Waafrika wameshindwa kujiongoza

Pantosha

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
348
462
Nikiwa nimehathiwa historia ya uhuru na kusoma historia zilizonadikwa kuhusu uhuru wa Afrika, niligundua kuwa mipango ya kuwapatia uhuru wa’frika ilitibuliwa na watu walioitwa baadaye wapigania uhuru.

Suala la kutoa uhuru lilianza kwa wazungu wenyewe na mikakati ya namna ya kutoa uhuru walipanga wao. Viongozi wetu wa wakati huo walialikwa kwenye vikao vya uhuru kwenye nchi za wazungu.

Ila mpango ule wa wazungu wa namna ya kukabidhi madaraka ya uongozi uliingia dosari baada ya viongozi wa kipindi hicho kutaka mamlaka kamili ikiwemo kuendesha uchumi na elimu.

Huo ndiyo ukawa mwanza wa Afrika isiyoeleweka. Haijui inaenda wapi. Hadi leo hii tarehe 19 Feb 2024, Afrika bado haina muelekeo.

Kipi kifanyike kuikomboa Afrika kwenye hili balaa la ukosefu wa uongozi wenye malengo ya maendeleo?
 
Hilo aliliona Kaburu Botha muda mrefu sana, kwamba mtu mweusi hawezi kujitawala,hata Rais wa USA aliye pita Donald Trump kasha sema ukweli ambao wengi hawataki kuhusikia, lakini ndo Ukweli halisi.
 
Back
Top Bottom