mchumba

"Bwatue" is a song by Phil Ochs, a U.S. singer-songwriter best known for the protest songs he wrote in the 1960s. He co-wrote the song with two African musicians named Dijiba and Bukasa. "Bwatue" was written and recorded in 1973."Bwatue" was written while Ochs was visiting Kenya. Its lyrics are in Lingala. The title means "canoe"; the lyrics develop the river as a metaphor for life. "Bwatue" was released as a single in Africa by A&M Records. The B-side of the single, "Niko Mchumba Ngombe", also by Ochs, Dijiba, and Bukasa, was written in Swahili. Both songs were recorded by Ochs with the Pan-African Ngembo Rumba Band. The record was a commercial failure."Bwatue" and "Niko Mchumba Ngombe" have been described as early examples of blending Western popular music with world music, and critics note that they predate Paul Simon's Graceland by more than ten years. Still, one critic says the record "should be seen more as a curiosity rather than a serious attempt at exploring a new style". One of Ochs' biographers cynically suggests that Ochs recorded the songs in order to deduct the cost of his trip to Africa from his income tax as a business expense.In the early 1990s, the single was reissued in a limited edition of 1000 by Sparkle Records, ostensibly on behalf of the Phil Ochs Fan Club of Canada. The reissue was unauthorized and is considered a bootleg.The only known review of the single was positive. Reviewing the bootleg release in Dirty Linen, Cliff Furnald wrote that "the band gives a superb look at the Zaire/Kenyan dance style at the time before mass marketing started the diluting downward trend".Because of the single's limited release, "Bwatue" and "Niko Mchumba Ngombe" were extremely rare. Most Ochs fans never heard the songs before they were included in 1997's American Troubadour. "Niko Mchumba Ngombe" was also included in the 2004 collection Cross My Heart: An Introduction to Phil Ochs.

View More On Wikipedia.org
 1. Martine Nzwanilo

  Ushauri: Nahitaji kuoa ila mchumba wangu ni muumini wa dini tofauti

  Nimepata mchumba na nimekuwa nae kwenye mahusiano ya uchumba mwaka sasa, nahitaji kumpeleka nyumbani ila kikwazo inakua dini zetu tofauti. Nifanyeje ili hali tunapendana sana ila dini inakua kikwazo? Ushauri Wana JF
 2. S

  Natafuta mchumba awe anaishi Dar

  Mimi ni mwanaume natafuta mchumba awe anaishi dar Umri 20-35. Umri wangu 32. Asiwe slay queen. Ajue thamani ya mwanaume Mwanamke serious anifate inbox aache kuchat chat hapa.
 3. S

  Natafuta mwanamke awe mchumba wangu

  Habari za saa hizi. Mimi ni kijana naishi dar. Umri 32. Natafuta mwanamke kwa nia ya uchumba tukienda sawa awe mke. Awe anaishi dar Umri 20-36 usizidi zaidi ya hapa. Aelewe thamani ya mwanaume . Asiwe mtu wa vizinga. Mengine PM.
 4. Mungu Akulinde Kipenzi

  Tumeshaonywa Tena na Tena: Mpenzi au Mchumba Hasomeshwi!

  Daraja la Mabatini Mwanza. Jamaa kajirusha. Inasemekana jamaa alikuwa akimsomesha mchumba wake Mwanza. Sasa aliamua kuja kumtembelea akakuta hakuna cha chuo bali kakuta kumbe binti keshaolewa na ameshazaa ana mtoto. Jamaa hakuwa na kifua akaishia kuamua hivyo alivyoamua. Ukiamua kusomesha (au...
 5. E

  Natafuta mchumba

  A/alleikum Naitwa Bakari Hamisi mkazi wa Dar es salaam. Umri 32 miaka. Kazi: Muajiliwa (Electrical engineer) Natafuta mchumba ambae atakuja kuwa mke kama tukiridhiana Sifa Uwe Muslim Elimu yoyote Mkazi wa Dar es salaam au jirani Umri 20-29 Napatkana telegram 0759565300 or normal.
 6. Tlaatlaah

  Hivi ni kweli huyo mchumba, mume au mke ulonaye sasa hivi mlikutana humu JF?

  Maana feedback za wanaotafuta mchumba, mke au mume ni chache na nadra mno ukilinganisha na request za waungwana wengi sana kutafuta wenza humu ndani. Mathalani utakuta mtu kapost mke anatafutwa haraka sana, mara mume alie serious anahitajika au natafuta mchumba au fulani kwa kutajwa jina kabisa...
 7. R

  Je, ni sawa kuchangisha michango ya harusi kabla ya Kupata mchumba?

  Salaam,Shalom!! Ndugu mmoja akapita Kwa jamaa zake katika eneo alilokuwa akifanyia biashara, akawashirikisha kuwa amepata mchumba na ataoa hivi karibuni, hivyo anaomba michango Kutoka Kwa wadau. Jambo Hilo likawa kheri masikioni mwa Rafiki zake. Ndugu huyo, akachangisha michango pesa nyingi...
 8. bigmen

  Niko serious natafuta mchumba

  Habari JF, Mara nyingi humu ndani mtu akiandika kitu anaonekana hayuko serious, Juzi nimeweka Uzi apa nimesema kuwa nahitaji mchumba lkn watu wakatania tania tuu sikupata hata mumoja, Kuna mumoja nikajaribu kumfata Pm nikamwomba tuwe marafiki tuu lkn hatujafika popote anadai kuwa yeye ni...
 9. N

