kasoro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Huu mtiririko una kasoro mahali

    Shehe Mwaipopo mmiliki wa makundi ya kigaidi Kashfa ya shehe wa Dar na utenguzi Mtangane wa Ostaz Juma na Kishk Tamasha la bongo fleva Vituko dhalili vya kukata miuno vya Mwandambo Speech ya Nchimbi Hayatokei kwa bahati mbaya haya.. Kuna mkandarasi nyuma yake.. Na anajulikana
  2. mager6

    JamiiForums Tanzania Nishauri tu ndgu zangu developer wa hii jamii forum, ipo kasoro somewhere

    Kazi ni kipimo cha utu. Assalam Alaika. Ndugu zangu watumiaji na wahandisi wa jukwaa pendwa JF. Nitumie Fursa hii kushauri jambo kwa wajenzi wa jukwaa, kuna baadhi ya MAENEO ya jukwaa unajiuliza nikiingia kusoma naanzaanzaje, twende kwa mifano 2026 FIFA World Cup - Special Thread Ukiingia humu...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Usalama wa Tanzania una kasoro na unatakiwa kugawanywa na kuboreshwa kwa sasa ni kama umekwama kabisa.

    Tuseme ukweli hii idara kama hakuna kitu imebaki kama ilivyounda tokea kupata uhuru. Ni kama idara iliyochakavu hakuna jipya wala mapya. Idara ya usalama imebeba mambo ya kizamani sana na mtindo wa kizamani kwa dunia ya sasa hakuna idara kama hizi. Leo mataifa yenye kulinda nchi idara ya...
  4. Dr PL

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Waandishi wa habari kama kuna kasoro andikeni Serikali itafanyia kazi

    Akijibu maswali ya waandishi wa habari mbali mambo mengine bwana Msigwa aliwaambia waandishi hao kuwa kama kuna kasoro waandike na serikali itafanyia kazi. Mojawapo ya kasoro kubwa ambayo ipo na vyombo vya habari vya Tanzania haviandiki, havisemei au hata kufanya uchunguzi (documentary) ni...
  5. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Hamna kazi ya mwanadami isiyo na kasoro

    Hakuna kazi ya mwanadamu isiyo na kasoro (inayokamilika kwa asilimia mia moja). Kasoro ni matokeo ya asili yetu ya kibinadamu ya kutokamilika, uchovu, na mipaka ya ufahamu wetu. Hata hivyo, ukweli huu unapaswa kuwa daraja la kujifunzia badala ya chanzo cha kukata tamaa. Unaweza kuangalia...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Lissu alivyochambua kasoro za Muungano katika Bunge Maalum la Katiba mwaka 2014

    Kumbukizi: Kauli za Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alizozitoa katika Bunge Maalum la Katiba mwaka 2014 kuhusu kasoro zilizopo kwenye Muungano. Wakati huo alikuwa Mkuu wa Sheria wa chama hicho na Mbunge wa Singida Mashariki.
  7. C

    JamiiForums Tanzania Nilichokiona kwenye kioo mida hii saa sita kasoro usiku

    Hii ilitokea leo usiku ambaop nimechelewa kutoka kwenye mihangaiko yangu ( hua naingia mihangaikoni ) niliingia magetoni kama kawaida, na kila kitu kilikuwa kawaida kabisa. nilikuwa nimechoka sana na nataka kulala tuu. lakini nilishapanga leo ni ratiba ya kuoga baada ya kutoiga kwa siku kadhaa...
  8. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tanzania pekee ndo hajaalikwa kwenye utiaji saini wa amani Kati ya DRC na Rwanda huko USA

    Rais Donald Trump amealika nchi zote za maziwa makuu kwenye tukio la kutia sain makunaliano ya amani baina ya DRC na Rwanda maarufu kama "Washington Accord" Kilichonishtua zaidi Tanzania haikualikwa licha ya kuwa na mchango mkubwa wa kupigania amani ya Mashabiki mwa Congo Wanajeshi wetu wengi...
  9. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Hizi teuzi za Rais Samia zinabagua na zina kasoro kubwa

    https://youtu.be/Bp5NaZ4sYY8?si=SO4lrmpVo9Qm7bQK Nimeshangazwa sana kwenye teuzi za Rais Samia uliotokea juzi. Rais anatumia vigezo gani kuteua mtu aliyestahafu tena ambaye amepitia nyadhifa kubwa kubwa na zenye heshima? Hii nchi ina raia milioni 60+ na kati ya hawa zaidi ya 40% ni VIJANA...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mmesoma nini? Kuna kasoro hapa

    Kuna wauminj humu wanajisifu kwamba ndio wasomi na wanawakebehi wengine hawakusoma shule, wamewekeza kwengine. Cha ajabu hao hao kila kukicha humu wanalalamika. 1. Kila siku tunalalamika haki za binaadam 2. Umaskini 3. Rushwa 4. Bara bara mbovu 5. Haki na usawa haupo Haya yote yanasababishwa...
  11. BigTall

    JamiiForums Tanzania TANESCO Mkoa wa Katavi mmepatwa na nini, mbona kila siku mnakata umeme ifikapo saa mbili kasoro usiku?

