kuondolewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Suala la Machinga kuondolewa kariakoo kuna haja serikali ipelekwa mahakamani.

    Taasisi za haki za binadamu wasilikalie kimya hili jambo maana ni ukatili na uonevu mkubwa. Hatuwezi kutesa maelefu ya vijana kisa watendaji kadhaa wasiozidi 10 wa jiji wanahofia nafasi zao. kwani walikuwa wapi miaka yote hiyo. Hao wafanya biashara wapo kariakoo kwa zaidi ya miaka 30 huwezi...
  2. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israel, Itamar Ben-Gvir: awasaidie Watu wa Gaza wakae Mkao wa kuondolewa huko Gaza!!

    Waziri wa Usalama wa Taifa wa Israel, Itamar Ben-Gvir: Hali ya watu huko Gaza si nzuri. Nataka kuwatoa Gaza. Mimi ni mtu mwenye kujali utu, sawa? Ninawafanyia wema. Ninawatoa huko Kama wataendelea na ugaidi wao!!!!
  3. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Mahakama Haulindwi kwa Maneno, Bali kwa Muundo: Kwanini Kauli ya kikatiba kwamba "Mahakama ni huru", bila muundo bora ni Udhaifu mkubwa..?

    Karibu kila Katiba duniani inasema "Mahakama ni huru." Ni sentensi rahisi kuandika, lakini historia imeonyesha mara nyingi kwamba sentensi hiyo peke yake haitoshi. Uhuru wa kweli wa Mahakama haupimwi kwa maneno ya utangulizi, unapimwa kwa maswali magumu zaidi: nani anateua Majaji, kwa muda gani...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zaidi ya Ekari 15,000 za Misitu Kuondolewa Hadhi: Nani Anasubiri Kunufaika?

    Taarifa zinaonesha kuwa zaidi ya ekari 15,000 za ardhi ya misitu ziko katika mchakato wa kuondolewa hadhi ya misitu (degazettement), hatua inayoweza kufungua njia ya ardhi hiyo kupewa hati miliki. Maeneo yanayotajwa ni Mount Elgon Forest – ekari 11,483, Turbo Forest – 3,069, Kakamega Forest...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Sioni uwezekano wa kupata Katiba mpya kufikia 2030, asimulia mawasiliano na Nchimbi kabla ya kuondolewa CCM

    Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba, amesema haoni uwezekano wa Tanzania kupata Katiba mpya katika kipindi kifupi kijacho, akionya kuwa nchi inaweza kuingia katika madhara makubwa zaidi ikiwa itafanya uchaguzi mwingine kwa mfumo wa sasa. Jaji Warioba amesema mchakato unaopendekezwa kufikia...
  6. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania Anaweza kuondolewa Madarakani, Iwapo...

    Kuna Ugumu ndio Maana anajiamini atakaa hadi 2030. Ingawa Inawezekana akaondolewa madarakani. Iwapo amefanya vitendo vinavyovunja Katiba au Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma. Pale anaposhindwa au kuacha kutekeleza kazi na majukumu ya kiti chake. Kama amepatikana na hatia ya kosa la jinai...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Bila kuondolewa kwa nguvu ya umma, Kiongozi anayedharau wananchi hawezi kutoka madarakani

    Yaani anafanya anavyotaka. Anateua watoto wake. Na ikibidi anakuwa anatembea nao kama alivyokuwa akifanya Idi Amin. Anateua mashoga zake hata kama ni majambazi. Duniani kote kiongozi kama huyu lazima aondolewe kwa nguvu za umma. Mifano mizuri ni ule wa Misri na Tunisia 2010 na 2011...
  8. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Maombi ya Tanzania na Uganda kuondolewa uanachama Jumuiya ya madola yawasilishwa Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG)

    Kampuni ya sheria ya kimataifa Amsterdam & Partners LLP, inayoongozwa na Wakili Robert Amsterdam, imewasilisha maombi rasmi kwa Commonwealth Ministerial Action Group (CMAG) kutaka serikali za Tanzania na Uganda kuondolewa a mara moja kutoka Jumuiya ya Madola. Sababu kuu zilizotolewa ni; 1...
  9. Richard

    JamiiForums Tanzania Kuondolewa Jeshini kwa Meja Jenerali Gaguti awe balozi na pia kuondolewa kwa RC wa Kagera Hajjat Fatma ni maandalizi ya kustaafu au ni mambo mengine?

