makini

Jully Makini (also known as Jully Sipolo) (born c. 1953 (age 64 in 2017)) is a Solomon Islander poet, writer and women's rights activist. The author of poems such as Civilized Girl (1981) and Praying Parents (1986), in June 2017 she received the International Women of Courage Award from the US Secretary of State for her work in promoting women's rights in the Solomon Islands.

View More On Wikipedia.org
  1. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ufaransa inahitaji kiongozi aina ya Benyamini Netanyau wasipokuwa makini itamezwa na magaid

    Ukiangali kinachoendelea ufaransa lazima utakubaliana na mimi wanahitaji kiongozi aina ya benyamini Nentanyau Kwanini nasema hivi diaspora kutoka algeria, morocco, na tunisia ndo wanaongoza kuiharibu nchi Psg ikishinda wanachoma nchi, morocco ikifungwa nchi inachomwa, watu wakiandaa maandamano...
  2. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Askofu Malasusa kuwa makini na kanisa lako acha kukaribisha wanaccm wenzako kushambulia makanisa mengine

    Kauli aliyoitoa kiongozi wa CCM huko Arusha kupitia mgongo wa KKKT ni ya kutaka kuligonganisha kanisa hilo na makanisa mengine hasa Katoliki. Kwa muda alioutumia kiongozi huyo kukitoa kilichomo moyoni mwake kinaleta hisia ya kuwa kikao kile cha viongozi wa KKKT kiliandaliwa kwa makusudi ya kumpa...
  3. Keynez

    JamiiForums Tanzania Kuwa makini sana unapopost link ya Youtube au Instagram humu ndani maana inaweza kutambulisha wewe ni nani

    Kuna kitu nadhani kimebadilishwa na google pamoja na mitandao ya kijamii ambacho kina expose identity ya watumiaji. Zamani ilikuwa ukipost link ya youtube humu ndani, ukiifungua haitaonyesha youtube channel au ID ya yule aliyeshare link. Sasa hivi ni tofauti. Sasa hivi ukishare link yoyote ya...
  4. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa Godbless Lema ni Kijana Makini sana hakika ni Hazina kwa taifa

    Mwanasiasa Machachari Godbless Lema namuona atafika mbali kisiasa kwa haiba na akili yangi makada wa vyama vya upinzani wana la Kujifunza kwa huyu jamaa hakika ni Mfano wa Kuigwa.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Uzungu' na 'uarabu' umejificha nyuma ya pazia la madai ya katiba mpya. Tusipokuwa makini, taifa litaangamia

    Madai ya Katiba Mpya imekuwa ni ajenda kuu ktk siasa za Tanzania kwenye kipindi cha mwishoni mwa muhula wa kwanza wa Utawala wa Rais Magufuri na kisha hoja hizo zikapamba moto zaidi ktk awamu hii ya sita. Hali imekuwa mbaya zaidi hadi kufikia kushuhudiwa mauaji ya watu wengi kwenye vurugu za...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mbinu 7 makini za kulea mtoto mazingira ya mjini

    MBINU 7 MAKINI ZA KULEA MTOTO MAZINGIRA YA MJINI Malezi ya mtoto katika mazingira ya mjini yamekuwa changamoto kubwa kwa wazazi wengi. Mtoto wa Mjini anakua katika dunia yenye mchanganyiko wa tamaduni, mitazamo, teknolojia, mitandao ya kijamii na makundi mbalimbali ya watu.Hii Tofauti na zamani...
  7. fact only

    JamiiForums Tanzania Mnao ishi mabondeni na vichochoroni kuweni makini pia

    Hellow wa JF. Naona kuna taarifa nyingi zinasamba za kutunza chakula ili kujikinga na njaa wakati wa Mvua za El Niño. Naomba kuwakumbusha pia wadau mnaoishi kwenye mabonde na vichochoroni ndanindani mvua kubwa zaja wakuu. However kama unatafuta nyumba ya kupanga kipindi hiki zingatia sana...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Dorothy Temu: ACT hatuna ushirikiano wowote na dola. Hatuna mahusiano na CCM

    Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Dorothy semu, ameweka wazi kuwa chama chake hakina ushirikiano, urafiki wala mahusiano ya na Dola wala Chama Cha Mapinduzi (CCM), bali ACT inalenga kutimiza wajibu wake wa kisiasa kwa mujibu wa Katiba na sheria za nchi. Akizungumza katika mahojiano...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kadiri mnavyoteketeza watu makini ndivyo mnavyoibua machizi na vichaa

