Maajabu ya Walimu: Wachangishana kumchukulia Rais Samia form LAKINI wameshindwa kuwachangia Viti Walimu wenzako, Wanakaa Chini

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,521
86,076
Walimu hawajui kipaumbele vyao, full kujipendekeza! Hii Kada sometimes wanajidhalilisha Sana aidha kwa kujua au kwa kutokujua. Inawezakana vipi mchangishane kumchukulia Form Mgombea ambaye hata muda WA uchaguzi haujafika na mkashindwa kuchangishana mkawanunulia Viti Walimu wenzenu?

Baadhi ya Walimu mna laana wallah hio sio kawaida kabisa.

20240126_205845.jpg
20240126_205851.jpg
 
Walimu hawajui kipaumbele vyao, full kujipendekeza! Hii Kada sometimes wanajidhalilisha Sana aidha kwa kujua au kwa kutokujua. Inawezakana vipi mchangishane kumchukulia Form Mgombea ambaye hata muda WA uchaguzi haujafika na mkashindwa kuchangishana mkawanunulia Viti Walimu wenzenu?

Baadhi ya Walimu mna laana wallah hio sio kawaida kabisa.

View attachment 2883857View attachment 2883858
Namuona msonde shingo ndefu kama kuku maji
 
Walimu ni nguzo kuu tegemewa kwa ajili ya kuweka materials vichwani mwa watoto lakini kuna wakati huwa wanafanya mambo ya ajabu sana hadi unajiuliza kada yao wanaichukuliaje?

Nadhani si wote wanao-support mambo kama haya bali ni viongozi wao kuwa so excited ili kuonekana mwisho nao wao wasogezwe nafasi za juu sababu ualimu wameuchoka wanaufanya kama daraja tu
 
Walimu hawajui kipaumbele vyao, full kujipendekeza! Hii Kada sometimes wanajidhalilisha Sana aidha kwa kujua au kwa kutokujua. Inawezakana vipi mchangishane kumchukulia Form Mgombea ambaye hata muda WA uchaguzi haujafika na mkashindwa kuchangishana mkawanunulia Viti Walimu wenzenu?

Baadhi ya Walimu mna laana wallah hio sio kawaida kabisa.

View attachment 2883857View attachment 2883858
kupanga ni kuchagua🐒

ni muhimu kuzingatia na kuheshimu vipaumbele vya wenyewe 🐒
 
Niupumbafu mkubwa kuwalaumu walimu na niujinga mkuu kama mtu anadhani walimu wanaridhishwa na cwt...

CWT yaani Chama Cha Wasaliti kilitekwa vibaya zaidi na sirikali ya mwendazake ili kuwanyonya na kuwavuruga maticha wasiweze kuwa na umoja, wasigome ama kudai hakizao istoshe kimekuwa kikikusanya mapesa kwa maticha kibabe kuzila nakuikopesha sirikali kinyemela ndomana fyongozi wao wanakiburi hata chakumgomea prezdaa kwenye uteuzi!

Chama Kinachezea pesa za maticha na hutaskia hata sikumoja CAG akiagizwa akague hesabu zao maana nimpango Haramu unaolindwa na wa-twawala.

Chama kinafyongozi jeuri na nyonyaji waovu wanaolindwa na Sheria chafu zilizowekwa na ma Mp wanyonyaji wanaoweka mbele vyeo na maslahi yao dhidi ya maendeleo endelevu ya taifa.
SHAME ON YOU CWT
 
Shule nyingi hasa hizi za Kata hakuna samani kwaajili ya walimu wengi wamegeuza darasa kuwa ofisi. Ikifika wakati wa mitihani au januari huwa inatakiwa viti viende kwa wanafunzi na pengine hata darasa walilofanya kuwa ni ofisi nalo linachukuliwa.
Walimu wamezoea haya na wala sio kero kwao kwani ni wavumilivu mno. Ipo shule hata Choo tu cha walimu hakieleweki ila wanafunzi vyoo vyao vipo mukide kabisa.
 
Back
Top Bottom