tiss

  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania TISS wakiachana na siasa za kuibeba CCM taifa letu litapata maendeleo makubwa ya kisiasa na kiuchumi

    Habari ya taifa letu kuwa na mikataba mibovu kama ya Dp world itatoweka. Wizi wa kura na chaguzi huru zitafanyika. Viongiozi makini na watawala wenye akili watapatikana. Dhuluma ,utekaji na mauaji yasiyo na maana vitatoweka. Taifa letu litakuwa huru.
  2. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wastaafu TISS, JWTZ, POLISI na vyombo vikuu vya Ulinzi na Usalama-hali hii inawatia ya nchi aibu kubwa!

    Sijui wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama waliostaafu wanajisikiaje sasa hivi kwa hali ya nchi , siasa zake na usalama wa nchi kwa ujumla. Hali haitii moyo kabisa. Viongozi wa sasa ni maslahi binafsi kwanza, nchi baadaye. Kula kwa urefu wa kamba. Vyombo nilivyovitaja vilikuwa na viongozi wake...
  3. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli wastaafu wa Tiss wamerudishwa kazini?

    Kama ni kweli,kwa nini mstaafu arudishwe kazini,je ni fear of unknown,vipi hatma ya graduate zaidi ya milioni moja wanaomaliza chuo kila mwaka?
  4. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Vigogo wamewahi kukataa TISS kuwa taasisi huru inayoshughulikia usalama wa taifa Pekee?

    TUKUMBUSHANE KIDOGO: Kwa wasiojua HISTORIA, DGIS, wakati wa Mkapa, Mzee Apson(RIP) alipotaka sheria ibadilishwe ili TISS iwe ni taasisi HURU nje ya SIASA, inayoshughulika na USALAMA wa TAIFA(100%), Vigogo wa CCM wakiongozwa na Dr Gama(former DGIS na baadae SG-CCM) waligoma! Why? Bila TISS...
  5. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Nimepewa Passport na Mkuu Tiss !

    Mkuu wa Tiss katoa agizo kwa Mkuu wa Uhamiji Prof Ngongo apatiwe Passport mara moja. Hizi habari za kwenda office za uhamiaji kuomba Passport zimepitwa na wakati. Sisi wakubwa tuna utaratibu wetu. Najaribu kufikiria kama angekuwa mtu fulani angeitwa majina yote. Ngongo kwasasa Tandamti.
  6. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Kabla JK hajajitokeza kwenye shughuli yoyote lazima zitangulie kwanza taarifa za ugonjwa au msiba fake

    Hii si mara ya kwanza, Kabla JK hajajitokeza kwenye shughuli yoyote lazima zitangulie kwanza taarifa za ugonjwa au msiba fake. Wito kwa wanaharati akina Hilda, Maria na wengine: Wawe makini na taarifa kama hizi, kwani huenda wanafanya maksudi ili kuwabaini wavujisha taarifa wenzao. Mfano...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Saed Kubenea ni afisa wa Tiss? Habari zake huwa ni kweli 100% zaidi ya Britannica

    Siku za nyuma aliwahi kuweka wazi juu jina, namba za simu na mahala anapoishi afisa wa Tiss aliyewahi kuhusika na kumteka Dk Ulimboka. Juzi kati alidokeza juu ya Dk Nchimbi kulazimishwa kustaafu akagoma. Kilichofuata ni Nchimbi kushikiwa bastola na kustaafu akiwa mafichoni.
  8. M O N S T E R

    JamiiForums Tanzania Wametoa TISS wameweka TISS, je nako hakuko shwari?

    Wametoa TISS wameweka TISS, nanyi mna makundi?
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania TISS siku ikishafikia steji hii muwezi kuzuia huyu mnaye mshikilia ?.

    Kashaona anataka wafuwasi.Alicho fanya umri wake na mafundisho na mambo yake anahisi kufanya hivi kutampa kufika 2030. Kuna mambo yatageuka kesho mje kusema tuliona wakati mlikuwepo. Hivi kwa nini afrika nchi nyingi mnasubiri mpaka moto ushamaliza kila kitu ndio mnaona kunaitaji kuzima moto.
  10. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Dr Nchimbi hasingekuwa TISS ilifaa atumbuliwe, Sasa kwa Sasa ukimtumbua TISS Wana wewe, Shooo, utajuta kuzaliwa watampa nchi hii.