    Kero hii ya kukata umeme ifikapo saa mbili kasoro usiku kila siku katika mji ya Mpanda tumechoka kwani wala hatufahamu mnakata umeme kwa masirahi ya nani?. Jambo ambalo hatupendezwi nalo wala taarifa yoyote ile hamtoi kwa wakazi wa Mpanda na tunaona waziwazi hizi ni hujuma kwetu Wananchi wa...
  12. Mapenzi ya Mungu

    JamiiForums Tanzania Watanzania wana ya moyoni kasoro kupindua nchi

    Wapo bora wapindue mdomo by kabudi https://www.instagram.com/tbc_online/reel/DEX4vBeOkZy/
  13. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Waziri Silaa akiri kasoro usajii wa Vodacom katika Soko la Hisa Dar

    Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa ameeleza kwamba sheria ambayo ilitumiwa na serikali kuishurutisha kampuni ya simu ya Vodacom kusajili asilimia 25 ya hisa zake katika Soko la Hisa Dar es Salaam DSE imekuwa na matokeo mabaya. Slaa ambaye alikuwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Tujadili kasoro za mkutano wa mbowe na Wahariri

    1. Hapakuwepo na maridhiano, bali mazungumzo ya kuelekea maridhiano ambayo yangetupeleka kwenye maridhiano 2. Mbowe hakuandaa warithi:, swali hilo hakulijibu inavyopashwa. Chama ndicho kinachoandaa warith na si Mbowe maana hiyo itakuwa kama anarithisha cheo MY OBSERVATION: NILIWAHI KUWASHAURI...
  15. Nirvana G7

    JamiiForums Tanzania Mungu kaumba vyote lakini kasoro kitu kimoja

    Habar za jion wakuu, I hope mko good. Kama kichwa cha hoja kinavyojieleza, nilikua najihusisha sana na mambo ya dini na hiyo ilikua baada ya kuwa najikuta kuwa na doughts nyingi kuhusiana na uwepo wa mungu. Kwa sasa nimepata majibu lakin ndipo nikaja kugundua pia kwamba huyu Mungu niliekuwa na...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kasoro: Tuzo za BMT aina Muziki unaopigwa hauendani na Waliohudhuria

    Haya ndio makosa ya mara zote yanayofanywa na waandaji wa hafla za Dar es Salaam, Wanaandaa mambo mengi yote vizuri sana lakini kwenye Burudani wanaboronga. Kwa mfano, kwenye Tuzo za leo 90% ya waliohudhuria ni Wazee, tena Wazee hasa, yaani Waziri Mkuu ndio miongoni mwa vijana waliopo, sasa...
  17. mmmuhumba

    JamiiForums Tanzania Kuukumbatia moto katika mapenzi ni kujipa kasoro isiyo lazima, acha maana hauishi milele

    Ni ukweli mchungu kuwa ipo siku tutakufa na kila kitu kilichopo katika ulimwengu hakitodumu bali kinapita. Ni muhimu sana katika shida zote ukatambua na wewe unahitaji kupata muda wa kuyafurahia maisha yako kwa hali yoyote ile iwe kwa kingi ama kidogo ulichonacho. Katika mahusiano, wapo watu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Sawa, Muungano wetu unazo kasoro, kwanini tutoe hoja zinazoukebehi badala ya kuurepea?

    Wana JF nina huzuni, tena sana, kwanini kwenye nchi yenye watu wazima tunataka kuamini na kugundua zaidi mapungufu, kasoro na hitilafu za MUUNGANO WETU matukufu badala ya kutafuta namna ya kuutia cement? Kwanini tusifikiri mwaka mmoja bila MUUNGANO unaweza kutupa hasara gani? Naogopa kufikiri...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kujikita Kwenye Kasoro za Kiufundi Katika Kutoa Maamuzi Yenye Tija kwa Taifa ni Ishara ya Udhaifu na Uoga Dhidi ya Serikali

    Pamoja na ukweli kwamba Ibara ya 107A(2)(e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaitaka Mahakama kutoa haki bila kujifunga na mambo ya kiufundi kiasi cha kushindwa kutoa haki,mambo kwa upande wa mahakama zetu ni tofauti kabisa hususan kwenye mashauri ambayo yanahusu kushitakiwa kwa...
  20. TZ-1

    JamiiForums Tanzania Mwanangu anapenda kulala Sakafuni. Je, ni tatizo?

    Hbar wadau, Awali kbsa mwanangu nilikuw nae maeneo ya bard kiasi alpofk miez 6 walihama na mama yao kwenda Zanzibar maisha kule yaliendelea ya kupambana na joto alpo fka miez 8 akaw na tabia ya kulala sakafu kimtazamo Wangu nikajua joto tu sasa tuko Dar na hasa tupo kwenye room yenye AC usiku...
Back
Top Bottom