wapinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwa wapinzani wenzetu hivi nyie hamli, hamnywi, hamfanyi mazoezi?

    Ndugu zangu wapinzani, hebu mnisaidie kuwaelewa kidogo. Kila siku tunasikia nchi imeharibika, maisha hayaendi, watu hawana furaha, hakuna kinachowezekana… lakini sisi huku maisha yanaendelea kawaida kabisa. Tunafanya kazi, tunapata hela, tunakula, tunavaa, tunalea familia, tunafanya mazoezi...
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuungwa mkono kwa Nchimbi na wapinzani ni mkanganyiko mtupu wa harakati.

    Kuibuka kwa kundi la wanaharakati na wadai mabadiliko wanaompigia debe Makamu wa Rais Nchimbi kwa kauli moja au mbili alizozisema walizozipenda kunaonyesha jinsi gani Tanzania ina safari ndefu ya kuleta mabadiliko. Mambo kama haya yanafifisha sana harakati za mabadiliko nchini, yanaonyesha watu...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania umejichuja wenyewe na kubaki na viongozi na wanachama waropokaji, watukanaji na waporomosha matusi tu, hoja sio utamaduni wao tena

    Unadhani kwanini baadhi ya vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania vimeaamua kuacha kupambana kutafuta kuungwa mkono na wananchi kwa kutumia itikadi za vyama vyao, sera na agenda za kuvutia wananchi wapiga kura, na badala yake vimeanzisha utamaduni wa kutumia matusi kujitambulisha kwa umma...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa, hoja za wapinzani hazijibiwi. Kilichobakia ni watu kutishiwa kukamatwa na kutekwa. Kwa namna hii hakuna maridhiano.

    Kuna upinzani ndani ya CCM na nje ya CCM. Nje ya CCM ni Chadema chini ya Lissu na Heche. Imeonekana haina habari za siasa za kitapeli za kulaghai wananchi. Ndani ya CCM kuna kundi kubwa la wanaCCM ambao hawaiungi mkono hii serikali ambayo hata wao wanasena hakuna uchaguzi uliofanyika Oktoba...
  5. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Mangungu na Tray Again ni dhaifu ndio maana wapinzani wetu wanawapenda

    Kwa sisi wazoefu wa football ya nchi hii tunajua kuwa, hizi timu mahasimu wawili simba na yanga zinahitaji kuwa na viongozi katili kweli kweli. Jiulize kwanini mahasimu wetu yanga linapokuja suala la mangungu wanamtetea kweli kweli? Jibu ni hili, dhaifu rahisi kuingilika. Jamaa ni mbobevu...
  6. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Dkt. Rioba: Nilipiga marufuku nyimbo za kuwatishia wapinzani kupigwa TBC

    Dkt. Ayub Rioba Chacha amesema hayo wakati akizungumza kwenye kipindi cha One on One cha Wasafi Media kilichorushwa leo Julai 28, 2026. Uchaguzi huu ulioisha, niliwaambia naomba nyimbo kama zile, wapinzani hawa tuwachinje chinje, tuwakishe kete, sitaki kusikia wimbo wa aina hiyo TBC. Kwa...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Tanzania ndio nchi ya kwanza wapinzani kuwa magaidi

    Sijui wanaelewaa neno ugaidi na hatari za kisiasa. Leo nilitaka kueleza maana input politics na out politics achana na diplomatic. Kwa mambo yanayofanywa ndani ya siasa za CCM zinaweza kuifanya out politics kuwa tuna vilaza kuanzia sheria,wataalamu wa serikali idara zote. Kuna jambo...
  8. R

    JamiiForums Tanzania From the Chief Conforter: Nilitegemea reconciliatory tone, kumbe wapinzani, wanaharakati ni Magaidi? The worst is still to come

    Kwa hali tuliyonayo na international outlook on us, wenye akili timamu tulitegemea kupata hakikisho kuwa maridhiano yako njiani. Kwa kauli ya kuwaita wapinzania na wanaharakati magaidi, tujiandae kwa mauti makubwa mbele yetu! Yaliyotokea 29.10.2025 ni cha mtoto kwa tone kama hii ya kuwaita...
  9. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Alie tunga wimbo " ALISEMA NYERERE VIJANA WOTE MLEGEA " ni Genius wa viwango vya juu sana. Wapinzani wanapaswa kujifunza kwa huyu mwamba.

    Wimbo uliimba " ALISEMA ALISEMA ALISEMA. NYERERE ALISEMA, VIJANA WOTE MLEGEA SHARTI TUANZE MCHAKAMCHAKA CHINJA CHUKUA CHINJA CHUKUA". This was a Diss to Nyerere Ila watu wengi hawajui kwa sababu they don't listen. Wakati Nyerere anatoa hiyo kauli wengi wetu hatukuwepo au hatukumsikia live...
  10. R

    JamiiForums Tanzania JWTZ jiepushe na kuibeba CCM. Jiepushe na kuingilia siasa. Iache CCM iminyane na wapinzani majukwaa ya siasa. Hakuna mwenye nia mbaya na nchi yetu!

