rafiki yangu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KENZY

    JamiiForums Tanzania Huyu rafiki yangu anatokaje kwenye hili..?

    Kiufupi ni kwamba amempa mimba rafiki wa mke wake!, yani shemeji yake!. Mkewe hajajua kuhusu hilo swala isipokuwa hofu yake ni juu ha huyo aliempa mimba ni haonyeshi kujali hata kama ikifahamika she don't care!. Wala hata akimuuliza hatoi maoni yoyote ye analea mimba tu!.. Jamaa kapagawa hajui...
  2. min -me

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu mkubwa jf .

    Huu ushindi uende kwa rafiki yangu wa ukweli Seran 😅 Huyu mwana namuelewa mno , langu lake lake langu , one love asee💪 Simba nguvu moja🤣🤣
  3. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Mke wa rafiki yangu

    Wakuu kwema, aisee huyu bidada kila akija huwa anaweka wimbo fulani kwenye simu yake kuna line inasema "nakupenda ila nasita" mwanzo siku notice ila naona imekuwa too much. Tunakutana mara kwamara anachukua cement kwangu wana biashara ya kuuza matofali. Sasa akija kufanya malipo mara nyingi...
  4. amu

    JamiiForums Tanzania Jamani namtafuta rafiki yangu

    Habari zenu jamani za miaka mingi? Namtafuta rafiki yangu The Monk atakayemuona amuambie namtafuta jamani. Mzigua90 ukimuona jirani yako muambie anitafute
  5. Zurie

    JamiiForums Tanzania Nimemuuliza swali rafiki yangu; nimepata wivu usiomithilika

    Juzi nimekaa na rafiki yangu fulani, tunaongea tu mambo ya maisha. Katika maongezi shwaa tukamuongelea mkewe. Nikaona nipitishe swali "kwani mkeo unampendea nini?" Akajibu in like 3 seconds, kwa kusema two very beautiful things anapenda kwa mkewe tena ni vitu kuhusu mkewe as a person, sio kama...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu tunalipwa mshahara sawa lakini ananilazimisha nimkopeshe hela kisa mimi sina majukumu

    Nina Mtu ninayeweza kumuita ni rafiki yangu, lakini natamani kwa sasa hata kupunguza urafiki naye kwani ni kama anakua kero. Yeye ana mtoto japo hana ndoa, mimi sina mtoto wala ndoa pia. Tunafanya kazi yenye kipato cha kati, mimi nimeridhika na hali yangu kiuchumi kwa kweli. Na ninajitosheleza...
  7. technically

    JamiiForums Tanzania Nimetoka kumzika rafiki yangu aliyefariki akiwa 33 years. Aisee, imeniuma sana

    Wakuu nimetoka kumzika rafiki yangu 33 years Mwanzo sikuwa najua Kama mtu wa miaka 33 anaweza kufa Tena kwa sukari. Aisee huu msiba umenipa fundisho kubwa Naomba Kama una nafasi ya kumrudia Mungu mrudie fanya ibada za kweli. Kama unaweza kusaidia watoto kwenye vituo vya watoto yatima...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna rafiki yangu ananieleza kuhusu china athari za mabwawa,kingo za mito mifumo ya kulazimisha kubadili mvua ndio wanapata tabu

    Wachina ni watu wenye kujua vitu vingi ila wanapitiliza mpaka waliowafundisha wanaona kama wao ni wajinga. Dunia inatabia moja kama masikio.Binadamu walikuta dunia inaweza kukabiri mfumo ila tatizo la wanadamu wanataka kuitengeneza kama kichwa cha mlevi mwisho wa siku dunia itashindwa kuelewa...
  9. Mwafrika mmoja

    JamiiForums Tanzania Namsimulia Rafiki yangu wa Kijani

    Stori yangu inaanzia mbali, mwaka 2020 wakati ambao COVID-19 ilishika kasi, watu wanapunguzwa makazini, wengine wanapewa likizo bila malipo na wengine wanaendelea na kazi lakini mishahara inasua sua. Maisha yangu yalikaba sana, nilikuwa nategemewa na pesa ninayopata haitoshi "NINATOKAJE?" ndiyo...
  10. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Nimegundua rafiki yangu kawa chawa wa kiwango wa Airport

    Nilikuwa na rafiki yangu mzuri ambaye tulifahamiana ofisini lakini baadaye alikuja kuhama pale ofisini sasa yapata miaka 8 hatuko pamoja Lakini wakat huo wote tuliendelea kuwasiliana na kusaidiana katka changamoto mbalimbali za kimaisha Kilichonishtua ni kuwa mwaka Jana alinipigia simu...
  11. Jang hyuk

    JamiiForums Tanzania Q net na rafiki yangu wa utotoni Mungu anawaona kwa mlichonifanyia

    Ila Q net mnanifanya naishi kama digi digi kwenye mji wa watu 🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥹😭😭. Ndugu zangu mwenye kazi yoyote mwanza naomba Nina hali ngumu sana.
  12. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hatari ya matumizi majina bandia,jf Rafiki yangu kafariki na alikuwa member hapa ILA sijui alikuwa anatumia jina Gani? JE sifi Leo nikifa mtajuaje?

