Katiba hii inatoa nafasi kubwa sana za nafasi za utendaji muhimu sana kwa maisha ya wananchi na maendeleo ya nchi kwa kuteua teua tu.
Ukweli ni kwamba hii inawafanya watu wazembe wawekeza sana kwenye kujipendekeza kusifia na kupiga majungu kwa sababu wana uhakika mteuaji ana nafasi kubwa ya...
Huu ni ukweli usio pingika kuwa wazazi wengi hawapati Muda wa kuwafundisha vijana wao swala la imani, kwamba elimu ya shule, na Nyumba ya ibada ndio sehemu pekee tumejifunza tunayo yajua.
Na kibaya zaidi dini zote tulizonazo wabongo zinafundisha hasa, usifanye hichi ni dhambi fanya bidii kwenye...
Kipindi Nchimbi anazungumzia suala la wananchi kupambania katiba mpya wadau wengi humu walidai ni tamthilia chama tawala kinafanya na EN ni muigizaji tu...
Wakasema wakitaka waamini kama kweli ana maanisha asemacho ajiuzulu...
Kama vile EN aliwasikia, kajiuzulu, wadau wamerudi tena povu...
Harakati zangu za kilimo juzi kati zilinifikisha Kijiji cha Berega wilaya ya kilosa mkoani morogoro..
Oya wajuba !, huko Kuna kabila la wakaguru Hawa watu ni wanafiki wa kiwango cha lami afu ignorance level Yao ni kiwango cha mchanga.
Niliwahi kifikiri wasukuma ni wabaguzi mpaka nilipokutana na...
Sisi wazalendo wa kweli tulimkubali John Joseph Pombe Magufuli mapema sana na tulimtetea kadri inavyowezekana dhidi ya kundi la wahuni.Yoyote anayejidai kumpenda Magufuli sasa ni mnafiki ,muongo,dhalimu na adui mkubwa wa Magufuli.
RiP J.P.M
Asubuhi na mapema jitu zima lina ndevu na mavuzi linadamka kwenye ofisi ya bosi kuanza kupeleka umbea na unafiki.
Jitu linakuwa kama linaajike linaloimba taarabu.
Wanaume watumishi msiokunywa Pombe mna matatizo.
Inaonekana kuwa mbaya ni kigezo kimojawapo cha kupata mafanikio. Kama una mbinu yoyote inayoweza saidia mtu kuwa mbaya, mbinafsi na mnafiki, mbinu zitakazo mfaidisha na kumuepusha na madhara ya ubaya wake fanya utujuze. Huu ni ujuzi muhimu sana.
Mwanaharakati Maria Sarungi Tsehai amewalipua Watanzania kwa kile alichokiita ni kushindwa kumtetea Tundu Lissu, kiongozi ambaye amejitoa mhanga kwa miongo kadhaa kusema ukweli bila woga. Maria Sarungi amesisitiza kuwa Tundu Lissu ana rekodi ya kipekee ya utendaji isiyoyumba, na ndiyo sababu...
Najua waarabu-koko mtanipinga na wote mnaowaramba miguu magaidi!!!
Jana Misri imelaani vikali kupitishwa kwa sheria ya adhabu ya kifo kwa magaidi katika Bunge la Kitaifa Knesset (Bunge la Israeli).
Ni Muhimu kutambua kwamba nchini Misri, adhabu ya kifo imewekwa katika vitabu vya sheria...
Zanzibar sio nchi ni sehemu ya nchi ya Jamhuri
Moja ya jambo la hatari Kwa taifa ni kuruhusu masharti ya kidini kuingizwa na KUSIMAMIA Kwa watu wote wa Jamhuri ya TANZANIA
Nakemea vikali unafiki wa viongozi Jamhuri ya muungano wa Tanzania kufumbia macho masharti ya kidini kutekelezwa Kwa watu...
Nitaisifia ICC pale itakapoendesha kesi ya Wakoloni enzi za utumwa, endapo Watumwa wa Afrika hawatapata haki yao basi itakuwa ni Mahakama ya kinafiki
Ni nani asiyejua kuwa bara la Ulaya ndilo lililoitesa sana Afrika enzi za Ukoloni
Waafrika waliuzwa kama njugu
Fedha walizouzwa Waafrika...
Nimefuatilia kwa makini haya madhehebu ya dini nimebaini kumbe roman Catholic ndio haswaa wanao uishi ukristo kwa vitendo hawa sio wanafiki wanasimama na kweli daima nadhan hawa ni wakuwafuata pasi na shaka, hawa wamesimama na wananchi kabisa na huo ndio ukristo safi
Nimewadharau sana KKKT...
Hapo ndipo utajua watoto wa nje wa baba na wale wanaosadikika kuwa ni wake kwa maana baba alipita na mke wa mtu,
Utawajua wadeni wake kila mara wanakuwa karibu na mke wake au kaka zake marehemu,
michepuko yake inakuwa around kama wataweza kugawiwa chochote.
Kuna wale speculators: wanaomchukia...
Hivi karibuni mashabiki wa ile timu ya Manzoki na Mzee Rage walikua wanapigania haki ya Mzize aende nje akajitafutie maisha kwamba timu yake ina roho mbaya ajabu ni kwamba timu yao imemsajiri Salim Mwalimu kutoka Wydad aje huku alipo Mzize, hii ina maana Mwalimu hana future au mapenzi yao kwa...
Baada ya hapo jana Askofu Gwajima kutoa ushauri na maoni juu ya mambo mbali mbali yanayoendelea nchini, wameibuka wanafiki machawa na wasema ovyo humu Jf kutaka kuushawishi umma kuwa katika hoja za Gwajima kuna ukabila na udini.
Jambo hili ni hatari na baya mno kwa amani, umoja na Mshikamano...
Watu hao ambao baadhi yao wanajinasibisha kuwa wanachama wa CCM ni wanafiki na wazandiki wakubwa, vinywa vyao vinatema sumu kwa lengo la kuwavuruga wananchama na wapenzi wa CCM.
Sisi raia ambao tunaamini kuwa UHAI wa taifa letu upo mikononi mwa Chama cha CCM hatuna shaka wala wasiwasi kuwa CCM...
Nawaza kama pole pole akiacha kuongea kwa zaidi ya miaka kumi akiwa kwenye mashimo yake aliyojificha, wahuni wenzake watazusha katekwa. Kumbe kakaa kimya tu.
Ni sawa na panya, anaishi kwenye mashimo, mvua ikinyesha maji yakajaa kwenye mashimo, ndio kwisha habari yake
Manji alipotaka kuikodisha Yanga kwa miaka 10 mlimgeuka Mzee wa watu mchana kweupe",
Simba nao wameanza kuonesha dalili za kumkana Hadharani Mo kisa kaawambia Mmetumia Billion 87 zake😂😂😂
acheni Unafiki Kama hamuwataki muwe mnawakataa mapema
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.