mabilioni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania BAKHRESA acha kutuibia watanzania Sinema zetu tumelipia ila imejaa matangazo, kila baada ya dk 5 matangazo, huu ni wizi. TCRA mko wapi? Basi iwe bure

    Maneno matakatifu yalivyosema kwa tajiri kuona ufalme wa Mungu ni rahisi ngamia kupenya tundu la sindano ni kweli. AZAM TV ina channel ya Sinema zetu inayoonesha movie za kibongo kuanzia saa 1 jioni mpaka saa 2. Hii channel mtu amejipinda amelipia sh 12,000 kwa mwezi. Ni kipindi cha saa 1 moja...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Dr. Alex Malasusa VC wa Tumaini University Makumira Prof. Faustine Mahaki ameshashindwa kuongoza, mnasubiri nini kitokee? Subirini kesi ya mabilioni

    Tumeshaandika mmeshupaza shingo, mmejaa kiburi na dharau, wahadhiri na wafanyakazi hawana mishahara rangia mwezi wa 7 na hakuna dalili ya kulipwa, tunaambiwa VC ametumia pesa kwa mambo.mengine na tunaambiwa we umehusika. Viongozi wa dini mmekuwa wahuni, makatili, tunajua hii serikali mmeiweka...
  3. masopakyindi

    JamiiForums Tanzania Wicknell chivayo kaenda na Password ya mabilioni!

    Abarikiwe mzungu aliyegundua mitandao. Ukweli sasa huwezi uficha uvunguni. Twaona salamu za rambirambi zikimiminika kwenda kwa msiba huu kwa mtu ambaye miradi yake humu nchini wala hatuifahamu. Wicknell Chivayo si mplipa kodi Tanzania au Kenya. Kazi yake sasa iko wazi.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu na madereva wamaliza mgomo

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 30, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Madereva wa mabasi na malori Nchini. Mazungumzo hayo yamefanyika katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Ostabay Jijini Dar es salaam. Pamoja na mambo mengine...
  5. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Lisu kulipwa zaidi ya bilioni 50 kama itaonekana hana hatia.

    Kama hii kesi Lisu atashinda na kuonekana hana hatia yoyote Basi serikali itaenda kufilisiwa vibaya sana. Kwa makadirio sio chini ya bilioni 50 kama Lisu hatokutwa na hatia yoyote Hivyo Lisu ataenda kufilisi serikali rasmi ikionekana hana hatia yoyote. Halafu huyoooooooo anatimkia zaidi...
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania Waliochangia Mabilioni Kampeni za CCM ndo wenye ICD katikati ya Mji Dar

    Chalamila hawezi kuwagusa. Anapiga tu kelele Malori yamejaa Mjini, lakini Malori yanakuja Mjini kushusha na kupakia mizigo kwenye ICD. Na Wamiliki wa wa ICD nnddo hao wanachangia Kampeni za CCM. Hakuna wa kuwagusa, Chalamila atabaki kupambana na Madereva tu. ‘Bandari kavu zina mizizi kwa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kagera: Mkataba wa mabilioni ulisainiwa kujenga kingo za Mto Kanoni, lakini hakuna kinachoendelea

    Julai 2025 ulisainiwa Mkataba wa ujenzi wa kingo za Mto Kanoni, ulioko katika Manispaa ya Bukoba, Mkoani Kagera na kukabidhiwa kwa mkandarasi wa kigeni, Kampuni ya Shandon Luqiao Group Company Limited, inayofahamika kama Shandong, kwa gharama ya Shilingi bilioni 21.3. Mradi huo ni sehemu ya...
  8. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kama ilivyokuwa Kwa Mabenki, Voda Yapata faida Mara 5

    My Take Wanaiba sana bando Hawa ============ Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania imeanza mwaka mpya wa fedha kwa neema kwa kuripoti faida baada ya kodi ya Sh47.3 bilioni katika robo mwaka iliyoishia Juni 2026, ikiwa ni zaidi ya mara tano ya kiwango kilichoripotiwa mwaka jana. Faida hiyo...
  9. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Masoko ya utabiri/betting yamekuwa na faida ya mabilioni ya dola, yemefikia mpaka kutabiri majanga ya asili kama moto wa nyika

    Yanafanyaje kazi? Watu wanaweka pesa/beti kwenye matokeo ya matukio ya baadaye. Mfano: Matokeo ya mechi za mpira Matokeo ya uchaguzi Idadi ya tweets Elon Musk atatoa kwa wiki Shida ilipo sasa: Mabadiliko ya Tabianchi Baadhi ya masoko haya sasa yanaruhusu watu kubeti pia kwenye: Moto wa...
  10. mike2k

    JamiiForums Tanzania Mwizi wa Kuku anafungwa, mwizi wa mabilioni anapoteza muda? Tatizo liko wapi?

