propaganda

Propaganda is communication that is used primarily to influence an audience and further an agenda, which may not be objective and may be presenting facts selectively to encourage a particular synthesis or perception, or using loaded language to produce an emotional rather than a rational response to the information that is presented. Propaganda is often associated with material prepared by governments, but activist groups, companies, religious organizations, the media, and individuals can also produce propaganda.
In the 20th century, the term propaganda has often been associated with a manipulative approach, but propaganda historically is a neutral descriptive term.A wide range of materials and media are used for conveying propaganda messages, which changed as new technologies were invented, including paintings, cartoons, posters, pamphlets, films, radio shows, TV shows, and websites. More recently, the digital age has given rise to new ways of disseminating propaganda, for example, through the use of bots and algorithms to create computational propaganda and spread fake or biased news using social media.

View More On Wikipedia.org
  1. Q

    JamiiForums Tanzania Propaganda zote za CCM kwa CHADEMA zimefeli, tuwashauri mbinu mpya na za kisasa

    Walianza kusema Chadema ni chama cha Kichaga cha Kikanda hasa kaskazini, hii propaganda ilikufa ikazikwa. Wakasema chama cha Kikatoliki, hatuwasikii tena. Wakawarubuni baadhi ya viongozi kuanzisha/kuhamia ACT/CHAUMA, kina Zitto, Mwalimu, leo wanatamani kurudi. Wamemtumia msajili wa vyama...
  2. Dumas the terrible

    JamiiForums Tanzania Kitengo cha Propaganda CCM kuweni smart na Proffesional!

    Husika na kichwa cha habari hapo juu,kila chama cha Siasa hua na kitengo maalumu cha kutengeneza mbinu zao kuwakabia juu wapinzani wao, Mbinu hizo hutumika kama tool ya kuanzisha au kuhamisha mijadala ya mhimu ili kutia wenge wapinzani wao wajichanganye na wao wapate point 3 za mhimu katika...
  3. britanicca

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Propaganda zinazoletwa dhidi ya CHADEMA zisifutwe, iwe reference baadae dhidi ya machawa

    Hakuna haja ya kuhangaika kufuta nyuzi zinazoletwa dhidi ya CHADEMA , wanasema wakati uongo ume sambaa karibia robo tatu ya dunia ndipo ukweli unaanza kupasha kuvaa viatu kuingia uwanjani, Hawa MACHAWA hawana IQ ya kutengeneza angalau uongo unaokaribiana na Ukweli no need of panic Nimeona ma...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kuna account za JF kama Mwashambwa zilifunguliwa zitumiwe na group la watu wanaolipwa kuandika propaganda au kukosoa thread au posts, sio member mmoja

    Kuna account humu JF zimefunguliwa na watawala kwa ajili ya kutumiwa na group la watu wanaolipwa kwa ajili ya kujibu, kukosoa, kukejeli nk thread ambazo zinatolewa ambazo zinaanika uobu wa serikali na viongozi wake. Kwa mfano, unakuta Tlaatlaa au Mwanshambwa sio mtu mmoja. Ni account ambazo...
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Propaganda: KItabu Cha Abdul Sykes Kinauzwa Misikitini

    Kwa kipindi kirefu kitabu cha Abdul Sykes kilikuwa hakipatikani kwa kuwa nakala zilikuwa zimekwisha (out of print). Hiki ni kitu cha kawaida kwa kitabu kukosekana. Kitabu cha Abdu Sykes ni kitabu kilichozingirwa na ubishani mkubwa toka mara ya kwanza kilipochapwa kwa Kiingereza mwaka wa 1998...
  6. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania AFC yafadhili mradi mkubwa wa umeme nchini Burkina Faso kukabiliana na upungufu wa umeme

    Wakati ukandamizaji ukizidi kushika kasi Burkina Faso na sifa kedwkede Kwa Traore ximeyeyuka baada ya Nchi kugeuka omba omba wa Kila kitu. Bwana yule alijizolea umaarufu miongoni Kwa wajinga na yeye kujaa kwenye mfumo lakini baada ya kuona uhalisia wa kuwa Kiongozi wa Nchi amerudi kule kule...
  7. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania MwanaFA azomewa na wananchi baada ya kuanza kusifia Awamu ya 6 kwenye Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva

    Wananchi wakataa mapambio ya MwanaFa kwenye miaka 30 ya Bongo Fleva Katika hali isiyo ya kawaida, Naibu waziri wa Michezo, Sanaa...., Mwinjuma Hamis maarufu kama mwanaFa amezomewa na kukataliwa na wananchi waliohudhuria tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva, pale alipotaka kuanza kusifia na...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ukiangalia propaganda wanazotengeneza CCM ni zile za miaka 90 kushuka chini

    Propaganda za CCM ni za kichekesho sana na mtapigwa pesa mpaka mkumo na mwisho wenu unakaribia. Yani mfano tu kuna watu wanaibuka kuwa wenyekiti sijui jumuia ya wananchi fulani mfano mlivyo fanya kusema waroma wanapinga,bodaboda,vijana na mambo mengine. Watu smart wanatakiwa kuwekwa mezani...
  9. Mjomba Malume

    JamiiForums Tanzania Je, Hii ni Fact au Propaganda?

    https://www.instagram.com/reel/DaHsxMctAak/?igsh=c3h5cnhudHc2aGdw N.B: Mimi sikubaliani moja kwa moja na hili suala.
  10. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Hapi analeta propaganda, milioni 900 zilikuwa za mafunzo

