rafiki

Rafiki (Swahili for 'friend') is a 2018 Kenyan drama film directed by Wanuri Kahiu. Rafiki is the story of romance that grows between two young women, Kena and Ziki, amidst family and political pressures around LGBT rights in Kenya. The film had its international premiere in the Un Certain Regard section at the 2018 Cannes Film Festival; it was the first Kenyan film to be screened at the festival.

View More On Wikipedia.org
 1. B

  Anachofanya huyu mchumba wa rafiki yangu ni sahihi?

  Labda mimi ndo nina mtazamo hasi, huyu rafiki yangu Nakaa naye ghetto moja, Ingawa vyumba tofauti, Ana mchumba wake aliemaliza chuo Mwaka huu, huyu kidume ameajiriwa, ni mwalimu wa sekondari. Kiukweli huyu jamaa anampenda sana huyu mdada, na ana malengo na huyu mdada, na ashamtambulisha huyu...
 2. Equation x

  Mjini hakuna rafiki wa uhakika wote ni 'deal maker'

  Na hii imetokea kwa vijana wengi, wakiwa mikoani kelele ni nyingi sana mara watakwambia ukija mjini tutafutane angalau tubadilishe mawazo, mazingira, na tupeane fursa. Sasa ukifika mjini, ukiomba muonane naye, chenga zinakuwa nyingi; mara leo niko bize nimetingwa na kazi, mara nimesafiri niko...
 3. Political Jurist

  CCM Kuweka misingi madhubuti kuendeleza sanaa nchini

  CCM KUWEKA MISINGI MADHUBUTI KUENDELEZA SANAA NCHINI Dar es Salaam 25 Septemba, 2021 Akizungumza kupitia jukwaa la wasanii liloandaliwa na kampuni ya Marketing Africa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka amesema serikali ya CCM itaendelea kuweka misingi Imara ya...
 4. fleet admiral

  Rafiki wa kike (Mwanamke) anayejielewa

  Hello. Natafuta rafiki wa kike (Mwanamke) wa kubadilishana naye mawazo na sometimes kwenda outings just for fun and enjoyment and so forth. Awe ni mtu anayejiheshimu, muelewa, sio tegemezi na anahitaji rafiki wa kiume muelewa na mstaarabu kama nilivyo. Umri asizidi miaka 45 na akiwa Dar...
 5. J

  #COVID19 Watoto waonywe kwa lugha rafiki wanapokosea kujikinga na Covid-19

  Watoto ni miongoni mwa kundi mahsusi ambalo linahitaji uangalizi na kusaidiwa katika kuchukua tahadhari na kupambana dhidi ya Covid-19 Wataalamu wa Saikolojia wanashauri kuwa ukiona mtoto amefanya tabia hatarishi katika kijikinga na #coronavirus usikae kimya wala usichukue uamuzi usiofaa...
 6. Chizi Maarifa

  Kwa wapenzi wa Music na Movies. Wireless earbuds za bei rafiki zinazokaa na charge muda mrefu

  Nahitaji wireless earbuds ambazo zinaweza kaa na charge kwa muda mrefu. Lets say masaa 8-12. Kama unazifahamh please nijulishe. Na bei iwe rafiki tu ya kitanzania.maana nmeshanunua sana na kukuta ni bomu masaa unakuta 3-4 charge imeisha na wameniuzia tsh 50,000 + kuna mtu anasema inawezekana...
 7. Rich wa Masaki

  Rafiki wa mpenzi wangu wa zamani ananitaka

  Hii ni wiki Sasa jaman nimekuwa nikipokea txt za I miss you , uko wap sikuhiz , njoo kwangu Hizo zote nimeogopa kujibu kwasababu nimehisi ananitaka kimapenzi na mengine naona Hata haibu kuandika humu, lakini naomba ushauri je nipite nae jaman au nifanyeje?
 8. EL ELYON

  Naogopa kwenda kwa rafiki yangu

  Wakuu mmebarikiwa Sana na Mungu WA Mbinguni hakuna laana. Aisee Nina rafiki yangu zaidi ya ndugu yaani tumeshibana hasa hasa hakuna Jambo linaweza tokea la kutugombanisha tushindwe kutatua. Huyu jamaa yangu anafanya kazi mkoa mwngn Ila jirani na mkoa niliopo na nilipo Mimi ndipo familia yake...
 9. The Khoisan

  Zoom Meeting ya Askofu Gwajima na Rafiki yake CEO wa Pfizer. Tunaomba marejesho

  Mwezi uliopita Askofu Gwajima Siku ya Jumapili akiwa madhabahuni alidai kuwa Jumanne iliyokuwa inafuata angekuwa na Zoom Meeting na rafiki yake ambaye ni CEO wa Pfizer pamoja na mgunduzi wa technology ya mRNA vaccine ambaye pia ni rafiki yake. Pia alidai kuwa atawapa waumini wake link kupitia...
 10. KAGAMEE