    Kuna swali ambalo kila jamii inayojenga taifa lenye haki lazima ijiulize: Kwa nini wakati mwingine uhalifu mdogo unaonekana kupata majibu ya haraka kuliko uhalifu mkubwa unaohusisha fedha za umma? Mtu akiiba kuku wa jirani, ushahidi huwa rahisi kuonekana. Kuna mali iliyopotea, kuna...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wakenya: Serikali ya Tanzania imepoteza mabilioni ya pesa kwa watu kutokufanya kazi Julai 7, 2026

  12. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania CHAUMMA na tuhuma za kuibiana mabilioni

    CHAUMMA wanalalamika Salum Mwalimu kawaibia mabilioni, najiuliza waliyapata wapi hayo mabilioni? Au ni malipo ya ule mradi wao na CCM, huyu Mwalimu ndio swahiba wake DJ na hii ndio ilikuwa michezo yao kabla hawajanyonyolewa na TAL pale city FEB 21. Anyway toaneni makende, naona mzee Hashimu...
  13. Brother Depo

    JamiiForums Tanzania Watu Billioni 8 Wahudhuria Mazishi ya Khamenei Huko Iran? Mabilioni ya Watu Yaenda Iran kwenye Mazishi

    Unajua nimepitia kurasa za wachambuzi Wafuasi wa Iran wanakuambia watu million 20 wamehudhuria mazishi, nikawaza Hawa Wafuasi wa Iran akili wanaziweka wapi? Wanajua watu million 20 wanavyofanana kweli? Lakini sababu najua huwa ni waongo basi nikasema ngoja nijiridhishe, nikaja kugundua kuwa...
  14. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Raia wa Tanzania wadakwa na mabilioni nchini Malawi

    Raia wawili wa Tanzania, Paschal Nyanda (28) na Sanda Donald (24), wamekamatwa na Jeshi la Polisi nchini Malawi baada ya kukutwa wakimiliki US$1,141,215 (zaidi ya Shilingi bilioni 3 za Kitanzania) bila kuwa na nyaraka zinazoonyesha uhalali wa fedha hizo. Kwa mujibu wa Polisi, tukio hilo...
  15. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Jamaa aliewadanganya wapalestina waendelee kupambania nchi hewa huku yeye akijikusanyia mabilioni. Mtoto wake yupo france na ndio mrithi wa mabilioni

    Jenzii wengi hawawezi kumuelewa huyu tapeli
  16. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Magaidi Jama’at Nusrat al-Islam wal Muslimin wenye uhusiano na Al- Qaeda, wametangaza zawadi ya mabilioni kwa atakae toa taarifa ya alipo rais wa Mali

    Taarifa ya kundi hilo la kigaidi la JNIM limekuja siku moja tu, baada ya serikali ya Mali, kutangaza zawadi ya mamilioni ya pesa kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu watu walioishambulia serikali, miundombinu na raia. Kobaz once again...
  17. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Wasomali wamewezaje kuipiga system na kuiba mabilioni na mabilioni ya pesa kwa muda mrefu hapo Minnesota, Marekani?

  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Shabiby: Nitagombea Urais 2030, nitaleta Sheria ya kunyonga Watu kupambana na Rushwa

    "Tukija kwenye mitaji... hii mitaji, twende kwenye uwekezaji. Nyinyi biashara ndio mnaotakiwa mtoe ushauri. Mgeni anakuja, anatoa dola laki tano, eti huyo ni mwekezaji. Hivi Watanzania wangapi wana dola laki tano? Si wengi hapa! Alafu anakuja na briefcase, anaenda kuchukua ukandarasi wa...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumekosa mabilioni kwasababu ya tamaa na ubinafsi wa Mama Samia

    Wizi wa kijinga wa kura umeharibu mahusiano ya watanzania wenyewe kwa wenyewe , majirani zetu kama Kenya, nchi za south Africa. Lakini imeharibu mahusiano na wadau wanao tusaidia kwenye afya, barabara, na uwekezaji. Kwasasa mfano hakuna visa tena zinatoka kwa wafanyabiashara wetu kwenda Marekani...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tunazalisha Wataalamu wa Famasi Halafu Tunawanyima Mitaji Wakati Tunatumia Mabilioni Kuagiza Dawa

    Nina jambo moja ambalo linaumiza vijana wengi waliosoma famasi Tanzania. Serikali imetumia mabilioni kusomesha wataalamu wa famasi, lakini baada ya kuhitimu tunaachwa bila mtaji, bila uwezeshaji na bila nafasi ya kujenga viwanda vya dawa nchini. Wakati huo huo, kila siku serikali inaendelea...
Back
Top Bottom