"Wakulima kutambua kwamba kilimo sasa hivi ni biashara,” huu ni wito wa Afisa Kilimo wa Mkoa wa Geita, Mayunga John, ukibeba majibu ya mojawapo ya changamoto kubwa ambayo imeendelea kuwagharimu wakulima wa mkoa huo kwa miaka mingi, upotevu wa mazao ya chakula baada ya mavuno.
Katika sehemu...
Baada ya kufuatilia namna ambavyo uhifadhi duni unavyoendelea kusababisha upotevu wa mazao na hasara kwa wakulima katika mkoa wa Geita, swali linalobaki ni kwa nini tatizo hili linaendelea kujirudia mwaka baada ya mwaka? Licha ya kuwepo kwa sera ya kilimo, maafisa kilimo pamoja na teknolojia za...
"Wakulima kutambua kwamba kilimo sasa hivi ni biashara,” huu ni wito wa Afisa Kilimo wa Mkoa wa Geita, Mayunga John, ukibeba majibu ya mojawapo ya changamoto kubwa ambayo imeendelea kuwagharimu wakulima wa mkoa huo kwa miaka mingi, upotevu wa mazao ya chakula baada ya mavuno.
Katika sehemu...
Baada ya kufuatilia namna ambavyo uhifadhi duni unavyoendelea kusababisha upotevu wa mazao na hasara kwa wakulima katika mkoa wa Geita, swali linalobaki ni kwa nini tatizo hili linaendelea kujirudia mwaka baada ya mwaka? Licha ya kuwepo kwa sera ya kilimo, maafisa kilimo pamoja na teknolojia za...
Naandika hoja hii nikiwa mwananchi na Mkazi wa Kijiji cha Nyambili, Tarafa ya Bungu, Wilaya ya Kibiti, Mkoani Pwani kuna kero inayotukabili tangu mwaka 2020 hadi leo bila kupata ufumbuzi wala haki yetu.
Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) lilikuja na kujenga mnara wa mawasiliano katikati...
Habari wakuu,
"Ukitaka mali utaipata shambani"
Pesa isikae mfukoni, tununue ardhi.
Iringa, hususani wilaya ya Mufindi ni injini ya horticulture inayokua kwa kasi sana Nyanda za Juu Kusini. Kuwa sehemu ya wawekezaji wa eneo hili la kimkakati.
Kwa anayehitaji ardhi kwa ajili ya kilimo cha...
Unaweza kununua mahindi, mpunga, maharage, karanga, alizeti, mihogo au mazao mengine kutoka maeneo yenye uzalishaji mkubwa na kuyapeleka kwenye masoko yenye uhitaji. Lakini bila mpango mzuri, biashara hii inaweza kukuletea hasara badala ya faida.
Biashara ya kununua na kusafirisha mazao ni...
Kilimo ndiyo uti wa mgongo wa uchumi kwa mamilioni ya Watanzania, lakini wakulima na wafanyabiashara wa mazao mara nyingi hukutana na hali ya kutotabirika. Leo bei ni nzuri, kesho imeshuka ghafla. Leo soko limefunguliwa, kesho limefungwa au masharti yamebadilika. Je, hii inatokana na nguvu za...
Tunapaza sauti yetu kwa heshima kuhusu ongezeko kubwa la ushuru wa kibali cha kusafisha mazao ya uvuvi kutoka kilo 50 hadi kilo 75. Uamuzi huu umetuletea changamoto kubwa sana sisi wafanyabiashara wa mazao ya uvuvi, hasa wafanyabiashara wadogo ambao tunahangaika kutafuta riziki.
Ongezeko hili...
Kuna malalamiko kutoka Kijiji cha Mwamapuli, Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe mkoani Katavi, kuhusu geti linalodaiwa kukusanya ushuru wa mazao kinyume na taratibu.
Kwa mujibu wa wanaotoa taarifa hizi, geti hilo halifanyi kazi mchana, bali huanza shughuli zake kuanzia jioni hadi usiku. Inadaiwa...
