sinza

Sinza is an administrative ward near the Kinondoni district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 36,469.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Kanisa Katoliki lifanye uchunguzi wa Kwaya ya Kanisa la Sinza, kuna ‘upigaji’ na ukiukwaji wa maadili

    Waumini na Wanachama wa kwaya katika Parokia ya Bikira Maria Mama wa Mwokozi, iliyopo Sinza Jijini Dar es Salaam tuna hoja ambayo baada ya kuwa chinichini tumeona bora ifike hadharani, Dunia ijue labda hatua zitachukuliwa. Kuhusu ubadhirifu wa fedha Ndani ya kwaya yetu ya Mtakatifu Monika...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Milio ya mafataki usiku Mliman City inatukosesha amani na kutupa presha wakazi wa maeneo jirani hasa Sinza A

    Kumekuwa na tabia endelevu ya kupiga mafataki usiku eneo la Mliman City jambo ambalo linatuumiza wakazi wa maeneo jirani hasa wakazi wa Sinza A. Fataki hizi hupigwa bila kupewa taarifa zozote hivyo kuleta taaruki kwetu na hata kutupandisha presha kwani hali hii inatukumbusha ile milio ya risasi...
  3. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya mpango wa uendelezaji Sinza yawasilishwa kwa wananchi

    Mpango haulengi kuondoa umiliki wa ardhi Na Lusajo Mwakabuku – DSM DAR ES SALAAM: Serikali kupitia Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeendelea kutoa elimu kwa wananchi kuhusu Rasimu ya Mpango wa Uendelezaji Eneo la Sinza, Jijini Dar es Salaam, unaolenga kuendana na mabadiliko ya...
  4. Heci

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji anayefichwa anayetaka kuinunua Sinza yote, ni mama mmoja wa Kizanzibari na kijana wake wa kiume, Master mind wa ufisadi wote.

    Mgogoro kati ya wamiliki wa nyumba Sinza dhidi ya wizara ya ardhi, nyumba na makazi unazidi kutanuka kila uchao, huku wizara na madalali wake wakikataa kabisa kumtaja huyo anayetambuloshwa kwa jina la Muwekezaji. Taarifa tulizovujishiwa sisi wamiliki wa hizi nyumba, ni kwamba anayetaka kutwaa...
  5. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Sad newz: Msanii wa vichekesho Ebitoke aonekana uchi wa mnyama, Sinza ,inasemekana kachizi, boda amvisha nguo kumsitiri

    Msanii Ebitoke alie kuwa akitumia lafudhi ya kihaya, kuonekana akiwa uchi wa mnyama, bodaboda walipo mtambua ndio kumvisha nguo. Huko nyuma ebitoke aliwahi kudai rafikiye Lola anataka kumuua, akaandika insta ili asaidiwe. Akiwataja watu majina waote amabalo walitaka kumuua. Baadae inasemekana...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huu uchafu mtaroni hapa Sinza Africasana, wahusika hawauoni au hakuna wa kuwajibika?

    Salaam Wana JF Hapa ni Sinza Africasana, mtaro wa upande wa barabara ya kuingia Mabatini police Je, mamlaka hazioni hili? Lakini pia Wananchi tunawajibikaje kulinda mazingira yetu? Na ukizingatia tumeambiwa kuwa mvua kubwa zinakuja zikileta maafa? Pia soma ~ Rais Samia: Dar es Salaam ni...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Wamiliki wa Nyumba Sinza: Tumeazimia kusitisha ushiriki wetu kwa muda katika Mradi wa Sinza

    Kamati ya Wamiliki wa Nyumba Sinza inaendelea kusisitiza kuwa haipingi maendeleo wala uendelezaji wa eneo la Sinza. Hata hivyo, tunaamini mchakato huu unapaswa kufanyika kwa kuzingatia sheria, taratibu na mawasiliano rasmi. Baada ya Waziri kutangaza kuwa mchakato wa awali umefutwa na kwamba...
  8. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Aisee kuna mtu yupo Velvet Sinza hapa, unayaona ninayoyaona sasa hivi? Ni full kufuru aisee

    Yaani ni makebo juu ya makebo, tena hadi mtu anakatakiwa usoni kabisaa sura haionekani😁 Ngoja niwahi nyumbani aissee
  9. S

    JamiiForums Tanzania Sauti ya Milipuko Sinza na Ubungo

    Kwema wakuu, Nasikia sauti ya milipuko maeneo ya Sinza, Shekilango au Ubungo, ni nini hii wakuu? NB Hata mwaka jana tarehe kama ya leo ilisikika pia https://www.jamiiforums.com/threads/hii-milipuko-inayosikika-eneo-la-ubungo-ni-nini.2370713/
  10. Erick Martie

    JamiiForums Tanzania Tuliomaliza shule ya Chekechea ya Step UP Nursery School ya Sinza miaka ya 90s nadhan mpaka miaka ya 20's. Mpo wapi Tujuane Wadau

