ubalozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi ya Mpishi imetangazwa na Ubalozi wa Ubelgiji, mwisho wa maombi ni 21 Agosti 2026

    Tunatafuta Mpishi kujiunga na timu yetu 🇧🇪🇹🇿 📌 Tarehe ya kuanza: Oktoba 2026 📍 Mahali: Dar es Salaam Sehemu kubwa ya ukarimu wa kidiplomasia hufanyika mezani😋. Makazi ya Balozi wa Ubelgiji yanatafuta mpishi wa kuendesha jiko, milo ya kila siku, hafla rasmi, na menyu zinazowaridhisha wageni na...
  2. Amani ya Mungu

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Visa ya China Tanzania: Tatizo ni Madalali, Sio Ubalozi

    Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu ugumu wa kupata nafasi ya kuwasilisha maombi ya Visa ya China nchini Tanzania. Watu wengi huilaumu Ubalozi wa China, lakini kwa mtazamo wangu, tatizo kubwa si ubalozi wenyewe, bali ni mtandao wa madalali na watu wa kati ambao wamejijengea mfumo wa kujipatia...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Naibu waziri Millya atembelea ubalozi waTanzania nchini Burundi

    NAIBU WAZIRI MILLYA ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI BURUNDI Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Mhe. James Kinyasi Millya (Mb.), ameambatana na ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ulioshiriki katika Maadhimisho...
  4. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Hatimaye thread yangu kuhusu Terence Crawford imemfikia waziri wa utalii na maliasili na amempa ubalozi wa utalii Tanzania

    Niliandika thread hapa kushangaa kwa nini mtu kama Terence Crawford kuonesha mapenzi yake ya dhati kwa Tanzania kuitangaza kimataifa na kupost kila hatua anayopita kuonesha ni kwa namna gani Tanzania imebarikiwa lakini viongozi wa nchi walimkalia kimya kana kwamba ni mtu wa kawaida tu. Kwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani umezumgumzia kifo Ashly Robinson (31), aliyefariki dunia April 9, 2026

    Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania, umezumgumzia kifo cha Mwanamitandao ya kijamii kutoka Miami, Ashly Robinson (31), aliyefariki dunia April 9, 2026, kwa mujibu wa Jeshi la Polisi akiwa Visiwani Zanzibar, Kauli ya Ubalozi huo, inatokana na maswali yaliyoulizwa na AyoTV, iliyotaka kufahamu kwa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania IRAQ: Ubalozi wa Marekani jijini Baghdad washambuliwa kwa Makombora

    Ubalozi wa Marekani katika mji mkuu wa Iraq, Baghdad, umepigwa katika shambulio la makombora, vyanzo vya usalama vya Iraq vimeiambia shirika la habari la Reuters leo Jumamosi. Kwa mujibu wa vyanzo hivyo, shambulio hilo limesababisha moshi kuonekana ukipanda kutoka katika jengo la Ubalozi huo...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani Saudi Arabia washambuliwa na ndege 2 zisizo na rubani

    Ubalozi wa Marekani katika mji mkuu wa Saudi Arabia, Riyadh, umeshambuliwa na ndege mbili zisizo na rubani na kusababisha moto mdogo katika eneo la makazi ya kidiplomasia, kwa mujibu wa Wizara ya Ulinzi ya Saudi Arabia. Shambulio hilo lililotokea mapema Jumanne pia lilisababisha uharibifu mdogo...
  8. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Amani (Kinondoni Muslim hadi ubalozi wao Msasani) kupinga uvamizi nchini Iran

    Watukufu katika imani mara baada ya Swala ya ijumaa tutakua na maandamano ya Amani kuanzia Kinondoni Muslim -Manyanya-Morocco hadi pale ubalozi wao ili kupeleka kilio chetu dhidi ya ndugu zetu huko Iran. Wabillah Taufiq
  9. MK254

    JamiiForums Tanzania Watu nane wafa kwenye maandamano karibu na ubalozi wa Marekani kule Pakistan

    Hawa wahindi walijiingiza kwenye dini ya muaabu hadi akili zikawahama, sasa wanaandamana na kufia karibu na ubalozi wa Marekani kisa vita ambavyo vipo mbali sana na wao, utakuta hapo hamna hata amewahi kutoka nje ya nchi. Nasubiri nione wa huku uswahilini na wao wakiliamsha. ===================...
  10. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Poland Tanzania waonesha athari za Vita ya Urusi na Ukraine kupitia filamu, yamtaka Rais Putin kusitisha vita

    Ubalozi wa Poland Nchini Tanzania umekutana na Wadau kadhaa kutazama filamu inayoonesha mfano wa matukio ambayo yamekuwa na athari kubwa kwa Jamii kutokana na vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine ambayo imezimiza miaka minne. Akizungumza kabla ya uzinduzi wa filamu hiyo iliyopewa jina la...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Taifa wa ACT, Othman Masoud afanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Ubalozi wa Uingereza, 10/02/2026

    Mwenyekiti wa Taifa wa ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, leo Februari 10, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Ubalozi wa Uingereza. Ujumbe huo ulioongozwa na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Bi. Marianne Young, uliowajumuisha pia Bw. Jack Fenwick, Katibu wa Pili...
  12. Damaso

    JamiiForums Tanzania Mnada wa Ubalozi wa Marekani: Fursa au Mtego kwa Mwananchi?

