Mwanamke akikuomba pesa, muulize umefanya kazi gani au wewe ni ombaomba?

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,702
36,141
Labda iwe kwa makubaliano kuwa mnafanya biashara, na biashara yoyote lazima mapatano kwanza kisha biashara ndipo ifanyike.

Kama biashara ya mwili wake ni heri aseme kabisa kuwa yeye ni kahaba. Asijifiche kwenye mwavuli wa kuitana wapenzi. Biashara ya ukahaba ni kongwe, tangu enzi za agano la kale ipo.

Ila kama hajakuhakikishia kuwa yeye si kahaba akihitaji pesa muulize ' " wewe ni mlemavu (ombaomba) au umefanya kazi gani?

Kibailojia wakati wa kujamiiana mwanaume ndiye hufanya kazi ngumu kuliko mwanamke, hivyo kama kipimo cha kazi yake atachukulia ni tendo la ndoa ni vyema yeye ndiye alipaswa akulipe wewe maana mwanaume ndiye hufanya kazi kubwa na ngumu kuliko mwanamke wakati wa kujamiiana.

Shitukeni wanaume mnaibiwa.
 
Sasa ndugu si mkanunue wanaojiuza kitambaa cheupe?

Hivi kweli unataka uwe na mpenzi wako mahaba motomoto kusha usimhudumie?

Mbona tunaficha ubahili na roho mbaya yetu kwenye kuwananga girls?

Kitu simple, hutaki kuhusumia:
Nenda kanunue malaya ukiwa na shida, basda ya hapo hakuna call wala chat, huombwi vocha wala kodi, huambiwi mama anaumwa.

Kwakweli Mungu amnusuru binti yangu wanaume wamekua wa hovyo sana
 
Mzeee mimi kama mawanaume nasema hivi

Sikatai si sawa

Ikija kwasukwasu unaweza ijibu hivyo ila
Kuna mali ndugu kuna mali hizo
Kichwa kinakataa ila moyo wenyewe utaona tu unabishana na kichwa
😂😂😂


Mkuu kuna viumbe hapa duniani vina cheat code tokea walivofika 18
 
Labda iwe kwa makubaliano kuwa munafanya biashara, na biashara yoyote lazima mapatano kwanza kisha biashara ndipo ifanyike...
Usipojiongeza unaishia kuchukua sheria mkononi, mwanamke anawezaa kaa hata miezi kadhaa bila kufanya tendo lkn kwa mwanamme ambae ameiwai kufanya tendo na anakula vizuli na hana tatizo lolote la kiafya hawezi kukaa mwezi.

Labda awe sehem ambayo hakuna wanawake, sasa kaa na sema mwanamke hapaswi kupewa pesa, ipo siku atakuambia nenda kamuombe mzazi wako wa kike hawana akili hawa, hata kama hajiuzi lkn hatoi bule,
 
Usipojiongeza unaishia kuchukua sheria mkononi, mwanamke anawezaa kaa hata miezi kadhaa bila kufanya tendo lkn kwa mwanamme ambae ameiwai kufanya tendo na anakula vizuli na hana tatizo lolote la kiafya hawezi kukaa mwezi. Labda awe sehem ambayo hakuna wanawake,
Mwezi mmoja mbona inawezekana kabisa mkuu, kama ni mtu wa kufanya sana mazoezi unatoboa vizuri tu.
 
Mwanamke akishakuwa mpenzi wako, babe wako, kuchuna wako, mke wako, yani as long as unammiliki kwa namna moja ama ingine, basi hauna budi kumhudumia. THAT'S THE LAW OF NATURE.

Ila angalizo: Tafuta size yako kulingana na kipato chako. Na ajue kabisa uwezo wako unaishia wapi ili msije sumbuana. Kama uwezo wako ni kuhudumia 10k tafuta wa 10k, vivyo hivyo kwa wale wa 20k, 30k,40k,50k,100k,200k,400k,500k,1M nk.

Kumbuka, mtaani kuna kila rank wa wanawake, hivyo usifosi kuishi maisha yasiyo level zako..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom