Naomba nianze na mimi
Mimi alinipa simu yake nimuungie bando la Airtel
Nikaona text imepop up kwa juu imeandikwa "Happy Anniversary baby, Cant wait to see you tonight"
Nikameza mate nikanyamaza, sikumwambia chochote. Wiki inayofuata nikamtoa out, nikamwambia nilichokiona kwenye simu yake...
Ndo nimetoka kumtuma boda ampelekee shangazi yenu vizawadi vidogo muda huu kuadhimisha siku hii
Wadada wa humu mshapokea zawadi? 👀
Au ndo kila kitu kheri? Natamani nione mchango wa Binti wa zamani hapa 😁
Kuna binti kakutana na Surprise ambayo naamini hawezi kusahau kamwe, alikuwa na mpenzi wake ambaye walikuwa na miaka 4 anakwenda mpaka kwa kwao na jamaa akiamini kwa hatua waliyofikia yeye ni mke bado kuthibitishwa tu.
Kama kawaida siku moja alikwenda kwa mpenzi wake akalala mpaka asubuhi...
Habari
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka...
Nimeamka hapa asubuhi nimekutana na huo ujumbe kutoka kwa manzi flani huwa najipigia tu.
Sasa hapo natakiwa kumjibu nini wakuu?
Ugonile,
sijajua ni kwangu tu au namna gani vipi. wanawake naokutana nao sikuiz wananuka midomo ni balaa, yani kila napojiambia hii Pisi ni kali na imenyooka sana siwez kuiacha iviivi nakutana na madudu.
Unaopoa bonge la Pisi unasema yes huyu leo naua kunako 5×6, mkifika ukijaribu romance...
Moja ya kitu wanapenda kufanya wanawake wengi ni kuvaa nguo za wenza zao, moja ya nguo huvaliwa zaidi ni Tisheti, japo wapo wanaokwenda mbali zaidi na kuvaa boksa, vesti, soksi, suruali nk ili mradi tu ajisikie raha kuwa amevaa ngo ya mtu anayempenda.
Japo wapo baadhi ya Wanaume hawapendi nguo...
Hodi wana jamvi,
Katika pirika za maisha japokua tunapambana kutafuta maokoto
Kunamda tunahitaji faraja angalau kutibu stress.ndipo pale tunakua na binadamu eva(mwanamke) ili kuweka msawazo wa uumbaji
Unakutana na binadamu ifikapo mida ya saa 3 usiku simu iko Bize,mbaya zaidi yupo kwao hana...
Mhadhiri Msaidizi wa chuo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (COICT), Merina Lumbalo, anasema kisheria nywila ni ya mtu mmoja na haishauriwi kushirikishwa, hata kwa mtu wa karibu. Ameeleza kuwa simu au kompyuta inaweza kuwa na taarifa binafsi au za kazi, hivyo kutoa nywila kunaweza...
Hivi unafanyaje ukigundua mpenzi wako amelogwa? Kuna namna kumuondoa huko?
Unakuta amekuwa kama chizi hajielewi ila alikuwa smart tu. Aliefanya hayo unamjua na ulipewa taarifa na uthibitisho.
Wakuu kwema??,.
Hivi wanaume wenye hii tabia huwa na shida gani? au ni ulimbukeni? Au nini jamani?
Yaani utakuta MTU wametoka nyumban let say anamsindikiza mke wake stand,. Wakishafika wameshuka kabisaa ndio anatoa wallet anampa hela za kutumia sijui za nini na nini.... Hamuonagi aibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.