    Mara ya mwisho nilikutana nae kwenye kijiwe chake cha wavuvi camp" fish point, huyu hakuwa Rafiki tu Bali alikuwa classmet wangu chuo kikuu. Tukiwa wavuvi camp,A.K.A Fish point uku tukiwa tunaisubilia kusasamvua lisamaki kubwa, tukaanza kubadilishana story, nakumbuka aliniuliza SWALI ili na ndo...
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Baada ya zaidi ya Miaka 50 nakutana na Rafiki yangu wa Udogoni Salum ''Gordon West'' Khalili

    BAADA YA ZAIDI YA MIAKA 50 NIMEKUTANA NA RAFIKI YANGU WA UDOGONI SALUM "GORDON WEST" KHALIL Nimesimama nje ya Masjid Maamur tumetoka kwenye Akid ni baada ya swala ya Isha na kuna msongamano. Nimesogea pembeni vurugu ya magari, Bajaj na Bodaboda ipungue. Mtu mmoja katika kundi ananionyesha mtu...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Picha: Kuna rafiki yangu anatafuna Aloevera kama bigG

    Rafiki yangu moja ana uwezo wa ajabu wa kutafuna aloevera for fun, kama wewe ambavyo unaweza kutafuna mua, mandazi au kunywa soda Ikumbukwe hakuna kitu kichungu zaidi ya aloevera mimi niliwaibkuipaka usoni kulikua na tatizo kidogo lakini nilivoipaka nikashangaa ladha yake naisikia kabisa. Kuna...
  15. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli: Rafiki yangu wa karibu alipotea baada ya kuokota PETE. Je, umeshawahi kukumbwa na mikasa baada ya kuokota vitu kama Pete?

    Ramadhani (Sio jina halisi), nmelazimika kuficha utambulisho wake kwa sababu maalumu kabisa. Ramadhani alikua rafiki yangu wa karibu sana, tulishirikiana mambo mengi sana. Ramadhani alikua mcheshi sana, na pia alikua mtu wa tizi sana, na zaidi mdadisi mno na ni "daring person" Yan mtu anaetaka...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Majambazi wamemuua rafiki yangu kikatili sana. Imeniuma mno

    Habari za usiku wakuu bila shaka, mupo salama. Leo imekuwa siku mbaya sana kwangu baada ya kupokea taarifa za kifo cha rafiki yangu, gERVASS maarufu kama Baraka. Alikuwa anaishi maeneo ya Malamba Mawili, sehemu inaitwa Bwawani. Ni mitaa ambayo niliwahi kuishi pia. Baraka alihamia huko tangu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio siku nilipogundua rafiki yangu ni nyoka, wewe ulijuaje rafiki yako ni msalaliti ?

    Nilipata dili safi, nikamtafuta huyu ninayemwita “rafiki” twende tukapige kazi tugawane 50/50 kama wanaume. Kumbe mwenzangu ana roho ya korosho. Bila kuniambia neno, akaenda kwa boss aliyenipa kazi nyuma ya mgongo wangu. Kufika huko akauliza nimemchaji sh ngapi. Akaambiwa ile ile bei...
  18. nzalendo

    JamiiForums Tanzania NImemkumbuka sana rafiki yangu Mwl.Chalamila (RIP)

    Huyu Mwalimu alikuwa muungwana sana,,,,ndio maana siku zote naamini mtu mwema huwa anaishi kwenye fikra na mioyo ya watu daima. Kwa kifupi tulifurahia sana maisha ya ujana tofauti na mimi yeye alikuwa siyo mtu wa kinywaji zake gahwa na fegi, Alikuwa ni mwenyeji wangu kila nilipokuwa nafika...
  19. Lighton

    JamiiForums Tanzania Nimeshikilia Hatma ya ndoa ya Rafiki yangu

    Habar za usiku huu wakuu NItaeleza kwa ufupi. Huyu ambaye nazungumzia mada yake ni rafiki yangu sana, tunafanya wote kazi sehem moja. Sasa Kuna huyu rafiki yangu mwingine ambaye ni WA nyumbani, ni mjasiriamali ana ofisi yake anafanya biashara zake, ni smart sana. Huyu rafiki yangu...
  20. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Nakutafuta rafiki yangu Changchun yatai

    Mwanangu hata sijui uko wapi kama uko hai ama vipi, na haya masekeseke yaliyotokea , tuliachana ulikua kwenye harakati za uchimbaji madini mgodi wa mwime kahama ulikua unapambana kweli kutafuta wadau wakupe tafu mmalizie muingie zone ya madini chini, ukapotea gafla mwanangu. .. Je uko Salama...
Back
Top Bottom