safi

Sāfī (Pashto: ساپی‎ Sāpai; plur. ساپي Sāpī) is a major branch of the greater Ghurghakhti Pashtun tribe. The Safi tribe comprises a majority in the Pech Valley of Kunar and are present in significant numbers in Parwan Province (Kohi Safi), Kapisa Province, Kabul Province, Laghman Province, Nuristan Province and the whole of Kunar Province. A reasonable majority also resides in different urban and rural areas of Khyber Pakhtunkhwa, particularly Peshawar, Charsadda, Mardan, Nowshehra, Swabi. A large number also settled in Rawalpindi, Tarnol, Karachi,Lahore, Multan. They are also present in large number in Mohmand, Bajaur Agency, Federally Administered Tribal Areas and in Zhob District, Balochistan, Pakistan.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Serikali isirudi nyuma: Mfumo wa kukata pointi kwenye leseni usisistishwe, migomo isitumike kuchezea maisha ya abiria barabarani

    Wana-Jamii Forums salamu, Kama mnavyofahamu, nchi imeshuhudia taharuki na usumbufu mkubwa kufuatia mgomo wa ghafla wa madereva wa mabasi ya mikoani na malori unaopinga utekelezaji wa mfumo mpya wa Jeshi la Polisi wa kukata pointi kwenye leseni za udereva kila wanapofanya makosa. Binafsi...
  2. Think2

    JamiiForums Tanzania Jiji limekuwa safi kabisa

    Kumbe hawa watu ndio wanatuchafulia mazingira leo nimepata muda wa kuzunguka hili jiji asee mazingira yamekuwa safi sana tulivu kabisa ukipita maeneo kama stendi masokoni hali ni shwari kabisa Wewe mdau hapo jijini kwako hali ikoje?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Eti Mama kasema weka jiji safi? Kwamba asingesema lingebaki chafu?

    Akili za aliyeweka ujumbe kwenye bango ni za kuvukia barabara, kwa hiyo mnatuambia tunatakiwa kuweka jiji safi kisa Mama yenu kasema ila vinginevyo hamkuwa na mpango wa usafi. Mbongambonga, mnaona mnavyotuwekea viongozi viazi kwenye ofisi za umma, hawana fikra wala mipango mpaka mama yao aseme...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wanakijiji wa Machemba - Tunduru wamwambia Ado Shaibu kuwa hawana huduma ya maji safi

    Wananchi wa Kijiji cha Machemba, Wilaya ya Tunduru wameiomba Serikali kuwapatia vyanzo salama vya maji baada ya kueleza kuwa wanategemea kisima ambacho, kwa mujibu wao, hakikidhi viwango vya usalama kwa matumizi ya kila siku. Ombi hilo limetolewa Seotemba 23, 2026 baada ya Mbunge wa Tunduru...
  5. Kado MtotoWaMzeeWaSiku

    JamiiForums Tanzania KERO Tabora tuna kufa kwa ukosefu wa maji safi na mamlaka zipo kimya tu

    Nina kero hii kutoka hapa Tabora Mjini. Tunakaribia mwezi mmoja na nusu sasa hatuna maji safi, na hakuna sauti yoyote kutoka kwa mamlaka husika. Hawana hata samahani wala taarifa yoyote kwamba kuna mgao wa maji. Athari kwa wakazi ni pamoja na: Kukosa maji kwa matumizi ya kawaida ya nyumbani...
  6. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kubomoa inauzwa Kawe, karibu na Maghorofa ya Samia — ipo Main Road, inatazama Old Bagamoyo

    NYUMBA ya KUBOMOA 🔥INAUZWA🔥 Ipo KAWE karibu na MAGHOROFA ya SAMIA hapo Inatazama OLD BAGAMOYO Ipo MAIN ROAD Umiliki L/MAKAZI ENEO. (SQM 732) Price Mill 700 maongezi 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  7. idiomer

    JamiiForums Tanzania Ili tuendelee tunahitajika 1. Watu 2. Ardhi 3.. Siasa safi 4. Uongozi safi

    Hapa tumebaki na nini? Ardhi ????
  8. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa ipo Ada estate- Kinondoni

    NYUMBA INAUZWA Eneo: Ada Estate, Kinondoni (Mbele ya mtaa, eneo tulivu) Ukubwa wa Kiwanja: SQM 2,950 Umiliki: Hati Safi (Title Deed) Bei: TZS Bilioni 6.5 (Sawa na USD Million 2.5) — Maongezi yapo kidogo
  9. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa ipo Ada Estate, Kinondoni. Bei ni Bilioni 6.5

    Ipo Ada Estate, Kinondoni, mbele ya mtaa, katika eneo tulivu Umiliki: hati safi Ukubwa wa kiwanja: sqm 2,950 Bei: TSh bilioni 6.5, sawa na USD milioni 2.5 Bei inazungumzika kidogo. 🇹🇿 Call/WhatsApp: +255 758 844 417
  10. J

