Licha ya eneo hilo kuzungukwa na viwanda vingi, shule hiyo haina samani za kutosha kwa wanafunzi wala walimu. Ukifika shuleni hapo, hali iliyopo inasikitisha.
Je, Mkurugenzi na Meya wa Manispaa ya Kibaha wameshindwa kabisa kuhamasisha wadau na viwanda vilivyopo eneo hilo kuchangia kuboresha...
Hivi karibuni kumekuwepo na vitendo vya ukiukwaji wa sheria, kanuni na taratibu za utumishi wa umma unaofanywa na Afisa Elimu Sekondari wa Wilaya ya Serengeti.
Ukiukwaji wa sheria, kanuni na taratibu za utumishi wa umma unaondoa haki za watumishi na kusababisha uonevu pamoja na manyanyaso.
1...
Serikali inahimiza utoaji wa chakula shuleni ili kuhakikisha watoto wanapata haki yao ya kupata chakula. Lakini kuna baadhi ya walimu na kamati za shule ambao wanashindwa kuratibu jambo hili kwa haki.
Kwa mfano, utaratibu unaweza kuwa mwanafunzi anatakiwa kuchangia jumla ya madumu 15 kwa mwaka...
Waraka unaosambaa mitandaoni unadai kuwa Teachers Service Commission (TSC) imesitisha mara moja mpango wa kuwahamisha walimu waliohitimu kutoka shule za msingi kwenda Junior Secondary School (JSS).
Waraka huo, wenye tarehe 8 Septemba 2026, una kichwa “Discontinuation of the Teacher Deployment...
Tunashuhudia wahitimu vilaza mno wasiojua kutofautisha R na L ...lakini waliokosa uzalendo na wenye matusi kwenye mbongo zao na ndimi zao.
Kwangu mimi haya ni matokeo ya kuifanya Elimu kuwa ni biashara badala ya huduma muhimu kwa Taifa.
Hatujachelewa ni muda muafaka sasa wa kuongeza regulations...
Sisi walimu walioajiriwa mwezi Januari 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama, Singida, tunaomba mamlaka husika zisaidie kufuatilia stahiki zetu za fedha za kujikimu ambazo tumekuwa tukizidai kwa muda mrefu.
Tumekuwa tukipewa taarifa kwamba fedha hizo bado hazijafika. Hata hivyo, hivi...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
halmashauri
kati
mamlaka
mbili
mkalama
mpya
swala
walimuwalimu ajira mpya
Nimeona andiko la watu ambao sio walimu kwa kusomea ila waliojariwa ila mpaka sasa hawajathibitishwa,wana lalamika
Binafsi nimeshangaa serikali kwanini ilitoa ajira kwa watu wasio na sifa ,na kuacha wenye sifa mtaani
Wapo watu wengi waliosoma ualimu wa biashara na uchumi lakini hawajapata...
Mtaa wa Nzasa, eneo lililo karibu na nyumba za walimu wa UDSM, kuanzia Barabara ya Kitambaa Cheupe hadi kwa Mama Ngoma, unakabiliwa na tatizo la mara kwa mara la mifumo ya maji taka kuziba na chemba kujaa.
Hali hii imekuwa kero kubwa kwa wakazi, hasa ikizingatiwa kuwa watoto hupita katika njia...
Ndugu Anayehusika,
Tunawasilisha malalamiko haya tukiomba taasisi yenu ifanye uchunguzi kuhusu stahiki za fedha za kujikimu kwa walimu wapya.
Walimu wa ajira mpya tunalazimishwa kuandika barua zenye kiasi cha pesa pungufu. Badala ya 130,000/= kwa siku saba, tunaambiwa ni 80,000/=.
Tunadaiwa...
Kuna kitu kinachokera sana hapa Shule ya Msingi Dovya, iliyopo Mbagala Chamazi. Walimu wanatoza wanafunzi kila Jumatano kiasi cha Sh 1,200 kwa ajili ya mtihani, hata kama siku hiyo hakutakuwa na ratiba ya masomo shuleni. Wanalazimika kufanya mtihani siku ya nyuma yake ili kiasi hicho kiweze...