  Mkaka atupiwa vinguo vyake nje na aliekuwa mchumba wake

  Kaka zangu mkiwa mnalelewa kuweni wapole. Ukileta ujuaji yatakukuta kama ya huyu kaka kwenye video. Unalelewa halafu bado unacheat?
 10. S

  Ndoa inafungwa Disemba 2024 na yeyote atakayekubali kuwa mchumba wangu sasa

  Uwanja ukowazi. Karibuni wadada na wamama mliyotayari. Leteni wasifu wenu kwa kuni PM mmoja wenu atachaguliwa. Sifa zangu: Umri : 50 Elimu: shahada 1 &2 Kazi: Mfanya biashara Dini: Mkristo. Makazi: Dar. Sifa za mchumba. Umri: 30 +. Elimu: kuanzia sekondari. Kazi: aliyejiajiri au aliyeajiriwa...
 11. bigmen

  Natafuta mchumba

  Natafuta mchumba ambae, anaye elewa maisha mvumilivu kwa kila Hali, mwenye hofu ya Mungu, mchapakazi ili tukiwa pamoja tujenge si sio kuvurugana. Umri wake 25-29 Nipo Kilimanjaro Moshi mjini, Nichek pm tuongee vizuri
 12. Mjanja M1

  Ushauri: Wazazi wanataka kumtafutia mchumba

  Naombeni ushauri mama yangu kanipigia simu ana sema mwaka huu nikienda Kigoma bila binti wa wawatu nitakuta ameniandalia binti huko wakuja nae mjini. Swali: hivi ukichaguliwa mwanamke na wazazi kwa karne hii hua kuna vibe na kudumu kweli!? Kwa alie na experience 🙏🏿
 13. Moto wa volcano

  Kama unahisi Mchumba wako (Demu) anataka kukuomba hela na wewe huna, tengeneza ugomvi

  kama huna hela ya kumpa wife wako / demu wako siku kama za sikukuu au siku yeyote au ukiona nywele zake zinakaribia kufumuka na wewe machale yanakushika unaenda kuombwa hela , halafu mfukoni hakueleweki ushauri wangu kwako wa kijasusi tengeneza ugomvi alafu jifanye umenuna ili sikuzipite 😀😀😀
 14. Nyamesocho

  Je, kwa kisa hiki kijana alipaswa kumwambia mchumba wake kabla ya kumuoa kuwa ana mahusiano mengine?

  Hiki ni kisa cha kweli kimetokea mtaa jirani, je mwanaume alikuwa sahihi kutoa talaka? Iko hivi baada ya kijana kuhangaika kutafuta maisha kijijini aliamua kuzama mjini kusayasaka maisha hata hivyo haikuwa rahisi ikabidi azame kwa Jimama mwenye pesa. Aliishi na huyu Jimama zaidi ya miaka 10...
 15. Tlaatlaah

  Mchumba hasomeshwi, usishupaze shingo we dada na kaka yangu

  jitahidi sana kujizuia kumsomesha mchumba wako. Zingatia apo kwenye uchumba. Nachelea kusisitiza kukushauri kijana wa kike na wakiume, usithubutu kufanya hiyo kitu. Madhara yake ni mzigo mzito sana kubebeka mambo yanapogeuka, japo kwa asilimia chini ya 1 inawezekana 🐒 kwa mchumba, invest only...
 16. Genius Man

  Natafuta mke au mchumba

  Tafadhali naomba nijielezee kwanza: Jina langu naitwa mosses, dini yangu mkristo, mwili wangu wa kawaida wa kimazoezi na nina six pack, urefu wangu kawaida, rangi yangu maji ya kunde, uvaaji wangu smart, sivuti sigara wala sinywi pombe, sina mtoto wala sijawai kuowa, ninaishi dar es salaam...
 17. U

  Natafuta Mchumba

  Habari Za Leo Ndugu Zangu. Mimi ni Mwanaume Natafuta MCHUMBA Ambaye baadaye Tunaweza Kuwa Mume na Mke. SIFA ZANGU. 1. Elimu Chuo 2. Umri Miaka 28 3. Nimeajiriwa SIFA ZA MCHUMBA 1. Awe Anajitambua 2. Mkristo 3.Umri Asizidi Miaka 35 4. Elimu Yoyote Aliyonayo. #MUNGU AWABARIKI.
 18. Tamu3

  Nilisomesha mchumba

  Mezaliwa kijijini, kukulia huko pia, Mazao yetu shambani, mengi tulijivunia, Tukayajaza ghalani, akiba kijiwekea, Tukawa wenye furaha, usiku tumevimbiwa. Nilimaliza la saba, nikarudi kijijini, Nikafaulu si haba, wa taifa mtihani, Nikamuambia baba, nae akafurahini, Usiku sikuulala, naiona...
 19. S

  Natafuta rafiki na mchumba Kisha mke

  Natafuta dada au mama mtumzima chini ya miaka 35. Aliejiajiri au kuajiriwa. Mwenye Elimu yoyote kuanzia la saba. Awe na mtoto au asiwe naye. Awe serious na maisha. Mimi na miaka 40. Ni mkristo na nimjasiriamali. Napenda sana maendeleo. Karibu . P M.
 20. P

  Nafanya nin kupata mchumba ninayemhitaji??

  Maana kila nikitongoza Wadada anasema yupo kwa mahusiano. Sio poa Inaniumiza kichwa sana kupata ninayemhitaji. Chaajabu kuna wadada wanaonekana kunikubali asilimia zote hata sjawatongoza, chaajabu siwaelewi wala nin. Ninaowaelewa wanawatu wao. Nifanyej??
Back
Top Bottom