from the Indian subcontinent, particularly by Indian merchants to Central Asia, Southeast Asia, East Africa, and the Caribbean islands.

View More On Wikipedia.org
  1. Lycaon pictus

    Kuna ulazima chapati iwe ya mviringo?

    Hivi kuna ulazima chapati iwe ya mviringo na kuanza kuwanyanyapaa wasioweza kuduarisha chapati? Ni kweli chapati ya mviringo inatoshea vyema sana kwenye kikaangio cha mviringo, lakini umviringo wake hauathiri ubora wala utamu wa chapati. Hivyo kwa maoni yangu hakuna umuhimu wowote wa...
  2. Aaliyyah

    Jinsi ya kupika chapati za maji ambazo hazina viungo vingi

    Natumaini mkopoa Tujifunze namna ya kupika chapati za maji Kwa njia rahisi na haraka pia ni moja ya vitafunwa ambavyo havina mambo mengi Mahitaji Ngano robo au kias unachopenda Kulingana na familia Yako Iriki au vanilla Sukari /chumvi ni vile upendavyo Yai moja au mawili Maji ya baridi Hatua...
  3. J

    Wanasiasa na tabia za kizandiki ni Kama chapati na supu

    Nadhani kama ningepewa task ngumu zaidi ni kutafuta mwanasiasa mmoja asiye mzandiki. Nalazimika kuhukumu kwamba pengine siasa ni uzandiki na uzandiki ndio siasa yenyewe. Mjadala wenye afya kwa taifa unakuwa mzuri, Hadi pale wanasiasa wanapouteka nyara. Hoja ya katiba mpya na bandari ni...
  4. K11

    FT: NBC Premier League: Yanga SC 5-0 KMC FC | Azam Complex Stadium | 23/08/2023

    Mabingwa watetezi Yanga SC wanaanza mbio za kulitetea taji la NBC kwa kumenyana na KMC. Mechi hii itapigwa kuanzia saa 1:00 katika Dimba la Azam Complex Katika mechi 10 walizokutana kwenye ligi kuu tangu wapande daraja msimu wa 2018/19, KMC wameshinda mara moja pekee dhidi ya Yanga, huku sare...
  5. S

    Natafuta Mpishi wa Chapati

    Natafuta Mpishi Wa Vitafunio. Awe anaweza kupika Chapati Kuanzia Kilo 10. Kazi katika Mgahawa ambao upo Dar es Salaam, Maeneo ya Bomba Mbili, Njia ya kutoka Mombasa, Ukonga. Pia mahitaji Mpishi anayejua kupika Supu na Nyama Choma. Nikiridhika na Mapishi yako, naweza kukupa mpaka Alfu 20 kwa...
  6. jastertz

    Je, ni sawa kuweka kitunguu maji, saumu kwenye upishi wa chapati?

    Jamii mapishi, Juzi nilipika chapati za maji aka kumimina but nikaweka vitunguu maji na saumu wa wakati mmoja pamoja na tangawizi nilikula mbili nikasikia kama nimekunywa K vanT kubwa. Je, kuna mapishi ya namna hiyo au ni hatari.
  7. Black Opal

    Unatumia utaalamu gani kufanya chapati zako za kusukuma ziwe laini?

    Habari Wakuu, Chapati za kusukuma ni pishi ambalo limekuwa changamoto kwa watu wengi, mtu anajitahidi alkini mwisho wa siku anatoa chapati ngumu na imesimama kama sinia😂🤣. Mbinu ninayotumia mimi kufanya chapati iwe ni laini, ni kukanda unga na kuhakikisha umekuwa laini kabisa. Tumia hata...
  8. RingaRinga

    Mchoma chapati anahitajika

    Ndugu habarini. Nina kamgahawa kangu. Nahitaji kijana wa kike au kiume kwa kazi ya mgahawa. Mwenye uwezo wa kuchoma chapati zilizochambuka (zisizo na mafuta mengi), mwaminifu, itapendeza zaidi kama anaweza pia kupika wali mzuri sufuria kubwa kuanzia kilo kumi na mapishi mengine. Malipo...
  9. Sky Eclat