    Leo nlikuwa napitia baadhi ya mitihani yangu ya shule ya Chekechea nimekumbuka sana wadau au classmates zangu wa Chekechea katika kindergarten ya Step Up Nursery School, tulikuwa tunavaa shati za pink na kaptura au sketi za light bluu, dah kitambo sana. Binafsi nlimaliza 1997, nlisoma Nursery...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Wimbo "Mwamvua" (Pesa Zanisumbua) wa Bima Lee: Kisa cha Kweli cha Kambi ya Sinza na Siri ya Mtindo wa Magnet

    Habari za muda huu Wana-JF wenzangu, natumai mko salama. Leo kwenye jukwaa la burudani na kumbukumbu (Zilipendwa), natamani tuutazame kwa ukaribu wimbo mmoja maarufu sana uliorekodiwa miaka ya 1980 na bendi nguli ya Orchestra Bima Lee. Huu si mwingine bali ni wimbo wa "Mwamvua", ambao wengi...
  12. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Ibilisi ametia nanga Velvet club Sinza

    Hatimaye vacation yangu ndani ya Dasalamu imeharibika rasmi na kuingia nuksi baada ya kujichanganya na kukanyaga Velvet club Sinza! Muhudumu anakuja kukusikiliza huku anakuletea nyonyo kifusi zimazima usoni. Kisha mkwanja wa bili unatakiwa uuchopeke katikati ya mtindi. Mbaya zaidi na...
  13. S

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya upatikanaji wa maji Sinza C sasa imekuwa sugu inaweza kupita hata miezi mitatu

    Eneo la Sinza C, hususan karibu na Chuo cha Sheria, ni miongoni mwa maeneo yanayokumbwa na changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji. Wananchi wanalalamikia ukosefu wa maji wa mara kwa mara, huku wakieleza kuwa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) haijatoa maelezo ya...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA Mazungumzo ya kuhamisha Wananchi wa Sinza yasifanyike kwa mafungu hotelini, tushirikishwe na uwazi uwepo

    Serikali ilitangaza kuanza kwa mchakato wa kuboresha eneo la Sinza ili kulifanya kuwa la uwekezaji na kwamba Wananchi watapewa maelekezo ya kuyaachia maeneo yao kwa makubaliano maalum ya uwekezaji. Kikao kilichopita kati ya wawakilishi wa Serikali na Wananchi kwa asilimia kubwa hakikuwa na...
  15. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Midoli ya kike iliyo uchi ipigwe marufuku Sinza na Kariakoo!

    Midoli ya kike yenye kuonyesha viungo vya uzazi vya mbele na vya haja kubwa imekuwa ikizagaa madukani na kuvalishwa chupi na mingine sidiria pasi na kusahau shanga! Midoli hiyo pia ambayo ipo uchi imekuwa ikiacha maziwa yaliyosimama yakiwa wazi, huku watu wa jinsia zote wakijione pasi na...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mradi wa Majitaka Sinza: Kero na Uharibifu

    Habari, Mimi ni mkazi wa Sinza Madukani kuna mradi wa majitaka unaendelea tokea mwanzoni mwaka 2025 ..Lakini huu mm Mradi umekua kero na Usumbufu kwa wakazi wa Sinza Madukani pamoja na eneo ya hapa. Mradi wamefanya uharibu wa miundo mbinu ya barabara pamoja na maji wamechimba barabara...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mpango wa Serikali kuendeleza upya maeneo ya Sinza unahitaji uwazi na uwajibikaji

    Natoa wito kwa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuuangalia kwa karibu mpango wa uendelezaji upya wa eneo la Sinza, Dar es Salaam, unaoratibiwa na Manispaa ya Ubungo, kutokana na kuwepo kwa viashiria vya shinikizo na ukosefu wa uwazi. Kwa muda sasa, wananchi wa Sinza tumekuwa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Sinza kujengwa upya. Wamiliki waibua maswali

    Just for curiosity: Wamiliki watahamishwa kwenda " Msovera" au watalipwa kupisha wajomba toka Arabuni? Wakati Serikali ikibainisha mpango mpya wa 2026/2046 wa kuliendeleza eneo lote la Sinza jijini Dar es Salaam, wamiliki wa nyumba katika eneo hilo wamehoji ni wapi watakwenda kuishi mpango huo...
  19. shokoshugi

    JamiiForums Tanzania Kisa changu cha Sinza

    Sio mgeni wa jiji nipo hapa 10+ years shoot in and out . Kuanzia masomo mpaka kazi mpaka unemployed. I declare my interest Kama kuna mtu ana kibarua naomba. Turudi kwenye mada baada ya miaka kama miwili kutorudi mjini week hii nikaamua kuja kidogo kusuuza nafsi baada ya kumpiga kanji mahali ...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa kisasa kwenye kusomesha Watoto shule wanafanana na wauza maduka wa sinza

    Wazazi wa kisasa kwenye kusomesha watoto shule wanafanana na wauza maduka wa sinza. Duka la sinza fremu kodi milioni, decorations za duka zinatumika milioni 10. Halafu mtaji wa bidhaa za kuuzwa dukani thamani yake laki 7 tu. Hivyo hivyo kwa wazazi. Mtoto primary analipiwa ada kwa mwaka...
Back
Top Bottom