Hapa Mungu alikuwa amechoshwa sana na ujinga wa watu.
Zekaria 11:9. ". . . . Atakayekufa na afe! Atakayeangamia na aangamie! Na wale watakaobaki na watafunane wao kwa wao.”
Alfajiri na mapema Vivian Njie mwenye umri wa miaka 89 aliwasha jiko lake la kuni katika mtaa wa Mbende, mji wa mapumziko wa Limbe uliopo Mkoa wa Kusini-Magharibi mwa Cameroon. Safari hii, sufuria iliyokuwa juu ya jiko haikuwa tupu.
Ndani yake, mchele mweupe wa punje ndefu uliotolewa na China...
Hakuna kilichokuwa promised kwetu wanaume, kila siku ni challenge mpya ya kutaka kuushinda uchungu na mateso
kila siku ni presha mpya, kila siku ni vita mpya, kila siku mpya ni upinzani mpya.
Unaweza ukaona kama una akili nyingi ukadhani huhitaji msaada wa Yesu.
Unaweza ukaona una pesa nyingi sana hivyo ukadhani humhitaji Yesu.
Maswali je unayo furaha ya kutosha, unayo amani ya kutosha? Unao upendo wa kutosha? Je unao uvumilivu na ustahimilivu wa kutosha?
Unamhitaji Yesu ndugu...
Kero yangu ni upande wa Traffic Polisi kwa Mkoa wa Dar es Salaam, hivi kwanini wanakazia sana kupewa rushwa tena wanaomba kiasi kikubwa cha fedha, kikikosekana wanakuandikia fine kubwa ya makosa kuanzia matano.
Changamoto hiyo inawakuta hawa wenye magari na madereva wa Bajaj, mfano sisi watu wa...
Anonymous
Thread
bajaj
barabarani
dar
kutengeneza
madereva
magumu
mazingira
mazingira magumu
waache
Moja ya series kali kabisa kuwai kutengenezwa, inaelezea kipindi ambapo maisha yanakuvuruga na kujikuta, mtu mwema unalazimika kufanya maamuzi magumu ili kujiokoa.
Sidhani kama kuna ubishi kwenye jambo hili la kipekee sana kwa rais wetu.
Na sote ni mashahidi kwamba, hatua za makusudi na maamuzi magumu ambayo daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan amekua akiyachukua ndani ya chama na katika serikali sikivu ya CCM, hulenga katika kulinda maslahi mapana ya taifa...
amani
amani na usalama
chochote
hatua
history
katika
kipindi
kufanya
kufanya maamuzi
kuliko
maamuzi
maamuzi magumumagumu
maslahi
ni ya
rais
suluhu
taifa
taifa letu
teknolojia ni yetu sote
uhakika
umoja
usalama
usalama wa taifa
utawala
Huenda wewe ni mfanyabiashara,
Mwajiriwa,
Au umeniajiri,
Huwa unafanya ninibunapoona gafla mambo yamebadilika?
kipindi hicho unafanyeje usikate tamaa na uendelee kupambana?
Mimi natumia njia hii;
- Kujitenga na kuliangalia swala kwa undani
- kujua kwa nini limetokea na mimi...
Wengi wetu humu tumo kwa ajili ya kutafta attention. (subconsciously kila mtu hupenda kuonekana)
Binafsi napenda kuwa the center of attention.
Sikupata attention, growing up. Sio kwamba wazazi hawakunipa maisha bora, nooo.. Ni kuwa nilikosa upendo wao wa dhati, ilionekana ya kuwa wao...
Kuna wale jamaa huwa wanapenda kutusema sana sisi wana wa kamtungilei, lakini maisha yao kila kukicha ya jana yanakuwa na afadhali kuliko ya leo....kuna jamaa yangu mwingine huwa anapenda kunisema kuhusu mambo ya mtungilei alijichanganya akaenda kuchukua mkopo wa laki nne kwenye taasisi za...
Tumeajiriwa toka Januari 2026 wenzetu wachache wamepata mshahara wa Januari na Februari wengine malipo yetu bila ya sababu za msingi hatujapata chochote hadi sasa hivi.
Wengine wetu walijitolea kufanya kazi toka muda huo hadi sasa lakini mazingira yamekuwa magumu.
Halmashauri hakuna jibu la...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
halmashauri
kazi
magumu
mazingira
mazingira magumu
mpya
Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe akifanya Mahojiano na Clouds Media leo Mei 28, 2026
"Inaonekana wazi kwamba mazingira yetu sasa hivi ya watu ambao bado wako active kwenye siasa mazingira ya siasa ni magumu. Mnaona sarakasi za msajili na na chama cha Chadema ambazo hazina...
Nilidhani magumu tunayo sisi ambao tunakunywa pombe na kuchoma nyama.
Unachukua kinywaji kikali unafanya ukemia alafu maisha yanaendelea.
Nashangaa na nyie msiokunywa watumishi wenzangu wa serikali baad ya wiki tu mshahara kutoka mnakua hoi bin taaban.
👉Wahubili wengi wanashindwa kueleza kwa uhakika kwanini watu waovu wengine wanaishi maisha mazuri huku waadilifu wakiteseka kila siku.
👉Swali la kwanini maombi ya baadhi ya waumini hayajibiwi licha ya kufunga na kuomba kwa muda mrefu linaendelea kuwachanganya wengi.
👉Tofauti kubwa...
👉Wahubili wengi wanashindwa kueleza kwa uhakika kwanini watu waovu wengine wanaishi maisha mazuri huku waadilifu wakiteseka kila siku.
👉Swali la kwanini maombi ya baadhi ya waumini hayajibiwi licha ya kufunga na kuomba kwa muda mrefu linaendelea kuwachanganya wengi.
👉Tofauti kubwa...
Hivi kuna kitu gani behind ajira.? unakuta mtu analipwa 800k kwa mwezi lakini anamaisha magumu ndy nn sasa.?
Alie na ufafanuzi mzuri anieleweshe... si kwa miezi miwili tu hapo unakua na 1.6M + kwa 10 miezi = 9.6M kwa mwaka😀
Juzi pitapita mitandaoni, nikapata taarifa kuwa chirwa na rubeni wameachana, nikataka nijue chanzo, mana huyu Binti watanzania walikua nyuma yake kutokana na kile nacho amini kuhurumiwa,
Inasemekana sababu kubwa ya wao kuachana, ni kuwa ndugu wa mwanaume hawa kuwa tayari ndugu Yao amuoe huyu...
Hii post naielekeza moja kwa moja kwa Mheshimiwa Rais, Dr Mama Samia Suluhu Hassan na waziri wa Nishati na Madini.
Jamani wakuu maisha yetu watanzania wa hali ya chini yanazidi kuwa magumu. Bei hizi za gesi tunazotangaziwa kuwa zimepanda kufikia 62000 kwa mtungi wa kg 15 na 27000 kwa mtungi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.