chochote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Je inaweza kuwa sahihi kumsomesha au kumsadia mtoto wa single mother

    Katika ujana wangu huu ulio mwishoni very soon naenda hit 40, kwenye kupita huku na kule na nikiwa na uhitaji mkubwa wa kupata mtoto wangu wa tatu nilijikuta nimezaa na single mother flani mwanamke wa maana sana na kanizalia mtoto wa kiume. Basi nimekuwa namhudumia yeye na mtoto wangu,miaka...
  2. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Kweli muziki wa zamani haukuwafaidisha wasanii na chochote bali stress tuu. Ukiwaona katika kundi moja wakipiga story utafikiri kikundi cha masela

    Hii bongo 30 imefanya watu kuwaona hawa jamaa vizuri, wengi wao wamechoka, wengine wana maalaama uso, wengine nyuso zao zimejaa ulevi wa matapu tapu Wengi wao waliishia katika uraibu maana ustaa wao uliwaongezea aibu mitaani
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Paul Chacha hakuna alichokosea, vyombo vya dola lazima vitii serikali ya chama tawala chochote.

    Paul Chacha, katibu wa NEC ya CCM amewatia jambajamba kubwa watu wasiojua kufikiria vizuri kwa hotuba yake kwa wanachama wenzake. Vyombo vya dola vyote vinalitumikia dola, vinalinda dola, vinakula kiapo kumtii Rais na katiba. Rais ndiye AmiriJeshi Mkuu wa vikosi vyote na Mkuu wa nchi. Bahati...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa uhaini hajawahi kufanikiwa kisiasa bila kuomba kusaidiwa, unadhani imekuaje akakataa kusaidiwa kisheria na mawakili wote Tz?

    Je, alitaka kujionyesha kwamba yeye ni bingwa wa maisha ya sheria, hali ya kua inafahamika kwamba ni ufadhili wa wanaomfadhili ndio unaomsitiri yeye na familia? Kulikoni akatae msaada wowote ule wa kisheria kutoka kwa mawakili na wanasheria wenzake wote Tanzania, wakati mambo mengine yote...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati mko wapi mbona hamsemi chochote? Upo wapi uhuru wa Vyombo vya habari? Mnatupa mashaka.

  6. MSEZA MKULU

    JamiiForums Tanzania Mikoa 10 inayoongoza kwa umasikini. Je unadhani kwa nini wote wako upande mmoja?

    10: Kagera 9: Geita 8: Mara 7: Mwanza 6: Katavi 5: Tqbora 4: Simiyu 3: Shinyanga 2: Kigoma 1: Rukwa Maoni yangu 1: Kanda ya ziwa yote ni masikini kuliko hatwas wawili. Kusin kwa waswahili. 2: Mikoa ambayo kuna watu wenye nguvu za kujituma na hata katavi na rukwa wamejaa was ukurasa ambao...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ukipita ofisi hizi wapatie watumishi chochote

    Ukipita shuleni, hospital , halmashauri , na ofisi karibu zote zenye watumishi waliojiriwa na kufanya kazi chini ya TAMISEMI wapatie chochote utabarikiwa, watumishi wengi tuna maisha duni Sana ,mishahara tunayolipwa wengi tumeshindwa kuipangilia Kwa sababu ya udogo wake , ni Hali ya kawaida...
  8. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Kijana mwenzangu kama una miaka 35 kwenda juu jitahidi umiliki chombo chochote cha usafiri.

    Mbali na kukuongezea thamani lakini pia itakupa nguvu ya kupambana na milango yako mingi itafunguka kama chombo hicho hutakitumia kufanyia uzinzi, deal haramu au kuwanyanyasia watu. Pambana umiliki chombo cha moto! Iwe boda boda, bajaji, gari ndogo n.k
  9. Medecin

    JamiiForums Tanzania Nauza mashudu ya Alizeti kiasi chochote unachohitaji, kilo sh 500

    Kama kichwa cha uzi kinavyoeleza hapo juu. Nauza mashudu ya alizeti mazuri kutoka Morogoro, nina kiwanda cha kukamua mafuta sasa nina mashudu ya kutosha nimeona niyapunguze stock yangu imeshajaa. Kilo moja nauza sh 500. Hata ukihitaji tani 30 unapata. Natuma mkoa wowote ule Karibuni 0636642415
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Godlisten Malisa: Polisi ni waongo, hawajanidhamini, sijajidhamini wala sijatuhumiwa kwa chochote

    Malisa amesema; 1. Anawashukuru wote walipaza sauti, vingine inawezekana asingekuwa hai 2. Watu walijitambulisha ni polisi lakini gari lilowabeba sio la Polisi 3.Tuliambiwa tunapelekwa kituo cha polisi Longido lakini hatukupeleka huko 4.Polisi walikana sio wao wanaomshikilia wala kunichukua 5...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan huchukua hatua na kufanya maamuzi magumu kwa maslahi mapana ya Taifa.