    NAKWAMBIA hivi Dr Emanuel Nchimbi hasingekuwa TISS kwa KAULI yake dhidi ya katiba mpya kufaitiwa na kuwataka watu waitafte ili Hali wanao itafuta wanapewa kesi za ugaidi angekuwa katumbuliwa tayari. Ulinzi wake ni idara na usinior wake, magufuli hakumtaka huyu mtu hata yeye hamkutaka magufuli...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wewe kama ni TISS fikiria yafuatayo kisha uone aibu na ujipime kama uzalendo wako unatosha

    1. Watu wanatekwa wewe upo upo tu. 2. Fedha za nchi yetu zinaibiwa wewe upo upo tu. 3. Watu wanachochea udini na kuanzisha magenge ya kihalifu wewe upo upo tu. 4. Mahakama inadharaulika wewe upo upo tu. Cc: Aione DGIS ili aone aibu zaidi. Soma pia PreGE2025 - Ushauri kwa Mkurugenzi Mkuu wa...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania TISS muwe mnatafutilia bullying history tokea walivyo zaliwa mpaka walipo sio kuwaweka na kuwa simamia tu kisa ni viongozi

    Bullying ni yale maisha ambayo leo ukienda hospital utapata aina nyingi ya wanadamu wameweza kukumbana kwa kila aina kulingana na sehemu wamekutana na mifumo, mazingira,afya,jamii na kila aina. Hapa tunaeleza kuhusu watu wanaoweza kushika vyeo ambavyo kisaikolojia vikarudisha yale yale...
  13. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, Unavidhalilisha Vyombo vya Usalama,, inamana Vyombo vinashindwa Kuwakamata hao walopanga kupiga Risasi waandamanaji?

    Mwigulu hivi kweli wewe usomi wako ulitokana na Akili KICHWAN? Au baada ya kua Mwanaccm, ukafahaamika, Wakufunzi wako wakaamua kua wanakufaulisha na kukuuzia Ufaulu?. Matendo na Kauli zako mbona unazidiwa na Musukuma wa Darasa la Saba??. Au wee Jamaa una roho mbaya tu inayotokana na Hofu yako...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania JF tunaomba kuuliza swali hivi TISS hipo kweli ?.Tusije kuwa na jina tu.

    Nimefanya kazi ila sio jambo la kuweka wazi. Maana kuna mambo yanaweza na yaliweza kufanyika mpaka ugaidi wa kulipua ubalozi wa USA ni wazi TISS ilishakifuga pale. Kenya walijiongeza na wakajisahau ila tokea lile tukio la mwisho wakajua hii idara sio siasa. Mpenda nchi anaweza kusema ukweli...
  15. technically

    JamiiForums Tanzania Baada ya misheni ya bifu Kati ya Samia na NCHIMBI kubuma Sasa TISS wamekuja na misheni ya Muungano

    Je watafanikiwa ? Baada ya kushindwa kupitia Samia na NCHIMBI kuwaadaa watanzania Sasa wametengeneza misheni nyingine eti mgogoro wa Tanganyika na Zanzibar. Hivi Kuna mzanzibar mwenye ubavu wa kuvunja Muungano? Wakati Muungano ukivunjika 40% ya wazanzibar watarudi kwao na Wana baadhi ya...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tukisema polisi na Tiss nyie ndio mnasimamia CCM sasa mnaweza kubisha .Maana kesi zenu mlalamikaji ni nani ?.

    Kwa sasa ukiwa mpinzani unaweza shangaa umefunguliwa kesi kuwa wewe ni bra bra bra. Sasa aliyefungua kesi hiyo ni nani?. Ina maana sasa chama cha CCM kimejivisha kazi yenu kiujumla.
  17. E

    JamiiForums Tanzania Prof Mohammed Hassen: Ethiopia anasema waarab(UAE) Wana project ya mda mrefu ya kumiliki bandari zote za Afrika ikiwemo ya Dar. TISS hawajui!?

    Nimesikiliza hii video hadi nikatamani kulia, humu ndani ameeleza pia project Yao ya kutaka kumiliki dhahabu za maeneo yetu kama ufaransa anavyo fanya kwa yaliyo kuwa makoloni yake.
  18. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Yaliyomo kwenye muswada wa Marekani kuipa vikwazo Tanzania. Polisi, TISS na Wachina wametajwa

    Kuhusu Demokrasia, Uchaguzi na kinachoendelea Tanzania, Muswada huu ambao umetengenezwa na Seneta Ted Cruz na Shaheen unasema yafuatayo: (1) Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo uchumi wake unakua kinoma Afrika, kukiwa na ukuaji thabiti wa kiuchumi katika kipindi cha miaka kumi iliyopita...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Hii Ndiyo Picha Ya Siku Ya Rais Samia Katikati ya Ulinzi Mkali wa Kijeshi Na TISS Iliyoteka Hisia Za Watu Duniani Kwote.

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Tanzania Tupo level za juu sana, tupo mbali sana ,tunacheza katika anga letu linapokuja suala la mikakati na mipango. Sisi ni Taifa kubwa ,sisi ni Taifa La Mungu ,Sisi Ni Taifa Barikiwa,Sisi Ni Mpango wa Mungu. Napata raha sana ,napata furaha sana ,nakoshwa...
  20. Q

    JamiiForums Tanzania Wanaodaiwa kuwa Watanzania wakamatwa nchini Kenya wakijaribu kumteka Mwanaharakati Mshabaha Hamza

    Law Society of Kenya na Amnesty International Kenya wametoa taarifa kuhusu kuokolewa kwa mwanaharakati wa Tanzania, Mshabaha Mshabaha Hamza, aliyedaiwa kutekwa nchini Kenya. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Hamza aliokolewa Februari 22, 2026 baada ya polisi kuingilia kati. Watu watatu walikamatwa...
Back
Top Bottom