• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

mchepuko

 1. Sky Eclat

  Mchepuko atendae visa vya kutikisa ndoa

  Huyu kaka mstaarabu flani umri 39. Amepata uhamisho kwenda Dodoma. Huku Dar alijiweka vizuri, mke wake ana pika mama ntilie lakini ni wale mama ntilie wa kishua ana pick up yake ya kuendea machinjioni na kwenye soko la ndizi. Jamaa amafika Dodoma alikaa guest house wiki moja, wiki ya pili...
 2. T

  Ungemwambia nini mke wako kama ungekuwa umeenda kuchepuka kwenye hotel ya Themihill halafu ikafungwa

  Nimewaza tuu, hivi ndio ukute umeenda kuchepuka na manzi kwenye hoteli kama hiyo ya themi hill alafu ndio yanatokea hayo ya mgonjwa wa corona then inafungwa. Utaambia nn mke wako au mke utaambia nn mume wako?? Tuendelee kuchukua tahadhari
 3. Equation x

  Nini hatma ya kuwa na mchepuko?

  Nini hatma ya kuwa na mchepuko? Kila kitu huwa kina mwanzo na kina mwisho pia. Mfano mlikuwa wapenzi...baadaye mkaishia kuoana. Je, unavyokuwa na mchepuko mwisho wake ni nini hasa? Ni kumuoa awe mke wa pili, au kupindua ndoa iliyopo, au ni kuchapana na kuondoka, au ipi wakuu?
 4. sabuwanka

  Mchepuko namba D

  Habarini za leo wana MMU, katika utafiti wangu nimegundua kuwa kuwa michepuko namba D ( mabinti waliozaliwa 1998-2002)wanachangamoto zifuatazo 1. Wana tamaa ya pesa , Kuna tofauti ya kupenda pesa na kuwa na tamaa ya pesa 2. Wana tamaa ya maisha mazuri bila kujua maisha mazuri ni process ya muda...
 5. Sky Eclat

  Unamnunulia mchepuko kitenge sare na mke wako, wanaume kuna mnalolitafuta

  Mke uliyemtolea mahari na kukabidhiwa na wazazi wake. Amekuzalia watoto, anafua na kupiga pasi nguo zako, anapika chakula watoto wako na wewe hamlali na njaa leo unampa mateso haya. Leo amekwenda saloon kusuka yeboyebo ingawa hupendi ajichanganye ili asisikie ufuska wako. Amekutana na ule...
 6. Equation x

  Mchepuko umepagawa na huduma

  Mchepuko umepagawa na huduma. Kutokana na ninavyomjali; , chuo, matibabu n.k sasa hivi amechanganyikiwa kabisa. Ananiuliza 'nilikuwa wapi siku zote hadi nikaolewa na yule mbulula'. Mbaya zaidi sasa ananiita mume na ananisihi kama ikiwezekana awe mke wa pili. Mi nabaki kumuitikia tu sawa,muda...
 7. DLRider

  Ushuhuda wa nilivyoumizwa na mpenzi wangu - NAWE ANDIKA WA KWAKO TAFADHALI

  Wote tumekuwa katika mapenzi. Kwa bahati mbaya mapenzi huwa yanaumiza na watu tunaumia sana hadi baadaye ndio hayo maumive yanatupa mafundisho. Tusaidiane kwa kuandika visa mbalimbali vya tulivyoumizwa na wapenzi wetu. Mimi Nitaanza: Mwaka juzi nilimpenda sana mdada mmoja Arusha. Tukawa na...
 8. neophyte

  Unataka kufufua uzuri wa ngozi yako bila kuathiri ngozi yako?

  imarisha mwonekano wako na fufua uzuri wako kila mtu anangozi nzuri na yenye kuvutia kwa namna yake lakini kuna mambo yanayo fanya tufubae ngozi zetu zisiwe nzuri kama inavyo takiwa na haya husababishwa na mazingira. tsh9000tu. kama vile kutokwa na chunusi kutokwa na utangotango kuwashwa...
Top