    Sidhani kama kuna ubishi kwenye jambo hili la kipekee sana kwa rais wetu. Na sote ni mashahidi kwamba, hatua za makusudi na maamuzi magumu ambayo daima Rais Dr.Samia Suluhu Hassan amekua akiyachukua ndani ya chama na katika serikali sikivu ya CCM, hulenga katika kulinda maslahi mapana ya taifa...
  12. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Hili ni fumbo kubwa la imani, mpaka sasa Ikulu hawajaandika chochote kwenye website yao, hamna popote Rais amekubali barua aliyotumiwa.

    Huko ndani kuko kimyaaa, licha ya kwamba kuna chemka. Rais hajaandika chichote kwenye kurasa zake rasmi mtandaoni. Website ya Ikulu haijatangaza kuhusu kupokea kwa barua ya kujiuzulu ndugu john nchimbi. Msemaji Mkuu wa serikali naye yuko kimyaaaaa. Je ndugu john nchimbi ameamua kutuandikia...
  13. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Usikute Wema na Whozu walinunua mtoto kwa mkataba wa mzazi kutojihusisha na chochote kuhusu mtoto.

    Nitakuwa wa mwisho kuamini hapa duniani kama huyu Olie ni mtoto wa Wema na Whozu . Ninadhani kuna uwezekano mkubwa huyu mtoto amenunuliwa kwa pesa ndefu sana huku siri ikibaki baina ya wazazi, medical personnels na wazazi wa kambo yani Wema na Whozu. Huenda kuna kiapo cha maandishi cha...
  14. Pakome

    JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA inadaiwa na Mwaipopo mali, fedha au chochote mrudishieni kwasababu kila kukicha anawalaumu hadi koo linamkauka

    Sijajua kama kuna madai kati ya Mwaipopo na CHADEMA kwasababu kila kukicha analaumu akidai CHADEMA ni Chama kiovu Amekuwa akilaumu kucha kutwa hadi koo kumkauka, imefikia hatua ya kuwaita CHADEMA, Wananchi wanaoiunga kuwa ni wajinga Huku akidai kuwa yeyote atakayepanga kumdhuru atateketea yeye...
  15. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Feisal salamu anawatumia mabumunda WA SIMBA SC na YANGA SC kujiongezea thamani

    Azam FC wanachofanya ni kiburi cha pesa ambacho hakina tija yoyote kwao. Tangu usajiri wa Feisal ufanyike, Azam FC imeendelea kua msindikizaji Katika mashindano ya ndani na hata Yale ya kimataifa. Huku feitoto akinufaika pakubwa kimaslahi . Kutokana na ubumunda wa viongozi wa Azam FC kwenye...
  16. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume za Rais Samia kuhusu 29/10 ni feki na hazisaidii chochote kwa sababu zinapewa kazi ya kutafuta sababu za kuhalalisha mauaji yaliyofanyika

    Wanabodi Huu ujinga wa kuendelea kutumia fedha za umma ili kutafuta sababu za kuhalalisha mauaji ya 29/10 tutauvumilia hadi lini? Hadi sasa, Raisi Samia na serikali yake walichofanya ni kutafuta kuhalalisha mauaji ya 29/10 ili kuonyesha walikuwa na haki ya kuua watu kwa namna ile. Na sasa, kwa...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Kipato changu ni 400k na marupurupu 300k kila mwezi. Nahitaji kufungua biashara ya kuuza juisi na maziwa ili kidogo nipate chochote

    Awali ya yote ashukuliwe Mungu Mkuu atoaye pumzi na afya. Wadau najua wataalamu na wafanyabishara wamo humo ndani naombeni ushauri kama nilivyoeleza hapo juu kuwa kipato changu na nahitaji kufungua biashara ya kuuza juisi je hiyo pesa inatosha kwa mtaji na ni vitu gani hasa vinahitajika ili...
  18. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Hunywi bia na hutumii kilevi chochote lakini bado maisha yako ni magumu shida ni nini mkuu?

    Kuna wale jamaa huwa wanapenda kutusema sana sisi wana wa kamtungilei, lakini maisha yao kila kukicha ya jana yanakuwa na afadhali kuliko ya leo....kuna jamaa yangu mwingine huwa anapenda kunisema kuhusu mambo ya mtungilei alijichanganya akaenda kuchukua mkopo wa laki nne kwenye taasisi za...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume rijali yupo tayari kusamehe chochote isipokua kushea tunda la kati, hata kama ndoa itaendelea things will never be the same again

    Ni mapicha picha kama haya ndio hufanya iwe ngumu kusamehe
  20. Jumanne Mwita

    JamiiForums Tanzania Sikugonga Kitu Chochote, Lakini Nilipata Ajali: Simulizi ya Tukio la Kushangaza Lililonibadilishia Eneo la Kazi

    AJALI NILIYOIPATA NJIANI: SOMO KWA MADEREVA WOTE Utangulizi Tarehe 15/06/2026 ni siku ambayo sitaisahau kwa urahisi katika maisha yangu. Nilipata ajali ya pikipiki katika eneo la Butinzya nikiwa safarini kuelekea Ushirombo kutoka Katoro. Kilichonishangaza zaidi siyo ajali yenyewe, bali mazingira...
Back
Top Bottom