    Meja jenerali Marco Elisha Gaguti jana ameondolewa kutoka nafasi alokuwa nayo ya ukuu wa utumishi jeshini na kuambiwa atakuwa balozi. Pia wakati wa teuzi mbalimbali zikifanywa jana hiyohiyo mkuu wa mkoa wa Kagera bi Hajath Fatma Mwassa nae akaondokewa katika nafasi hiyo (kutenguliwa). Meja...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Dodoma-Tanzania 🗓️Januari 29, 2029 ——————————————— Amesema hayo wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Dodoma-Tanzania 🗓️Januari 29, 2029 ——————————————— Amesema hayo wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba wakati akijibu swali la Nancy Nyalusi, Mbunge wa Viti Maalum katika kipindi cha Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu alisema: "Nimeelekeza kuondolewa kwa masharti yanayokwamisha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwenye halmashauri zetu"
  13. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Wanaokwamisha ujenzi wa stendi ya Mikumi kuondolewa

    📍MOROGORO - Mkuu wa Mkoa, Adam Malima, amesema hatua zitachukuliwa dhidi ya Watumishi wote wanaokwamisha utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa stendi ya magari ya mizigo (malori) ya Mikumi, Wilayani Kilosa, unaotarajiwa kuanza hivi karibuni. Malima ametoa kauli hiyo wakati wa kikao kazi cha...
  14. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Lissu kuondolewa uenyekiti ilitabiriwa mapema sana.

    https://x.com/barakawamb/status/2007413291476238344?s=20
  15. Zacht

    JamiiForums Tanzania Rais wa Colombia, Gustavo Petro atoa wito Umoja wa Mataifa kuondolewa Marekani

    Rais wa Colombia, Gustavo Petro, amekosoa vikali Marekani baada ya kufutiwa viza kwa sababu ya msimamo wake dhidi ya vita vya Gaza. Gustavo alionekana mjini Newyork akiungana na waandamaji kupinga mauaji yanayofanywa na Israeli ,Pia amenukuliwa akikosoa Marekani na Israeli kwenye ushirika wao...
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Ajivika sanda kupinga kuondolewa huko Gaza anataka awahishwe kwa Allah wake

    Idhaa rasmi za Hamas zinasambaza video inayoonyesha mtu wa Gaza aliyejitoa muhanga akiwa amevikwa sanda ya mazishi akiwahutubia wakazi wa Shati na vitongoji vya Sheikh Radwan: “Mbona mnaogopa kifo, mbona mnatoka majumbani mwenu, mnawasaidia Mayahudi kuingia maeneo haya, mimi hapa nimejifunika...
  17. Mikael Aweda

    JamiiForums Tanzania Kitendawili Kisa Cha Rais Biden wa USA kuondolewa na Chama chake Cha Democrats na Sarakasi ya CCM na Samia Dodoma. Yajayo yanafurahisha.

    Muda wa kampeni ukafika. Kampeni ilianza kati ya Trump na Rais Joe Biden. Mdahalo wa kwanza ukaandaliwa kati ya Trump na Biden. Biden akafanya vibaya pamoja na kuibiwa maswali ya mdahalo kabla. Ikumbukwe Establishment ya Democrats akina Obama, Schumer na vigogo wengi hawakumtaka Biden Toka...
  18. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Pitch ya dimba la Mkapa inapaswa kuondolewa na kubadilishwa, big screen iwepo na matangazo ya LED kuzunguka uwanja yawepo juu na chini

    Kwa wapenzi na watazamaji wa mpira wanajua na wanatambua, kitu cha kwanza na kigezo cha kusema 'huu uwanja ni mzuri' basi ni pitch quality, maana wanaohudhuria uwanjani ni asilimia kidogo sana kati ya watmazamaji wote wa mpira, na zaidi ya 80% ya maeneo yanayomulikwa na camera wakati wa mchezo...
  19. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hans anafaa kuondolewa katika kipindi cha michezo CrownFM, anajenga chuki isiyo na ulazima

    Nashauri uongozi wa Crown FM uchukue uamuzi mgumu hasa dhidi ya Hans ambaye anajionyesha wazi yuko kwenye payroll, na muda wote anajaribu kuonyesha anafanya retirement kwa wanaomlipa. Mwisho anaharibu kipindi kwa kujaza utoto katika kila kitu. Au laa, apangiwe segment ya jioni ya michezo na...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba hawajaumia mechi ya tarehe 15 kusogezwa mbele. Wameumia kuondolewa kazini viongozi wa bodi ya ligi

    Huo ndio ukweli mchungu
Back
Top Bottom