mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 843
- 1,363
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapaswa Sasa kuchukua hatua Kali sana dhidi ya Makundi ya watu mbalimbali ambayo hivi Karibuni yamekuwa yakisambaza sumu ya chuki, ubaguzi na mgawanyiko juu Kwa Watanzania.
Kumekuwa na kauli za kumsema Rais wetu mpendwa kuwa ameuza Bandari za Tanganyika na huku akiacha za Zanzibar anakotokea.
Sumu hii inayopandwa na Tundu Lissu na kina Mama Tibaijuka na Genge la Karamagi imeenea sana mtaani, kwani Sasa hata Wazanzibar huku mtaani wameanza kupata athari hizo. Imefikia wakati hata Waziri wa mambo ya Ndani Masauni kutoa tamko kuwa watakoleta uchochezi kushughulikiwa, watu wa twitter wameonekana wakisema inakuaje Mzanzibar huyu yupo ndani ya ardhi ya watanganyika milioni 61 na atutishe tukiwa kwetu.
Naiomba Serikali ichukue hatua Kali kwani chuki iliyopo ni kubwa mno, na inaendelea kuenezwa, enzi za Nyerere watu kama Hawa walikuwa wanafunga kifungo cha Maisha.
Hatuwezi kukubali Muungano wetu kuvunjika, Baba wa Taifa alishatoa msimamo na umuhimu wa Muungano huu.
Kauli hizi pia zinaweza kumpunguzia Raisi wetu confidence ya kutuongoza na kufanya pia kazi kuwa ngumu Kwa mawaziri wanaotokea Zanzibar.