Naibu Waziri wa Madini, Dk. Steven Kiruswa.
Mwenyekiti wa Kamati, Hassan Mtenga.
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga Anamringi Macha akiongea katika kikao cha wajumbe wa Kamati na Uongozi wa Barrick Bulyanhulu.
Mkuu wa wilaya ya Kahama Mboni Mhita.
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Barrick Bulyanhulu Victor...
Serikali imewatoa hofu watanzania wote wanaoishi na virusi vya ukimwi, kuwa dawa zipo na serikali tayari imesha andaa bajeti ya fedha zitakazo tumika kuhakikisha watanzania wanapata dawa hizo.
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa...
Richa ya kua kuna huduma za PMTCT lakini kuna watoto wengine huwa wanapata maambukizi licha ya kua wamezaliwa kituoni.
Hai galantii kwamba kwasababu wazazi wako positive na wanatumia ndio watazaa mtoto asiye na maambukizi?!!
Nataka njia au evidence based stories za hawa watu
HOTUBA YA VIRUSI VYA UKIMWI (MTOTO PEKEE WA KIUME WA MZEE UKIMWI)
VVU amesimama jukwaani mbele ya wanadamu, anasema;
"Najua mnanijua ila leo nataka mnijue zaidi. Watu wengi huko mitaani wamenipachika majina ya utani wananiita miwaya, taa, ngoma, kisiki, gonjwa kubwa, na majina mengine...
Mheshimiwa huu ni wakati wa wewe kuitisha Mkutano na kufafanua mambo ya Kimataifa ikiwamo usitishwaji wa Msaada kwa Tanzania. Nataarifiwa EU nao wapo mbioni.
Wakuu
Kwanza mtanisamehe.
Huu ni mtazamo wangu tu kuhusu sisi weusi yanapokuja mambo yanayohitaji tuwe siriazi, tumekuwa sio kabisa.
- Mtu mweusi ana shida sana.
- Naungana na wanaosema weusi tuna IQ ya chini mno.
- Mweusi anaishi kwa LEO yake.
- Anadeal na yanayomsibu LEO.
- Hayo ya...
Ukimwi sio ugonjwa, bali ni mkusanyiko wa magonjwa (Syndrome), na magonjwa yote hayo yanatiba kamili zinatambulika na kufahamika vyema katika ulimwengu wa kitabibu. Nani anabisha?
- Magonjwa haya husababishwa na kushuka kwa kinga ya mwili (upungufu wa kinga mwilini), lakini unaweza kuyapata...
Utafiti wa Viashiria vya UKIMWI wa mwaka 2022/23 unaonesha kuwa, kiwango cha maambukizi katika Mkoa Njombe ni 12.7% kiwango hiki kimeongezeka kwa 1.3% ukilinganisha na 11.4% ya utafiti uliofanyika mwaka 2016/17.
Lengo la kongamano hili ni kujenga uelewa wa maswala ya VVU na UKIMWI kwa vijana...
Poleni sana,
ni muhimu kujifunza kujali afya kwanza kabala ya starehe.
Tazama sasa maumivu unayopitia, gharama na muda unaotumia kujitibu kwasababu tu ya starehe ya muda mfupi.
Jifunze kutumia kinga na kuepuka kufanya ngono zembe kiholela.
Baki njia kuu. Kunywa pombe kupita kiasi ni hatatari...
Anza mwaka mpya 2025 ukiwa na furaha ya afya njema na sio kuchota maradhi kwa ngono zembe.
Jizuie na ngono nzembe kuepuka magonjwa ya zinaa ya fedheha kama vile UTI Sugu, gono, kaswende au ukimwi.
kwa wewe mwenye UTI au gono, jitibu kwanza na umalize dozi, acha kuambukiza wengine kwa tamaa na...
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Ndugu yangu leo ngoja nije na faida za kuwa muathirika wa HIV.
Kama wewe ni muathirika wa HIV basi tafadhali soma hadi mwisho itakusaidia.
Pia kama ulikuwa ukichukua tahadhari juu ya HIV (UKIMWI), yaani bado haujaathirika basi endelea kuchukua tahadhali maana...
Ulikua ukipigwa kwenye maredio siku ya ukimwi duniani. Sana sana kwenye Rtd sasa TBC.
Maneno ya wimbo'
Jamani ee
Sikilizeni niwaeleze haya, janga la ukimwi halina dawa wala kinga,.
Watoto wawili wa familia moja ambao ni wanafunzi wa shule ya msingi katika halmashauri ya mji wa Makambako mkoani Njombe wanadaiwa kubakwa na kuambukizwa virusi vya ukimwi (VVU) na baba yao wa kufikia.
Victor Nyato ambaye ni mwenyekiti wa mtaa wanapoishi watoto hao na mama yao, ambao mmoja...
Natafakari sana aisee hivi kwanini mikoa mingi ambayo kuna idadi kubwa ya waislamu kuna maambukizi machache ya virusi vya ukimwi?
Tunaona kila mwaka mikoa kama lindi na sehemu kama zanzibar ambapo kuna idadi kubwa ya waislamu kunaripotiwa visa vichache vya amambukizi ya ukimwi je kwamba wana...
Desemba 1, 2024, Shirika la Afya Duniani (WHO) linaungana na wadau na jamii kote ulimwenguni kuadhimisha Siku ya UKIMWI Duniani.
Kauli mbiu ya mwaka huu ni “Chagua Njia Sahihi: Afya Yangu, Haki Yangu!” Kauli hii inalenga kuwahamasisha viongozi wa dunia na wananchi kushiriki katika kuhakikisha...
Leo December 1 2024 ni siku ya UKIMWI duniani.
Mpaka sasa kwa mujibu wa shirika la afya duniani (WHO) kuna zaidi ya watu milioni 39.9 duniani kote wanaoishi na virusi vya UKIMWI (VVU).
Ni muhimu kuelewa kwamba si kila mwenye VVU ana UKIMWI. UKIMWI hutokea katika hatua za mwisho za maambukizi...
Leo trh 1/12/ 2024 tunaadhimishi siku ya ukimwi duniani, zaidi ya miaka 50 sasa tangu ugonjwa huu ubishe hodi nchini Tanzania kupitia Mkoa wa Kagera, bado mikoa ya Njombe, Iringa, Mbeya na Kagera inaongoza kwa ukimwi.
Tatizo ni nini haswa kwenye mikoa hiyo ambapo kuna maambukizi makubwa ya vvu?
Tukiwa tunaadhimisha siku ya Ukimwi duniani leo trh 1/12/ 2024, tusidanganyane, bado ugonjwa huu wa ukimwi ni hatari na tishio zaidi kuliko magonjwa mengine.
Ukimwi ni mateso hadi kifo, chanzo kikuu cha ukimwi ni ngono.
Serikali izuie/ishibiti vyanzo vya maambukizi ya VVU ambavyo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.