Hamis Mwinjuma, also known as Mwana FA (born in Tanga), is a Tanzanian Musician, board member of the country's National Arts Council (BASATA), and a politician presently serving as the Chama Cha Mapinduzi's Member of Parliament for Muheza constituency since November 2020.
Mimi ni mmoja wa watu ambao nimemfatilia sana Mwana FA toka akiwa msanii hadi pale alipoanza siasa mwanzon ila baadae nikaja nikaacha.
Sifikirii kua na sitaki kuamini kua Mwana FA niliekua namjua atakua kabadilika hapana.
Ninachokijua kuhusu Mwana FA ni kua ni mtu ambae ametokea Mtaani ni mtu...
Jana kazomewa. Huko wizarani ni kama yatima. Bashite na Gerson wana enjoy. Wamemtenga jamaa jikoni kwenye mafuta.
Hata safari ya Paris na kombe la dunia jamaa wamembania.
Wakati wa mwenye kifua kipana mwana FA alienjoy sana na kupiga hela ndefu.
Sasa hivi yuko mkiwa na kama yatima.
Source...
Ndugu zangu kwa masikitiko makubwa jana mabeberu wamewalipa watu wote walioingia kwenye hafla ya miaka 30 ya bongo fleva ili wamzomee, kumbagaza na kumbananga mwana FA.
Inauma sana. Mimi kama abduli aka Ponjoro wa Kinondoni nimesikitika sana. Na bado.
Baada ya kishundwa kutuvuruga kwenye skukuu zetu za kitaifa , sasa wame hamia kwenye matukio ya burudani
sasa mtu mzima na akili zake anakuja na hoja kwamba MWANA FA amzomewa kitu ambacho zio kweli , unaweza kuona mwenyewe jinsi hawa watu walivyo desperate kutu ingiza kwenye propaganda zao za...
Wananchi wakataa mapambio ya MwanaFa kwenye miaka 30 ya Bongo Fleva
Katika hali isiyo ya kawaida, Naibu waziri wa Michezo, Sanaa...., Mwinjuma Hamis maarufu kama mwanaFa amezomewa na kukataliwa na wananchi waliohudhuria tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva, pale alipotaka kuanza kusifia na...
Nimepata hofu sana, Kwa Nini lakini tumefika huku, kweli mazungumzo ya kisiasa ni muhimu? Kwenye show isio husu siasa?, Kuna chupa zinge rushwa wallah, safi sana muheshimiwa Kwa. Kuliona hilo
Aibu utaona wewe!!
Usiku huu kunafanyika show ya miaka 30 ya bongo fleva.
Mgeni rasmi ni Mwana FA, basi alipopanda jukwaani akaongea vizuri mpaka pale alipoanza kusema serikali ya awamu ya 6, hata hajamaliza watu wakaanza kuzomea.
Ikabidi Mwana FA azuge kuwa tunajenga Arena. Lakini hadhira...
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, ameeleza kuwa Serikali inatengeneza mfumo rasmi wa kusajili watoa huduma mbalimbali nchini ili kukidhi mahitaji makubwa ya wageni yanayotarajiwa wakati wa mashindano ya AFCON. Hatua hiyo inalenga kuhakikisha kuwa sekta zisizo...
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma akijibu swali bungeni amesema kuwa Serikali ipo kwenye mazungumzo na Chama Cha Mapinduzi ili iweze kukarababti viwanja vinavyomilikiwa na Chama hicho ili waweze kugawana mapato.
Soma
Lini Viwanja vinavyomilikiwa na CCM vitakuwa chini...
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amesema amesema kwenye Bajeti hii imetengwa Tsh. Bilioni 400 za Mkopo kutoka Exim Bank ya Korea kwa ajili ya Ujezi wa Arena wakati akijibu swali la nyongeza la Mbunge Festo Sanga, aliyehoji hatua zilizofikiwa na Serikali...
MWANA FT. PROFESSOR JAY.
SONG. JUKUMU LETU.