    JamiiForums Tanzania Solid Ground family wanafanya show bila CD, na sauti Yao ipo safi kabisa

    Hawa jamaa nimependa wanavyopiga show kwenye miaka 30 ya Bongo flavor Hawana mbwembwe nyingi zisizo za maana, pia sauti Yao haijamezwa na beat, sauti Yao sio kavu, na wala hawafuatishi CD, Best performance show ya Dar na ya Mwanza, labda hawazungungumziwi sana sababu nyimbo zao sio popular...
  11. Pedeshee212

    JamiiForums Tanzania Mazingira Bora, maisha safi

    Kuhusu Sisi MACDEGAMO Company Limited ni kampuni ya kitaalamu inayotoa huduma za matengenezo ya majengo, usafi wa mazingira, mapambo ya nyumba, upandaji na utunzaji wa bustani (garden & landscaping), pamoja na house molding. Tunalenga kutoa huduma zenye ubora wa hali ya juu, kwa wakati na kwa...
  12. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Katoto ka 2000 kamenitunukia mnato safi.

    Hivi vitoto vinajuaje haya mambo? Vina ufundi kuliko dada zao, mkuyenge umeridhika kabisa leo. Njooni Tanga tafuteni wadigo awe wa kuanzia 2006 kuja juu. Utanishukuru. Aah kmmk walai. Maisha ni murua.
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Serikali inahamasisha matumizi ya nishati safi lakini gharama zake zipo juu sana

    Ninaomba kufikisha kero yangu kwa Waziri wa Nishati. Serikali inahamasisha wananchi kutumia nishati safi kama gesi na umeme ili kupunguza matumizi ya mkaa na kulinda mazingira, lakini gharama za nishati hizi bado ni kubwa kwa wananchi wengi. Gesi nayo imekuwa na bei ya juu, mtungi mdogo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Siasa Safi Na Fedha

    Habari Wana Jf,Nimetafakari Sana juu ya Maisha yetu wanadamu hapa Dunia! _Fedha inaweza kununua chakula sio hamu ya kula _Fedha inaweza kununua Dawa sio Afya! _Fedha inaweza kununua vitu vya Anasa sio Furaha! _Fedha inaweza kununua vifaa vya vita vya Kila aina sio Amani! Kusingiziana wanadamu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Je, mabomba ya maji safi yanayopita mitaroni hayahatarishi afya ya wananchi, hasa ikitokea yamepasuka mtaroni? Wataalamu watuelimishe

    Katika maeneo mbalimbali nchini, hususan kwenye miji mikubwa kama Dar es Salaam, Dodoma, Mwanza na mingineyo, ni jambo la kawaida kuona mabomba ya kusambaza maji safi yakipita ndani au pembeni mwa mitaro ya kupitisha maji machafu. Hali hii imekuwa ikinifanya niwe na maswali mengi ambayo naamini...
  16. Akotia

    JamiiForums Tanzania Jipatie fresh na safi kahawa 250grams kwa 10,000Tsh. Brewa coffee

    Wadau Brewa coffee ni wakaangaji kahawa(coffee roaster) tuliopo Dar es salaam. Tunauza coffee beans na kahawa iliyosagwa. Kahawa ya Tanzania ni nzuri na ina harufu nzuri sana. Unachagua style unayopenda kama ni light roast,medium roast or dark roast. Ukitaka isagwe kabisa au kama una grinder...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mtwara: MTUWASA wanahujumu Maisha na Afya za watu wa Shangani

    Mamlaka ya maji safi na taka Mtwara mjini imeshindwa kutoa maji kwa wakazi wa shangani east, sijui na maeneo mengine kwa muda wa takriban miezi miwili. Afya za watu hawa zipo hatarini kwani hakuna vyanzo vingine vya maji wanaweza kupata watu hawa. Jitahidini kuja na majibu ya changamoto hii...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Aisee mimi nafikiri africa sio mazingira safi kwa mtu alie introvert. Utaanza kusemwa wewe ni usalama😁

    _Ooh anajifanya, _anatumia madawa yanayo mpa ganzi muda wote, _huyu ni spy huyu, _anajikuta wa maana hataki kuongea na watu,
  19. D

    JamiiForums Tanzania Safi sana Rais Samia, endelea kuwachezesha haters wako kalinyambariga hivyo hivyo

    Tena style hiyo ya kizenji ndo inapendeza zaidi, si unaona vidume vinavyopandisha mzuka na kufinga vibwebwe kabisa viunoni wakicheza?
  20. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania SAFI SANA, Trump amejishusha na kukubali kusitisha mashambulizi Iran

    Niaje waungwana Kwa mara ya kwanza tangu dunia iumbwe, Iran ndio nchi ya kwanza imeifanya Marekani na Trump watubu na kujutia walichokifanya. Kwanza Iran ndio nchi ya kwanza kuingia vitani na Marekani huku ikiwa imeungana na Israel Pili Iran ndio nchi ya kwanza kushambulia nchi 10 kwa wakati...
Back
Top Bottom