    Ubalozi wa Marekani unatarajia kupiga mnada wa kukata na shoka Jumamosi ya Januari 24, 2026, pale Golden Resort, Sinza. Kuanzia magari hadi vifaa vya TEHAMA, kila kitu kinauzwa "kama kilivyo." Lakini je, ni kweli bei ni rafiki kwa mlalahoi na mtanzania? Wadau wanalalamika kuwa bidhaa bora na...
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Boxer HD 150 wanaweza kumpa ubalozi

    Katika hali isiyo ya kawaida kijana "Brown Antony" amevuka kilometer takribani 900 ndani ya masaa 10 kutoka Mbeya-Dar Es Salaam kwa Pikipiki boxer HD 150... Hii inakuja kutokana na ubishi kuzuka sehemu yao yakazi na kupelekea kuweka shindano la kushinda pikipiki endapo atafanikiwa kufika Dsm...
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Uchokozi: vijana wa kiislam kujifanya wakatoliki na kwenda kuleta dharau na dhihaka kwenye ubalozi wa Vatican sio uungwana

    Imethibitika zaidi ya 90 ya waandamanaji kuelekea ubalozi wa Vatican ni waislam na watu wasiokuwa wakatoliki wenye Nia ovu ya kuleta dhihaka, kejeli na dharau Kwa Imani catholic Najaribu tu kuwaza ingekuwaje kama vijana wa kikristo kujifanya waislam na kwenda pale BAKWATA Makao makuu kupinga...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Barua iliyowasilishwa Ubalozi wa Vatican na kundi la 'Wakatoliki' imevuja

    Zaidi ya waumini 100 wa Kanisa Katoliki wamekabidhi Ubalozi wa Vatican nchini Tanzania barua rasmi ya malalamiko kwa Papa dhidi ya Askofu Mkuu wa Dar es Salaam, Jude Thaddeus Ruwa’ichi, na Katibu Mkuu wa TEC, Padri Dkt. Charles Kitima. Kwa Padri Kitima, waumini wanadai amejihusisha na siasa kwa...
  16. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania ‘Wakatoliki wa mchongo’ wakiwa kwenye foleni ya kuchukua posho baada ya kumaliza IGIZO lao pale Ubalozi wa Vatican

    Kipande cha video ambacho kinaonesha wanaodhaniwa kuwa ni waumini wa kanisa katoliki wakiwa kwenye foleni ya kuchukua fedha. Soma Pia: Waumini 120 wa kanisa 'katoliki' walivalia njuga suala la 'ulofa' na 'wajinga' wasema Ruwa’ichi alitumia madhabahu kuwatukana Ambapo mapema leo Wanaodai kuwa...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Watu wàandamane kwenda ubalozi wa Saudia uone kama watapiga hatua mbili. Inteligensia itafanya kazi barabara,lakini kwa "Wakatoliki" fake imekufa

    Tuko pabaya, kama kweli serikali itawanyamazia hawa wahuni, kuna vita ya dini inapikwa! Simbachawene , IGP na Mulilo, wajibikeni kukemea hili
  18. M

    JamiiForums Tanzania Aliyemshitaki Padri Kitima kwenye ubalozi wa Vaticani anasaligi Parokia gani?

    Swali langu ni hilo tu tumjue huyu Lofa anasaligi parokia gani, tupate uhakika ni muumini mwenzetu au ni pandikizi?
  19. H

    JamiiForums Tanzania Slovakia Yafungua Ubalozi Tanzania

    Slovakia Yafungua Ubalozi Tanzania Balozi Mteule wa kwanza wa Slovakia nchini Tanzania, Mhe. Ivan Lančarič amewasilisha Nakala za Hati za Utambulisho kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Ngwaru Maghembe jijini Dodoma Desemba 10, 2025. Mhe. Lančarič...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza: Ina maana Ubalozi wa Marekani nao unatudanganya ?

    Juzi ubalozi wa Marekani ulisema umekutana na Rais. Kwenye page ya ITV ubalozi ulikutana naye Oktoba 8. Nani anaficha ukweli. Hii picha waliotoa angalia
Back
Top Bottom