Hivi wakemia ulimwenguni kote wameshindwa kabisa kutengeneza dawa ya kutibu UKIMWI?

King Jody

JF-Expert Member
Oct 8, 2022
914
1,704
Ni kweli wameshindwa kabisa kugundua dawa ya kutibu Ugonjwa wa Ukimwi au wana maslahi na ugonjwa huu?

Kwa miaka mingi tangu ugonjwa huu ulipogundulika kumekuwa na taarifa nyingi zenye utata kuhusu tiba yake,
mara tiba yake inafanyiwa uchunguzi na majaribio lakini hadi leo bado ni kizungumkuti.

Nb. Ugonjwa wenyewe ulivyotulia utadhani haupo, tuwe makini bandugu ukimwi ni hatari.

1. Kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu
2. Pima afya ili kujua hali yako
3. Epuka ngono zembe
4.Tumia kinga kila unapojamiiana.

Sambaza upendo, usisambaze ukimwi, stay safe always.
 
Ni kweli wameshindwa kabisa kugundua dawa ya kutibu Ugonjwa wa Ukimwi au wana maslahi na ugonjwa huu?

Kwa miaka mingi tangu ugonjwa huu ulipogundulika kumekuwa na taarifa nyingi zenye utata kuhusu tiba yake,
mara tiba yake inafanyiwa uchunguzi na majaribio lakini hadi leo bado ni kizungumkuti,

Nb. Ugonjwa wenyewe ulivyotulia utadhani haupo, tuwe makini bandugu ukimwi ni hatari,
1.Kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu
2.Pima afya ili kujua hali yako
3.Epuka ngono zembe

Angalizo: dawa za binadamu hazitengenezwi na wakemia.
 
Kama unahisi dunia imetengeneza kila kitu basi kaa ujue ni 5% tu ya mambo ndio yametengenezwa...Dunia bado haina majibu ya maswali mengi sanaa Shape ya dunia tu bado ni Debate licha ya kuwa na Telescope,Satelitte za kutosha ila bado ni kizungumkuti kujua kama ni Flat or Sphere?

Kwenye Afya ndo kabisaa..Kuna magonjwa mengi sana hayana majibu sahihi isipokuwa yanatumia Hypothesis tu..Mfano Generation of Sensory hair Cell..Viral replication..Cancer pathology n.k

Ndugu mwandishi..Wanasayansi bado wanaumiza vichwa sanaa Pharmacologist,Pathologist,MD's bado wanaumiza vichwa sanaa Dunia bado ni changa hii Ukiweza kujihadhari jilinde na magonjwa sanaa
 
Ila kwa hapo dunia duara au sio duara 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
 
Ni kweli wameshindwa kabisa kugundua dawa ya kutibu Ugonjwa wa Ukimwi au wana maslahi na ugonjwa huu?

Kwa miaka mingi tangu ugonjwa huu ulipogundulika kumekuwa na taarifa nyingi zenye utata kuhusu tiba yake,
mara tiba yake inafanyiwa uchunguzi na majaribio lakini hadi leo bado ni kizungumkuti,

Nb. Ugonjwa wenyewe ulivyotulia utadhani haupo, tuwe makini bandugu ukimwi ni hatari,
1.Kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu
2.Pima afya ili kujua hali yako
3.Epuka ngono zembe
4.Tumia kinga kila unapojamiiana.

Sambaza upendo, usisambaze ukimwi, stay safe always.
I'm working 1, 2 and 3. Kinga ni heri kujipiga selfie!
 
Inasadikika kuwa dawa ilishatengenezwa kitambo.
Tatizo mradi wa ARV ni mkubwa na una faida kubwa mno kwa wahusika kuweza kukubali kirahisi kuponya malighafi yao ambayo ni wahanga wa HIV wanaotumia ARV.

Kila ukipiga kavu kumbuka unaingia rasmi kwenye takwimu ya kutajirisha wenye mradi wa ARV.

Slogan nzuri sna kwa sisi wazinzi .
 
KENGE 01 unaamini unachokiona au unachoambiwa ,?
Naamini kwenye Facts..Ili kitu kiwe Fact lazima kiwe na Prove So ukija na Fact yako kwamba "kitu hiki kinafanya kazi hivi na kiko hivi" Lazima U-prove..Kuna msemo wamasema wanatumia Anonymous 'Provide proof before people proves"(PPPP) So naamini nachokiona na Kusikia ila akili ya kuambiwa changanya na zako
 
Back
Top Bottom