karibuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Kwenye nyimbo yangu, tayoitambulisha karibuni nme muimba chivayo , je hicho kipande nikifute

    Dah Kuna kipande nilimuimba chivayo kwenye ngoma yangu tayo itambulisha wiki zijazo sijui nikifute au nikiache. Nilikua nawaongelea watu waache tamaa kutamani maisha ya watu na badala yake walinde migongo Yao. Kinaimba hivi, " unatamani kua na pesa kama chivayo" Nilimuimba kidogo sana, asee...
  2. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Za ndani kabisaa. Kuna mapandikizi ndani ya Chadema yametumwa hivi karibuni kukiharibu chama. Yanajisahau hii sio Chadema ya Mbowe

    Yanatumia mbinu za kizamamani kama enzi zile za Nazi ya ujerumani. Kurekodi na kutuma taatifa huko CCM. Yanajifanya ni mamtu matiifu kwa Chadema lakini sio kweli. Soon yataaibika maana hii sio ile Chadema ya Mbowe.
  3. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania OKTOBA 1, SAA SITA USIKU

    Nitatambulisha msanii wangu mpya, jina lake, sura yake, jina la record label. NITATOA TAREHE PIA YA KUACHIA KAZI YANGU YA KWANZA HIT SONG, DUNIA ITASIMAMA NA MVUA ISIYO NA MADHARA ITANYESHA KWA UWEZO WA MUNGU KUASHIRIA BARAKA TELEEEE. Pia tafanya press conference humu jamii forum kwani ni...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Karibuni samaki, fungu 10000,nauza kuanzia fungu 3,jodari,tasi,kolekole kibua

    Karibuni samaki wadau,fungu 10000,nauza kuanzia fungu 3,jodari,tasi,kolekole kibua, online business,mikoani tunatuma Kwa uaminifu mkubwa Sana,karibuni
  5. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Vifo vya watumishi wa serikali Idara kadhaa hivi karibuni: Utawala wa serikali kuu una matatizo.

    Kumetokea vifo na ajali kadhaa vinavyohusu watumishi wa serikali na Idara zake hivi karibuni. Vifo ninavyokumbuka: 1. Boti kuzama Kigoma na kuua watumishi 7 2. Askari polisi 5 na mahabusu 7 kufariki ajali gari la polisi 3. Gari Mkuu wa wilaya kukaidi amri ya kusubiri Inyala, Mbeya na...
  6. Al-akhdally

    JamiiForums Tanzania KARIBUNI KWA KAZI ZA KUTENGENEZA PVC CARD

    Natengeneza id card za plastic kwa ajili ya matumizi mbali mbali 1. Id card 2. Visitors card 3. Coupon 4. Business canrd 5. Wedding card Karibuni tupo kariakoo 0717470234 Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa. our value is speed and acuracy
  7. C0000-5068-428-1

    JamiiForums Tanzania Karibuni CCM, Tuijenge Tanzania Yetu Pamoja

    Kama unaipenda Tanzania, kama unaamini katika amani na maendeleo, na kama una moyo wa kuona nchi yetu ikiendelea kusonga mbele, karibu CCM. CCM ni chama chenye historia ndefu katika safari ya taifa letu. Ni chama kilichokuwepo katika hatua mbalimbali za ujenzi wa Tanzania na kinaendelea...
  8. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Hilda Newton na Maria Sarungi mnapaswa mjitathimini la sivyo mtapoteza credibility hivi karibuni

    Kwanza niwapongeze kwa ujasiri wenu uliotukuka kwa kuamua kua mstari wa mbele kupambana na kufichua maovu ya ccm na serikali yake dhalimu. Wakati huo sisi vidume coconut tukiwa tumezifungia kende zetu baridi ndani, huku tukionyesha ushujaa uchwara nyuma ya ID fake humu JF. Lakini kadiri Siku...
  9. Red black

    JamiiForums Tanzania Weekend : karibuni wakuu tuharibu akili kwa vinywaji changamshi

    😆
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kikao maalum cha Kamati Kuu ya CHADEMA kufanyika Agosti 29, 2026