  Kama upo Chuo Dodoma jua mkeo huku anagegedwa vibaya mno

  Habari zenu wakuu! Bila kuwachosha naomba niwaeleze hii kitu,Kipindi naajiriwa (gvt)nimekuta watu wengi tu pale aliwepo mshikaj mmoja ambae alikuja kuwa mshikaji wangu sana.Baada ya kuzoeana sana nikamshauri akaongeze elimu (degree)na kwel baada ya miez kadhaa jamaa kaondoka kwenda Dom chuo...
 11. Ugumu wangu

  Peter Mwakatundu, nakutafuta rafiki

  Wakuu habari za mida hii, Naomba kwenda kwenye maada tajwa hapo juu: Namtafuta mtu huyu kwa Jina lake halisi ni Peter Mwakatundu nimepotezana nae miaka kadhaa nyuma, kwa kumbukumbu ya machache ninayokumbuka. Tuliwahi abudu pamoja nae kwenye kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), pale...
 12. MK254

  Uganda yaongoza kati ya mataifa yenye mazingira rafiki kwa wawekezaji kutokea Kenya

  Wawekezaji kutokea Kenya huona nafuu sana kuwekeza Uganda, labda ni kwa sababu raia wa huko hawajalishwa majungu na chuki..... Uganda has been ranked as the most preferred investment destination by Kenyans according to a report by the Kenyan government. In the 2020 report released on...
 13. but why

  Umewahi kuwa na rafiki mwiz/mdokozi na ulichukua hatua gani ulivyomgundua?

  Nyumba tunayoishi tupo wawili ,mimi na mshikaj wangu wote mabachelor...ni nyumba ya vyumba vitatu ,sebule, jiko na choo...chumba kimoja tunakitumia kama stoo ... Sasa yy ni mpenz wa PlayStation ila mimi hapana sanasana ni movies na mpira ..kutokana na kuwa ni mtu wa hayo magemu kuna washikaj...
 14. Offshore Seamen

  Mifumo rafiki kwa watumiaji boti kwa shughuli mbalimbali.

  Kutokana na kupanda kwa gharama za mafuta kila mara, si watumiaji pekee wa magari wanaoathirika. Boti ndogo za uvuvi,utalii na matumizi binafsi wamekuwa wakitumia petrol kwa ajili ya kuendeshea boti zao. Sasa inabidi kutumia njia mbadala za nishati kama jua,umeme au gesi asilia kuendeshea...
 15. anissa

  INAUZWA Jipatie begi kwa bei nzuri na rafiki

  Jabari wana JF... Karibuni mjipatie begi nzuri begi kwa matumizi yako kila siku kwa Tsh 35000 kwa begi 1(3 in 1) Na kwa Tsh 30000 kuanzia begi tatu na kuendelea, mikoani pia tunatuma bila shaka yoyote, Derivery kwa walio dar ni Tsh 5000 begi linafika mpaka mlongoni kwako bila shida na kwa muda...
 16. Mohamed Said

  Buriani Rafiki Yangu Waziri ''Maestro" Ally

  BURIANI RAFIKI YANGU WAZIRI ''MAESTRO'' ALLY Hakika sisi ni wa Allah na kwake ni marejeo yetu. Kifo hakizoeleki hata kidogo. Nimepokea taarifa ya kifo cha rafiki yangu Waziri kwa mshtuko mkubwa. Nimejuana na Waziri mwaka wa 1979 wakati huo mimi mwanafunzi Chuo Cha Usimamizi wa Fedha (IFM)...
 17. E

  INAUZWA Pata pampu za maji safi na maji taka kwa bei rafiki

  Pampu za maji zinapatikana. Zina ukubwa tofauti tofauti kwa matumizi ya visima virefu, visima vifupi, mabwawa, mito, mifereji, bustani, n.k Zinatumia petroli,diesel na umeme. Pia tunafanya repair ikiwa pump yako inasumbua. Wote mnakaribishwa kwa huduma za karaka,nafuu na uwakika. 0699494650...
 18. new level

  Hivi huu ni upole au mimi ni boya?

  Me Ni kijana wa miaka 24 huu upole na uwoga nimekuanao kwa mda mrefu pia Nina huruma Sana .... changamoto 1. Nikiombwa Ela na ndugu au rafiki hua sijui kukataa kias kwamba adi wameshazoa hii utokana na usiri wangu nikisha msaidia mtu hua simtangazi inabaki kua Siri yangu nayeye .. ivyo Wana...
 19. Meneja Wa Makampuni

  Rafiki zangu wanatafuta kadi za chama cha Mapinduzi kwa Gharama yoyote

  Habari za Leo wakuu, Baada ya kuwashawishi kwa muda mrefu hatimae jamaa zangu wamekubali kujiunga na CCM. Hivyo wanatafuta kadi za chama cha Mapinduzi kwa Gharama yeyote.
 20. Juandeglo

  Dear Rafiki

  Kwa yeyote atakaaependa tuwe marafiki wa kuchat humu basi karibu pm au mimi nikaribie ya kwako. Nawapenda nyote peace and love y'all
Top Bottom