• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

palestina

 1. miss zomboko

  Palestina yasitisha mahusino yote baina yake na Israel na Marekani

  Rais wa Mamlaka ya Palestina Mahmoud Abbas amesitisha mahusiano yote na Marekani na Israel, yakiwemo yanayohusiana na usalama, baada ya kuupinga mpango wa amani ya Mashariki ya Kati uliopendekezwa na Rais wa Marekani Donald Trump. Abbas alikuwa mjini Cairo kuuhutubia mkutano wa dharura wa...
 2. J

  Kwani hospitali ya Mlonganzila ipo wilaya gani pamoja na ile hospitali ya Palestina?

  Nauliza tu ili niwe na uhakika sehemu za kupata huduma za kiafya niwapo wilayani Ubungo. Nijuavyo Ubungo wana miundombinu mingi sana tena ya kisasa. Pale Mburahati kuna kituo cha kisasa kabisa cha polisi kadhalika panajengwa soko la kimataifa Stendi kuu ya mabasi ya mikoani n.k, n.k...
 3. Kaka Pekee

  Onyo la kistaarabu dhidi ya uhusiano wa Tanzania na Israel

  Inabidi tuanze kujifikirisha tena kidogo kwa fikra yakinifu dhidi ya Faida na Hasara za Uhusiano wa kidplomasia na Mataifa yenye Migogoro ili tusije kuingia kwenye kaburi ya Halaiki lililochimbwa na Reputations za Migogoro hiyo kwa kuingia Kichwa kichwa. Leo Tunashuhudia Palestina wakitupa...
Top