    Chapati za mihogo ni chakula kizuri kwa afya pia kwa uchumi

    Gharama za maisha zimepanda sana, sasa hivi kumudu gharama za mkate asubuhi ili uwe kitafunwa cha kifungua kinywa ni wachache wanamudu. Hawa watoto wetu wengine hawajazoea kula mihogo ya kuchemsha au viazi vya kuchemsha na chai. Kwa kuwabadilishia tu unaweza kufanya hivi. Chemsha mihogo mpaka...
  10. M

    Asilimia 90 ya ngano inatoka nje, kwahiyo tunakulaga chapati za Urusi, wananunua wanapaki wanatuuzia

    Hivi Tanzania hatuwezi kulima ngano, maana tunanunua ngano nyingi sana nje, hizo feza zingebakia hapa. Ardhi ipo ya kutosha ni. Serikali tu kuweka mipango na kuwawezesha watu. Hizi pesa anazotumia bakharesa kununua ngano Urusi zingerudi kwa watanzania na nchi ingepiga hatua, nimeona watanzania...
  11. Suzy Elias

    Chapati yapanda bei Himo Kilimanjaro, moja inauzwa shilingi 500

    Hii ni hatari! Kitafunwa pendwa kwa Watanzania nikimaanisha chapati kimepanda bei ghafla isivyoelezeka! Mfano hapa njiapanda ya Himo muda huu chapati tena kwa mama ntilie wa kawaida inauzwa 500! Kwenu studio.
  12. New Rider

    Chapati ya Kichina, mmea unaoishi kwenye maji, Kombucha/tea mushroom

    Habari wakuu, Mwishoni mwa mwaka 1998 na mwanzoni mwa miaka 2000 kuna wanajeshi walienda nchini China kuchukua mafunzo ya ngazi Fulani. Baada ya muda Fulani walirejea nchini, walirudi na vitu mbalimbali ikiwemo zawadi, mmoja kati ya wanajeshi hao ambaye tulikuwa na undugu nae, alirudi na mmea...
  13. Ben Zen Tarot

    Uganda: Watakaonunua chapati tano kukamatwa

    Ukistaajabu ya Musa utashanga ya mengi katika hali ya kushangaza polisi kwenye wilaya ya Moroto kaskazini mwa Uganda wametangaza kukamata mtu yoyote atakayekutwa akinunua chapati zaidi ya tano kwa mara moja. Chanzo cha kamata kamata hiyo ni kutokana wakazi wengi wa wilayani humo kutumika...
  14. K

    Ukufanikiwa kuwadhibiti Yanga kwenye uchawi unawageuza kama chapati

    Hawa utopolo wanatumia taaluma ya mazingaombwe. Ndio maana sasa hivi Mzee mpili kwa sasa ndiye shujaa wao. Kwa sasa wanasajili kwa ajili ya mechi za kimataifa kwani wanajua huko hayo mambo yao hayafanyi kazi. Ila kwa kukosa mikakati sahihi, watapigwa mapema asubuhi na kuaga mashindano.
  15. Superbug

    Nimelala katikati ya lami nisikanyagwe na semi. Ningekuwa chapati

    Nimetoka kuangalia mechi ya mtibwa na kmc nikawa navuka barabara hamaaadi semitrailer hii hapa Mimi nikiwa katikati ya lami . Walioniona wakapiga kelele na kufumba macho wakijua nimeshakanyagwa kumbe siku zangu bado nikajitupa haraka chini ya semi likapita juu yangu kuanzia kichwa mpaka kontena...
  16. ommytk

    Aliyegundua chai na chapati mbili

    Habari za leo wadau poleni na mihangaiko kwa wale wanaongaika.mimi kwa muda mrefu nawaza hivi nani aligundua hii kunywa chai na chapati 2 au itakuwa hao hao kina Carl Peters toka Ulaya.
  17. MalcolM XII

    Chapati kubwa zaidi kuwahi kupikwa duniani

    Hii hapa rekodi nyingine tena inawekwa na Guinness World Records mnamo October 8, 2010. Ni katika nchi ya Uturuki. Jumla ya wapishi 50 walikusanyika kwa pamoja kuweka rekodi ya kupika chapati kubwa zaidi ya mayai yenye uzito wa tani 6. Chapati hiyo ilichanganywa na mafuta zaidi ya Lita 400 na...
Back
Top Bottom