    Hiki ni nini sasa. Sidhani kama ni sahihi. Jeshi letu ndo la kutoa salaam za kisiasa “Kazi na Utu”? Hatujavamiwa kutoka nje. Ya ndani waachie vyama vya siasa waminyane majukwaani na CCM. Sidhani kama hii ni sahihi. Watu wanadai haki na si vinginevyo. Hakuna anayeamini katika fujo. Waambie CCM...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ni kwamba serikali ya CCM imejiingiza rasmi kwenye cryptocurrency kuogopa miamala yao mpaka kufikia kujisema wanaolipwa ni wapinzani.

    Mchezo uliopo sasa kila CCM na UVCCM wanahisi wanacho tumwa kuwa kinafanywa na upinzani. ila watambue CCM imefikia sasa mtashangaa pesa zimepotelea wapi na zimeama nchi gani. Singapore,dubai na russia ndio watu wazuri wa miamala ya cryptocurrency. Na ili litawasaidia CCM kupeleka pesa zao ili...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Marekani yataka Serikali, wapinzani wazungumze

    Bunge la Seneti la Marekani limetaka kuanza kwa mazungumzo ya maridhiano kati ya Serikali inayoongozwa na CCM na vyama vya upinzani, ikiwa ni sehemu ya mapitio ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya Marekani na Tanzania. Sharti hilo limejumuishwa katika fasili B(4) ya kifungu cha saba cha Muswada...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Afrika na siasa za majitaka kunavyowafelisha

    Kukosoa serikali ni jambo la kawaida na muhimu katika demokrasia. Lakini ukosoaji unapopoteza msingi wa ukweli na kuhamia kwenye propaganda, taifa lote hupoteza nafasi ya kufanya mjadala wa maana kuhusu maslahi yake ya muda mrefu. Just Imagine viongozi wa upinzani wanasema Rais Samia ameenda...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kingu: Tusije tukaruhusu heshima ya Rais wetu ikachezewa, ndiye Rais wa kwanza kuwatembelea wapinzani waliotoroka na kukimbia

    Mbunge wa Ikungi Magharibi, Elibariki Kingu akichangia hotuba ya Wizara ya Mambo ya Nje leo Mei 26, 2026, Bungeni Dodoma "Ni Rais huyu Daktari Samia Suluhu Hassan alipoingia madarakani jambo la kwanza alilolifanya, Rais wetu—wabunge naomba tuwe na kumbukumbu. Ninaomba tuweke kumbukumbu sawa...
  15. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Kwa nini tusifute Vyama vya vya Upinzani haiwezekani Wapinzani wanaishi Kama Wakimbizi kwenye Nchi Yao

    Kuna mambo ukijiuliza unabaki na uzuni. Siasa za vyama upinzani afrika tumeshindwa kuwa wastarabu ni bora vyama vya upinzani vifutwe ?Hii inaonyesha afrika hatuna huwezo wa kuvumilia mawazo mbandala ! Tukajenga nchi zetu? Ni jambo la kusikitisha sana. Vyama vya ukombozi vya afrika baada ya...
  16. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa inachokifanya dhidi ya wapinzani kina madhara mbeleni

    Tumsikilize ndugu Twaha Mwaipaya, ana hoja: Kama rais Samia ni halali msajili wa vyama vya siasa unapaswa ujiulize kwanini alikwenda kuapishiwa kwenye kambi ya jeshi? Sasa sikiliza umesema haya matamshi ya viongozi wa Chadema ni matamshi halali,je uliwahi kusikiliza matamshi halili kutoka...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Ivory Coast Yaivunja Tume ya Uchaguzi Baada ya Shinikizo la Wapinzani

    Serikali ya Ivory Coast imevunja Tume Huru ya Uchaguzi (CEI) baada ya malalamiko ya muda mrefu na kutoka kwa wapinzani kuhusu jinsi chombo hicho kinavyoendesha chaguzi nchini humo. Hayo yamesemwa na msemaji wa serikali, Amadou Coulibaly, siku ya Jumatano. Coulibaly aliuambia mkutano na...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Rais Samia , huu ni mtihani wako wa mwisho. Mtihani huu ndio utaamua wapinzani wakuheshimu au wakudharau.

    Tangu kuundwa vyama vingi 1992 hakuna kipindi wapinzani walikuwa na nidhamu kwa serikali na Rais kama kipindi cha Magufuli. Magufuli hakuwapa muda wa kupumua kabisa. Rais Samia ulipoingia ulitaka uonekane mwema kwa watu wote, ndio maana ukaanzisha 4R, ukawarudisha akina LISSU na wenzake waje...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Polisi muiteni Faris Burhani wa UVCCM aliyesema mkutanoni kuwa wapinzani atawapoteza kwanza kabla ya kimuita Hilda Newton

    Faris Burhan alisema mchana kweupe kwenye mkutano kuwa atawapoteza wapinzani, hamjawahi kumuita na kumpeleka mahakamani! Leo mnamuandama Hilda Newton. WHY DOUBLE STANDARDS?
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Rais Samia wana matatizo ya akili

    Hivi kama serikali ingetaka kutumia ubabe wake kufanya haraka kesi ya LISSU kisha kumtia hatiani na kumnyonga nani angeweza kuzuia? Huyu Rais Samia ni Rais bora na mwenye busara . Ndiye aliyemrudisha LISSU baada ya kifo cha Magufuli. LISSU alikimbia nchini mara tu baada ya uchaguzi pindi...
Back
Top Bottom