    TAARIFA KWA UMMA KIKAO MAALUM CHA KAMATI KUU YA CHADEMA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinawataarifu wanachama, viongozi na umma kwa ujumla kuwa Kamati Kuu ya Chama itafanya kikao maalum kesho, Jumamosi tarehe 29 Agosti 2026. Kikao hicho kitafanyika katika ukumbi wa Makao Makuu...
  11. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Nimeamka na siku njema sana leo, niko free, shemeji kaniachia funguo za sebreni, dada kaniongezea mkwanja wa kutanua kwa zena leo. Karibuni

    Muwe na weekend njema wakuu. Msikatae asili zenu, kwanini nijifanye taita humu JF kama wengine? Mdada yoyote karibu kwa zena kuanzia saa kumi ,haijalishi una makebo makubwa au lah, karibu, drinks on me Mmoja nishatumia nauli anakuja👇
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Msumari wa TEC: Mambo Muhimu Yaliyojiri Kwenye Mkutano wa Hivi Karibuni wa TEC (Agosti 2026)

    Mkutano huu na waandishi wa habari ulifanyika mara baada ya viongozi wa TEC kukutana na kufanya mazungumzo na Samia Suluhu Hassan katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. Lengo la Kukutana na Rais: Padre Dkt. Charles Kitima alibainisha kuwa mkutano huo ulitokana na ombi la maaskofu wenyewe...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Kupaka rangi Nyumba ndani na nje karibuni

    TANGAZO LA KUTAFUTA KAZI YA KUPAKA RANGI NYUMBA NATAFUTA KAZI YA KUPAKA RANGI NYUMBA – MUSOMA Natoa huduma za kupaka rangi nyumba za makazi, ofisi, maduka na majengo mbalimbali ndani ya Musoma na maeneo ya jirani. Ninafanya kazi kwa umakini, uaminifu na ubora wa hali ya juu. Napaka rangi za...
  14. al1

    JamiiForums Tanzania Karibuni Kwa Ushauri wenu wakuu Kwa Kwa kijana huyu.

    Kijana anataka kuwa vet (daktari wa wanyama) anataka kusoma bachelor of agriculture science halafu mwaka wa tatu achague livestock production, je baada ya hapo anaweza kutambuliwa kama daktari wa wanyama?
  15. G

    JamiiForums Tanzania KARIBUNI MARATHON

    Karibuni kwenye Marathon mfaidi. Wazee wa VAR kazi kwenu.
  16. polokwane

    JamiiForums Tanzania Kwakweli CCM kwa miaka ya hivi karibuni mnatuletea viongozi wa hovyo na wa ajabu ajabu sana sana! Chama kimekumbwa na nini?

    Swali linajitosheleza kwenye sredi
  17. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania TRA karibuni miavuli ya Kariakoo

    TRA na watu wengi wamekuwa wakitudharau sana, sisi watu wa miavuli , Ukweli ni kwamba kwa siku hamna hamna ninalaza 500,000/-. Hapo bado kuna delivery ambazo wala hazipo golini, zinatoka Stoo kwenda Shekilango au kwa Transporter. Nafsi yangu imenisuta kila siku kudanganya maskini wakati...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Old school members wa JF, karibuni tukumbukane kwenye uzi huu. Gathering nights @leo tuko hapa and Kebbys Hotel

    Madame B, Evelyn Salt , Zion Daughter, FirstLady1, Nazjaz, cacico, Asha D Abinallah , Kipaji Halisi. Asprin, Arushaone , Kaka kiiza, kuna jambo letu pande hizi
  19. venchwa

    JamiiForums Tanzania Weekend Nyingine Karibuni! Demu huyu ntamtawanya na sitataka demu tena hadi mwezi uishe

    Siiweki picha yake ni mtu maarufu mtamsumbua, kaja leo amataka akae weekend Mzima wakati nina ratiba Nyingine kesho Mpaka week inaisha itakuwa Powa Ila sijui wanataka nini hadi nimechoka ,
  20. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Madaktari "Viti Maalum" kuja hivi Karibuni!

    Baada ya taaluma ya mawakili wa kujitegemea kupuuzwa, kudharauliwa, kudhalilishwa, kutishiwa kufutwa chama chao na "watu wasiojulikana" na baada ya kuona TLS ina nguvu kwa kutumia Section 4 of TLS ACT, mbinu kubwa ikaja ni kuunda chama cha mawakili wa Serikali wapambane na TLS. Wale mawakili...
Back
Top Bottom