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amekanusha vikali madai kuwa Shilingi Milioni 900 zilizotolewa na wafadhili zitatumika kufadhili maandamano ya mwezi ujao, akisisitiza kuwa kauli hizo ni propaganda za uongo zinazosambazwa na kada wa CCM, Ally Hapi. Mnyika ametoa ufafanuzi huo leo Jumatano...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa kiislamu katika media hawana propaganda

    Nimejifunza kitu ktk uchambuzi wa vita vya Iran vs Marekani vs Isreal. Waislam walioachambua vita hivi ndio wakichambulia hali halisi ya vita bila propaganda. Licha ya kutoinesha imani yao ktk uchambuzi, lkn walikuwa hawaegemei upande wowote ile Hatimae yaliochambuliwa kupitia media mbali mbali...
  12. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tishio la Maandamano 😀 wasio vaa uniform no wengi ILA hakuna kitu wanapata maana hizo ni propaganda za Green Gud wa kihongosi.

    Mgeni njoo mwenyeji aponeeeee! Tetesi za maandamano tarehe 07/07/2026, wasio vaa uniform wamejaa hapa ninapo gonga nyagi wanasikilizia nyuzi,kidume nipo jamii forum nabonga na Wana uku nachati na Malaya. Hii nchi pesa zinachezewa green GUD wanakunywa fedha za UMMA maana hapa sioni mjanja...
  13. MURUSI

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya AFCON kwamba yataleta Neema Tanzania ni Propaganda kubwa sana. Hakuna kitu kama hicho

    Nawasikiliza sana wanasiasa wanavyo hadaa Wadanganyika kwamba wajiandae sana na Afcon na hata Mahoteli hayatatosha na wlmashabiku wengine watalala majumhani mwa watu. Hizi ni propaganda. Hizi ni propaganda za kijinga sana. Tujiulize swali rahisi sana Tanzania ilipeleka mashabiki kiasi gani...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mtazamo: Hizi ni propaganda ili Lissu akiachiwa, ionekane ni mazungumzo ndio yamesaidia na si shinikizo kutoka ndani na nje ya nchi

    Kwa mtazamo wangu, hiki ndio kinachoendelea lengo ni kuficha aibu ya kushindwa kesi au kuufyata mbele ya shinikizo la kimataifa hasa kutokana na Muswaada wa Bunge la Marekani unaotaka kuachiwa kwa wafungwa wa kisiasa hapa nchini. Pia, naomba niwajulishe kuwa teyari kuna barua ya tarehe 26 May...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Tuache propaganda juu ya uhai wa Watanganyika

    TUACHE PROPAGANDA JUU YA UHAI WA WATANGANYIKA. Hakuna Taifa linalotuonea wala kutuingilia mambo yetu ya ndani kinyume na Sheria za Kimataifa. Yanayotupata leo yanatokana zaidi na ujinga wetu wenyewe, ukatili wetu wenyewe, na kushindwa kuwajibika kwa mujibu wa Sheria na Katiba ya nchi...
  16. Kaptula la max

    JamiiForums Tanzania Ya, 29/10 Haiwezi kusafishwa na propaganda

    Muda unaweza kusonga mbele. Kauli za kisiasa zinaweza kubadilika. Ripoti za ndani zinaweza kutungwa kwa lugha laini. Lakini 29/10 ni kumbukumbu ya kudumu ndani na chamber za kimatifa Na sasa dunia inaanza kuonyesha kuwa haikusahau. Wiki hii, maseneta wa Marekani kutoka pande mbili tofauti za...
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tanzania: United for Peace & Sovereignty

    Tanzanians are united in defending their country’s dignity, sovereignty, and peace. External campaigns built on misinformation will never define Tanzania’s identity or future
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Warioba tubuu badala ya kujisafisha kwa Propaganda dhaifu

    Ukitaka kujua tabia ya paka chunguza anakula nini. Warioba (na mwenzie Butiku) ni watu ambao mikono Yao imejaa damu na machozi ya wahanga wengi. Ukitaka kujua hili durusu Sheria ya kuweka watu kizuizini ambayo ilianza kufanya kazi tarehe 5 oktoba 1962 (Act No. 60 of 1962). Wakati huo...
  19. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Kwa propaganda hizi zilizoandaliwa na Tume ya Chande kweli mko serious mnataka Maridhiano? Bila ukweli na Uwajibikaji sioni Maridhiano yakifanikiwa

    Taifa liweze kupona msingi wake lazima huwe ukweli na uwajibikaji sasa hii Tume Jaji chande imejikita kwenye propaganda za kitoto Je kweli nyie mnataka kuliponya Taifa? Watanzania au wananchi wa karne hiii hamtaweza tena kuwadanganya kitoto tena...
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Maulid Kitenge: Nina imani kubwa na Tume ya Jaji Chande. Ripoti ya kesho itaenda 'kuponya' Watanzania

    Wakuu, Nakumbuka hata kipindi kile cha Uchaguzi MaCCM yalitumia mbinu hizi hizi za kutumia watu maarufu kuhalalisha Uchaguzi ila kilichotokea hadi leo hawaamini Ni lini CCM itakubali kwamba Generation imebadilika and that kutumia watu maarufu ilikuwa ni trick ya zamani sana ambayo sasa hivi...
Back
Top Bottom