    Hii haina comeback wala reverse! Mkiweza simamisheni sass hizi project za kupoteza, kuua kutesa na kudhalilisha watu.. Huku wengine mkiwabambikia kesi zisizo na dhamana Vijana na watu wema na makini kama kina Mzee Kibao, Kiswahili, Kipanya, Soka, Mdude na mamia wengine huwezi kuwafananisha na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Utapeli mtandaoni, Mawakala na wateja kuweni makini, wezi wanabuni mbinu mpya kila siku

    Kuna utapeli wa aina nyingi sana kwenye miamala ya kifedha na mtandaoni, kila siku wezi wanabuni mbinu mpya. Umakini unahitajika sana, hesabu pesa na kucheki balance kila unapofanya muamala wa kupokea kwani hata mawakala nao wanatapeli wateja, kutuliza akili ni jambo la muhimu sana. Usikubali...
  11. GONGO BOY

    JamiiForums Tanzania TUNAPASWA KUWA MAKINI

    Je hii ni kweli na kam nikweli imekaaje🤔🤔
  12. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Ajali zinaua mamia ya watu tuwe makini barabarani

    Kweli kabisa. Ajali za barabarani ni tatizo kubwa linalochukua maisha ya watu wengi kila mwaka, mara nyingi kwa sababu zinazoweza kuepukika. Baadhi ya tahadhari muhimu: Vaa mkanda wa usalama (seatbelt) kila wakati. Usiongee kwa simu ukiwa unaendesha. Fuata mwendo kasi unaoruhusiwa. Usiendeshe...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kueni Makini Mikutano ijayo,wekezeni kwenye Ulinzi na Drone

    Mikutano ilizuiwa kwamba anchi haikuwa Shwari. Punde si punde wakairuhusu. Kuruhusiwa Mikutano, wanaolengwa na CHADEMA. Haitakuwa mara ya kwanza CCM kurusha bomu kwenye Mikutano ya CHADEMA. Hivyo wekezeni kwenye Ulinzi na Drone. CCM wana roho mbaya sana...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Nani hataki Katiba Mpya katika hawa watawala. Uchambuzi makini huu hapa. Nani ni mnafiki

    C&p Juzi, Tarehe 24/07/2026, Makamu wa rais, Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye mkutano mkuu wa 15 wa mtandao wa watetezi za haki za binadamu, ametoa hotuba iliyopokelewa kwa hisia tofauti Hii ni kwa sababu hotuba yake imekinzana na kauli za awali zilizopata kutolewa na bosi wake, rais...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa na wenzako. Kuweni makini mnaweza kufa kwa kihoro

    Hakuna chama kinachoungwa mkono zaidi ya Chadema kwa sasa.👇
  16. T

    JamiiForums Tanzania Kwa wanunuzi wa Hisa kuweni makini na Brokers

    Habari, Kwa mtu mwenye ndoto ya kununua Hisa za makampuni mbali mbali jiepusheni na Tanzania Security Limited(TSL) Kwa sasa huyu broker ameshakuwa broke embu fikiria kama kampuni inaweza kuzima namba za huduma Kwa mteja siku nzima je Hisa zako zitakuwa salama, kama unaweza kuuza Hisa zako...
  17. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye UTI sugu anakuua taratibu taratibu kuwa makini

    uchafu sana huu hakikisha hauingii mkenge wa UTI sugu, hivi unajua UTI sugu inaweza kuathiri mpaka Figo au maini.. wale wadudu wasipopata tiba nzuri wanapanda Kwa kibofu Cha mkojo wanaenda tumboni kuathiri organs zingine wanaathiri mpaka mimba, mimba inaweza kuaribiwa na UTI sugu so kuwa...
  18. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Kuweni Makini na Madeleka

    Wakuu, Madeleka siyo mwenzetu. Ni hayo tu. Cc: britanicca JokaKuu Erythrocyte et al
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Mange Kimambi: Kuwa makini na vyanzo vya habari; CCM wana mbinu nyingi za diversion.

    TL;DR (Kwa ufupi): Wito kwa Mange Kimambi kuwa makini na vyanzo vyake vya habari kwani CCM wanatumia mbinu ya "Diversion" na masalia ya wasaliti wa ndani ya CHADEMA (aina ya kina Yericko) kuvujisha habari za uongo (mafamba) kuhusu migogoro ya kufikirika ili kusambaratisha wanamageuzi, kama...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tiktok kuweni makini na live(watu) zinazokaa masaa 24. Wengine ni Doria mtandaoni

    Nimefuatilia kwa makini mwenendo wa mijadala ya Tiktok nikagundua huwa hawatoki online. Nadharia yangu miongoni mwao hizo live kuna Mapolisi na maafisa vipenyo ambao wanafanya kazi ya kuzirekodi na kujaribu kuvuruga mijadala ambayo inaweza ikawa na tija na mbinu. (Wapo wanafanya doria) Katika...
Back
Top Bottom