Anonymous (30c2)
Thread
binafsi
halimashauri
malipo
mazao
mpimbwe
necta
shule
shule binafsi
tabora
usajili
ushuru
Training, Research, Regulations and PRODUCTION.
1). Utafiti wa kilimo(TARI)
2).Uthibitishaji wa mbegu(TOSCI)
3).Kudhibiti wa pembejeo(TPHPA & TFRA)
4).Uzalishaji na Usambazaji mbegu(ASA)
5). FIELD(condition) CROP PRODUCTION (FCP).
Mashamba darasa yawe darasa kweli kweli sio kuzugazuga...
Wafanyabiashara katika soko la Kilombero Arusha.
Arusha. Wakati Itifaki ya Soko la Pamoja la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ikiweka msingi wa uhuru wa kusafirisha bidhaa na huduma kati ya nchi wanachama, bado kumekuwa na changamoto zinazokwaza itifaki hiyo kutekelezeka.
Lengo la itifaki...
Kwa wale wakulima mliokua mnaogopa kusafirisha mazao yenu kuja Dar kwa kuhofia kuharibika bidha zenu za mazao sasa TRC wanawaletea mabehewa haya kwa ajili ya kuhifaadhi mazao yenu kama mboga, matunda na kufika mjini yakiwa fresh, kwa wanaotaka kusafirisha mazao yao ndan ya majokofu haya unaweza...
Ngazi za Biashara ya Mazao
Ngazi ya Kaya
Hapa ndipo wakulima wadogowadogo huzalisha kwa ajili ya familia na ziada kidogo kuuza sokoni.
Ngazi ya Wakulima Wakubwa na Makampuni
Wao hulima kwa wingi kwa ajili ya biashara, kuuza ndani na hata nje ya nchi.
Ngazi ya Usindikaji na Uuzaji
Baadhi...
Niki fikiria kuhusu gharama za kilimo na Bei zilizopo"
nabaki najiuliza Nini maana ya kilimo ni uti wa mgongo wa taifa letu?
Hebu fikilia..
Kukodi shamba ni pesa
Kulima ni pesa
Mbolea ni pesa
Kupalilia ni pesa
Kuvuna ni pesa
Kutoa mazao shambani kwenda mjini ni pesa
Tena ni tsh 1000...
Dar es Salaam, Tanzania – Uzalishaji wa mazao ya chakula nchini umeongezeka kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2021 hadi kufikia tani milioni 22.8 mwaka 2024, ongezeko linaloashiria jitihada za Serikali na wakulima kuongeza tija na kuhakikisha usalama wa chakula nchini.
Aidha, Serikali inaendelea...
Katika sekta ya kilimo, mafanikio yaliyopatikana ni pamoja na kuongezeka kwa skimu za umwagiliaji kutoka 2 mwaka 2020 hadi 15 mwaka 2025 katika wilaya za Shinyanga, Kahama, Msalala na Kishapu.
Upatikanaji wa mbolea ya ruzuku umeongezeka kutoka tani 9,870,000 hadi tani 23,223,000, huku matumizi...
Nimekuwa nikiona wafugaji wa sungura wakivuna mkojo wa wanyama hao na kudai kuwa unaweza kutumika kama mbolea na dawa ya kuulia wadudu kwenye mazao. Wakuu wa JamiiCheck uhalisia wa hili ni upi?
Wadau ,.kama ilivo ada ni lazima watu wale,..nauliza ni nafaka zipi zenye faida na uhitaji,..
Yaani nafaka zinazouzika kwa sana,..pamoja na mikoa husika
Takwimu zilizotolewa na Wizara ya Kilimo Tanzania Mei 22, 2025, zinaonyesha mwelekeo muhimu wa mauzo ya nje ya mazao ya kilimo kwa mwaka wa fedha 2023/24. Kwa ujumla, mazao ya kilimo yamechangia zaidi ya trilioni 2 katika mapato ya kigeni, yakionyesha ukuaji thabiti wa sekta hii na kutoa mwanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.