VERSE. 1.( MWANA FA & PROFESOR JAY)
Professor jay:
Kilio la mgambo limelia kote nchini kwa wote Yaani mjini na vijijini/ Tanzania 🇹🇿 imegubikwa na wimbi la Umasikini /..
Mwana Fa:
Jukumu la kila mmoja kuchangia tufanye nini..?
Professor jay...
Mashairi ya Wimbo wa HII LEO - Crazy GK, Mwana FA, AY (Lyrics)
Kiitikio:
------------
Hii leo
Crazy GK Mwanafalsafa AY
Weka manyanga chini
Hivi sasa tupo hewani
Twakupa maneno matamu
Na yenye thamani
Verse 1: AY
-----------
Oya.! Navaa buti
Na full CBM
Nazama street
Ntapiga dili zaidi ya 12...
Ni kama figisu zimeanza.
Makonda hamtaki Mwana FA pale Wizarani.
Alichofanya Makonda, ni kumgeuza Msigwa (Katibu Mkuu wa Wizara) kama chawa wake kwenye mitikasi yake pale wizarani. Safari wapo wote, Briefings na waandishi wapo wote.
Ishu zote muhimu zenye posho nzito kipaumbele ni yeye...
Moja ya Changamoto itakayo jitokeza ni ya Nani atatawala nafasi ya Unaibu waziri wa Habari, utamaduni, Sanaa na Michezo.
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma (mwana fa) akizungumza baada ya kuwasili katika ofisi za Wizara hiyo Mtumba jijini Dodoma, lNovemba 18...
Nadhani hali ni tete, leo MwanaFA amepost wimbo wa Juma Nature ft Prof Jay. Huu wimbo ni wa zamani lakini wameuboresha kidogo ili kwenda sawa na siasa za sasa. Ikumbukwe wimbo huu ulikuja baada ya fujo na sio kabla. Kumuona FA amepost nimestuka maana unazungumzia masuala ya maandamano.
Kwa...
Wasanii wengine watu wamewa unfollow kwenye kurasa zao na wanatukanwa na kubezwa kisa kuonesha wanaunga mkono juhudi za chama
Huyu mwamba yeye wala hatetwi untouchable hata akifiwa na mpendwa wake sidhani kama wanaharakati wataenda kushusha kejeli kama tulivyofanya kwa mjomba.
Sababu ni ipi...
Nimepitia vyombo karibia viwili vya habari vilivyoripoti hukumu ya Mahakama ya Rufaa katika kesi inayomuhusu Mwana FA na AY dhidi ya kampuni ya TIGO.
Kwa jinsi maamuzi hayo yalivyoripotiwa ni kuwa Mwana FA na AY wameshinda kesi hiyo. Ukisoma vizuri mtiririko wa kesi zenyewe, utagundua uamuzi...
Mahakama Kuu haikua sahihi kutengua uamuzi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala uliowapa ushindi wasanii wa muziki Hamisi Mwinyijuma maarufu Mwana FA na mwenzake Ambwene Yesaya au AY dhidi ya kampuni ya simu ya MIC Tanzania Public Limited Company, sasa Honora Tanzania Public Limited Company.
Hii ni...
Mbunge anayetetea kiti chake katika Jimbo la Muheza Mkoani Tanga Hamis Mwinjuma maarufu kama Mwana FA amepata ushindi wa kishindo katika kura za maoni zilizopigwa na Wajumbe hii leo Jimboni hapo kwa kupata kura 9030 ambazo ni sawa na asilimia 91.
Katika ushindi huo, MwanaFA ameongoza na...
Wakuu mpo!
Mwaka 2024 nilitabiri Hersi atagombea ubunge mwaka 2025
https://www.jamiiforums.com/threads/anguko-la-yanga-limechangiwa-na-eng-hersi-mwenyewe-na-gsm-kuwa-na-tamaa-ya-madaraka-ya-kisiasa-mwaka-2025.2286008/
Leo nmeona taarifa kachukua fomu.
Niwaambie tu wajumbe kuwa hata msipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.