Anonymous
Thread
chamazi
mbagala
michango
msingi
shule
shule ya msingi
walimu
Mimi pia nilikuwa mfanyakazi wa Jambo Group of Companies, hivyo haya ninayoyaeleza siyo taarifa ambazo nimezisikia tu kutoka kwa watu wengine, bali ni mambo ambayo nimeyaona, nimeyapitia na nimefanya kazi katika mazingira hayo mwenyewe. Hadi sasa mimi mwenyewe ni mdaiwa wa kampuni kutokana na...
Anonymous (694e)
Thread
changamoto
group
hela
jambo
kujikimu
mpwapwa
mpya
mwezi
shinyanga
unyonyaji
wafanyakazi
walimu
wilaya
Halmashauri ya Msalala wilaya ya Kahama tumelipwa posho ya kujikimu kwa 100%.
Tunashukuru viongozi wa Halmashauri na OWM-TAMISEMI kufanikisha hili.
Kazi iendelee!
Habari wanajukwaa.
Nimekuwa nikisikia hii kauli mara nyingi kuwa walimu hawazeeki tena wanasema hasa wa shule ya msingi, kwa sehemu mimi pia nilikuwa naiamini ila nadhani haina ukweli. Nitaelezea kwa mtazamo wangu na uzoefu wangu kwa nini nafikiria hivyo.
Ipo hivi, mtoto mdogo hasa wa shule ya...
Tunaomba utupazie sauti walimu Ajira mpya Halmashauri ya Bariadi DC mkoa wa Simiyu tupewe hela zetu za kujikimu.
Tumekuwa tukipeleka taharifa kwa uongozi wetu na majibu tunayopewa ni aidha hela zetu wamezitumia kulipa madeni ya likizo au hela zetu hazijatoka serikali kuu, wakati huo watumishi...
Anonymous
Thread
bariadi
elimu
hela
kesi
kujikimu
shule
vijijini
walimu
wilaya
Taharuki imeibuka katika Shule ya Msingi Makota, Kata ya Masaka, Wilaya ya Iringa Vijijini, baada ya wanafunzi 13 wa Darasa la Saba kudaiwa kupigwa wakati wa maandalizi ya mtihani, huku baadhi yao wakifikishwa kituo cha afya kwa matibabu.
Tukio hilo limeibua mvutano kati ya wazazi na uongozi wa...
Sisi walimu walioajiriwa Januari 2026 katika Wilaya ya Mpwapwa, Dodoma, hatujapewa fedha za kujikimu. Mamlaka zimekuwa zikituzungusha bila majibu ya msingi.
Tunaomba msaada wa kupaza sauti yetu ili suala hili lipatiwe ufumbuzi.
Walimu hasa wa kike mnafosi wazazi wawalipie vikoba vyenu kwa gia ya mitihani ya kila siku. Au hawa watoto wetu siku hizi wamekuwa vilaza? Tofauti na sisi wazazi wao?
Mbona technology imewarahidishia sana hawa watoto wa sasa, material wanapata kwa urahisi sana tofauti na sisi hapo nyuma.
Kuna wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) Mwanza ambao wanakabiliwa na changamoto katika upandishaji wa matokeo yao ya Continuous Assessment (CA).
Wanafunzi hao wamefanya mitihani yote, majaribio pamoja na kazi mbalimbali walizopewa na wahadhiri katika masomo yao. Hata hivyo...
Habari za jioni.
Tunaomba Kwa maslahi ya ustawi wa elimu wilayani Kilindi Tanga taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa wawachunguze chama Cha walimu Kilindi Tanga kwakuwa ndio wanaohusika na kuhonga ofisi ya utumishi Kilindi isiwatoe walimu wengi wanaotaka kujitoa CWT kutokana na udikteta wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.